Uchaguzi 2020 Ningekuwa Makonda ningesubiri mpaka 2025

Nani alikuambia na Kukudanganya kuwa hakuwa na ' Rivals ' hao Mkuu? Uchawi wake na Kinga za Waganga wake toka Nigeria umemlinda sana.

Uchawi humfanya mtu kuwa kama zombie. Haujawahi kumpa msaada mtu yoyote. Leo imekuwa siku mbaya sana kwake maana duuh
 
Haiwezi tokea
Inawezekana Mkuu, This is the Matter of Probability; Mie nimewaza the same kwenye Criteria hizi
1. Kama Magu anamaanisha Amemaanisha Alichokisema, ina maana anaweza Akakatwa jina.
2. Inawezekana kwa mambo aliyofanya, Huenda pia Asipate kura nyingi sana za kutosha.

Nawaza tu kwamba huenda kwenye Awamu ya kwanza kulikuwa na Siri ambayo mzee hakutaka isanuke, mpaka atakapojihakikishia awamu zake zote mbili; Sasa kama hii ni uhakika, inawezekana yuko tayari kwa lolote lile; yaana hata akimmwaga ahana tena madhara, maana Adhma yake/msaada alioupata kwa mwanae (kama upo) utakuwa umeshatimia tayari.
 
Ndugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo Ubunge anaouhitaji,

Japokuwa Ukuu wa Mkoa ni nafasi inayotegemea mteuaji ameamkaje kwa siku hiyo(haikupi uhakika kwamba utakuwa ofisini siku ya kesho) lakini kwangu Ukuu wa mkoa ilikuwa ndio nafasi pekee ya kutamba kwake ukizingatia aliweza kula vizuri na boss wake hivyo kwa vyovyote vile alikuwa na uhakika wa kuwa tena mkuu wa mkoa kwa wakati mwingine tena.

Sujui target yake kwa sasa labda anautaka ubunge ili akawe waziri kwenye wizara flani sijui.

Lakini ata akiupata na kuwa waziri hatakuwa tena makonda yule aliyejitwalia mamlaka ya ukuu wa mkoa.

Alivyokuwa mkuu wa Mkoa kila kitu chini ya mkoa husika yeye ndio alikuwa mpangaji mwenyekiti wake chini ya kamati .
Kuanzia kwenye kamati ya ulinzi ya mkoa mpaka kwenye bajeti.

Sasa hivi anautaka ubunge ambao mamlaka yake yanaishia kwenye Jimbo tu ambalo akishachaguliwa na siku akitaka kufanya Mkutano na wananchi lazima aombe kibali kwenda kwenye kamati ya ulinzi ambayo mkuu wa mkoa ndie mwenyekiti wake

Na kama mkuu wake wa mkoa ni namna gani vipi anaweza kutoa Amri ya kukataza na ikatokea akakaidi anakamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kufanya mkusanyiko bila kibali.

Binafsi naona Amekosea kuzichanga karata zake vyema ni bora Angebakia kuwa mkuu wa mkoa na baadae mara baada ya boss wake kumaliza muda wake wa uongozi kikatiba ndio angejitupa huko kwenye Ubunge,

Angefanya hivyo Kwa sababu ya kujilinda kwa wakati huo kwa kuwa ingekuwa vigumu kwake kujua boss mpya anaekuja atakuaje.

Sijui kwa yeye aliwazaje au ana mkakati gani lakini ingekuwa ni mimi ningesubiri mpaka 2025 ata kama mshahara haukidhi mahitaji.
Leo mmekuwa washaur wema kisa kautema, mnapaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Banned sio burned

Vaa barakoa
I say wewe mtu wa kukariri. Najua maana ya banned, ila nilikuw nataka kusema burned. Labda kwa taarifa yako, japo umetaka kuonyesha unajua zaidi yangu, neno "burned" linatumika kwa mtu ambaye alikuwa anafanya kazi kwa kificho "undercover" na akawa exposed juu ya kazi yake halisi. Askari kanzu au shushushu (spy) wa kutojionyesha anapogundulika na watu kuwa ni askari au shushushu tunasema amekuwa "burned".

Kwa hiyo huko ulikoenda wewe wala siko niliko mimi.
 
kupanga ni kuchagua yeye kaona zaid kwenye ubunge ana ki2 cha kuprove zaid ya ukuu wa mkoa kwo tusubur jins itakavokuw baad ya uchaguz mud utaongea
 
I say wewe mtu wa kukariri. Najua maana ya banned, ila nilikuw nataka kusema burned. Labda kwa taarifa yako, japo umetaka kuonyesha unajua zaidi yangu, neno "burned" linatumika kwa mtu ambaye alikuwa anafanya kazi kwa kificho "undercover" na akawa exposed juu ya kazi yake halisi. Askari kanzu au shushushu (spy) wa kutojionyesha anapogundulika na watu kuwa ni askari au shushushu tunasema amekuwa "burned".

Kwa hiyo huko ulikoenda wewe wala siko niliko mimi.
Acha kunifokea wakati haujavaa barakoa.
 
Makonda makonda makondaaaaaaaaaaaaa

CC Zero IQ
 
Ndugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo Ubunge anaouhitaji,

Japokuwa Ukuu wa Mkoa ni nafasi inayotegemea mteuaji ameamkaje kwa siku hiyo(haikupi uhakika kwamba utakuwa ofisini siku ya kesho) lakini kwangu Ukuu wa mkoa ilikuwa ndio nafasi pekee ya kutamba kwake ukizingatia aliweza kula vizuri na boss wake hivyo kwa vyovyote vile alikuwa na uhakika wa kuwa tena mkuu wa mkoa kwa wakati mwingine tena.

Sujui target yake kwa sasa labda anautaka ubunge ili akawe waziri kwenye wizara flani sijui.

Lakini ata akiupata na kuwa waziri hatakuwa tena makonda yule aliyejitwalia mamlaka ya ukuu wa mkoa.

Alivyokuwa mkuu wa Mkoa kila kitu chini ya mkoa husika yeye ndio alikuwa mpangaji mwenyekiti wake chini ya kamati .
Kuanzia kwenye kamati ya ulinzi ya mkoa mpaka kwenye bajeti.

Sasa hivi anautaka ubunge ambao mamlaka yake yanaishia kwenye Jimbo tu ambalo akishachaguliwa na siku akitaka kufanya Mkutano na wananchi lazima aombe kibali kwenda kwenye kamati ya ulinzi ambayo mkuu wa mkoa ndie mwenyekiti wake

Na kama mkuu wake wa mkoa ni namna gani vipi anaweza kutoa Amri ya kukataza na ikatokea akakaidi anakamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kufanya mkusanyiko bila kibali.

Binafsi naona Amekosea kuzichanga karata zake vyema ni bora Angebakia kuwa mkuu wa mkoa na baadae mara baada ya boss wake kumaliza muda wake wa uongozi kikatiba ndio angejitupa huko kwenye Ubunge,

Angefanya hivyo Kwa sababu ya kujilinda kwa wakati huo kwa kuwa ingekuwa vigumu kwake kujua boss mpya anaekuja atakuaje.

Sijui kwa yeye aliwazaje au ana mkakati gani lakini ingekuwa ni mimi ningesubiri mpaka 2025 ata kama mshahara haukidhi mahitaji.
Hana akili
 
Naunga mkono hoja,

Binafsi kua mkuu wa mkoa Kama DAR, ni zaidi ya Uwaziri na Ubunge.

HILI jiji lina hela Sana hili,

Kuanzia Ela halali mpaka za kupiga dili.

Unaweza kuamka ukapata Ela yoyote, hasa kwa Hawa Wafanyabiashara wajanja wajanja.

na Hakuna wa kukugomea.

SIJAJUA UYU BWANA MDOGO ALIKUA ANAPAPALIKA NA NINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubunge bro hauna pressure halafu pesa nyingi.
 
Kweli kabisa mkuu DeepPond ijapokuwa umeadimika sana kwenye lile jukwaa letu. Inawezekana alishapiga hela za kutosha, hivyo ameamua kutoka kiaina kwani huko aendako uwezakano wa kupigwa panga ni mkubwa sana. Kumbuka siasa za nchi hii hazitabiriki.
Bado nipo mkuu, ila MIKEKA uwa natandaza kimya kimya.

KWENYE Uzi wetu huwa napita mara kwa Mara kusoma TU comments.

Ila soon huu msimu unaoanza ntarejea
 
Back
Top Bottom