sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Waziri wa Ulinzi lazima atokee Zanzibar ni swala la Muungano kwa kuwa Raisi wa Jamhuri anatokea BaraMakonda waziri wa Mambo ya Ndani
Gambo waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri wa Ulinzi lazima atokee Zanzibar ni swala la Muungano kwa kuwa Raisi wa Jamhuri anatokea BaraMakonda waziri wa Mambo ya Ndani
Gambo waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Nani alikuambia na Kukudanganya kuwa hakuwa na ' Rivals ' hao Mkuu? Uchawi wake na Kinga za Waganga wake toka Nigeria umemlinda sana.
Inawezekana Mkuu, This is the Matter of Probability; Mie nimewaza the same kwenye Criteria hiziHaiwezi tokea
Nimemsikiliza Polepole na Magufuli kwa kauli zao naona kama watachangia jina kukatwa!!Haiwezi tokea
Leo mmekuwa washaur wema kisa kautema, mnapaka mafuta kwa mgongo wa chupaNdugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo Ubunge anaouhitaji,
Japokuwa Ukuu wa Mkoa ni nafasi inayotegemea mteuaji ameamkaje kwa siku hiyo(haikupi uhakika kwamba utakuwa ofisini siku ya kesho) lakini kwangu Ukuu wa mkoa ilikuwa ndio nafasi pekee ya kutamba kwake ukizingatia aliweza kula vizuri na boss wake hivyo kwa vyovyote vile alikuwa na uhakika wa kuwa tena mkuu wa mkoa kwa wakati mwingine tena.
Sujui target yake kwa sasa labda anautaka ubunge ili akawe waziri kwenye wizara flani sijui.
Lakini ata akiupata na kuwa waziri hatakuwa tena makonda yule aliyejitwalia mamlaka ya ukuu wa mkoa.
Alivyokuwa mkuu wa Mkoa kila kitu chini ya mkoa husika yeye ndio alikuwa mpangaji mwenyekiti wake chini ya kamati .
Kuanzia kwenye kamati ya ulinzi ya mkoa mpaka kwenye bajeti.
Sasa hivi anautaka ubunge ambao mamlaka yake yanaishia kwenye Jimbo tu ambalo akishachaguliwa na siku akitaka kufanya Mkutano na wananchi lazima aombe kibali kwenda kwenye kamati ya ulinzi ambayo mkuu wa mkoa ndie mwenyekiti wake
Na kama mkuu wake wa mkoa ni namna gani vipi anaweza kutoa Amri ya kukataza na ikatokea akakaidi anakamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kufanya mkusanyiko bila kibali.
Binafsi naona Amekosea kuzichanga karata zake vyema ni bora Angebakia kuwa mkuu wa mkoa na baadae mara baada ya boss wake kumaliza muda wake wa uongozi kikatiba ndio angejitupa huko kwenye Ubunge,
Angefanya hivyo Kwa sababu ya kujilinda kwa wakati huo kwa kuwa ingekuwa vigumu kwake kujua boss mpya anaekuja atakuaje.
Sijui kwa yeye aliwazaje au ana mkakati gani lakini ingekuwa ni mimi ningesubiri mpaka 2025 ata kama mshahara haukidhi mahitaji.
I say wewe mtu wa kukariri. Najua maana ya banned, ila nilikuw nataka kusema burned. Labda kwa taarifa yako, japo umetaka kuonyesha unajua zaidi yangu, neno "burned" linatumika kwa mtu ambaye alikuwa anafanya kazi kwa kificho "undercover" na akawa exposed juu ya kazi yake halisi. Askari kanzu au shushushu (spy) wa kutojionyesha anapogundulika na watu kuwa ni askari au shushushu tunasema amekuwa "burned".Banned sio burned
Vaa barakoa
Acha kunifokea wakati haujavaa barakoa.I say wewe mtu wa kukariri. Najua maana ya banned, ila nilikuw nataka kusema burned. Labda kwa taarifa yako, japo umetaka kuonyesha unajua zaidi yangu, neno "burned" linatumika kwa mtu ambaye alikuwa anafanya kazi kwa kificho "undercover" na akawa exposed juu ya kazi yake halisi. Askari kanzu au shushushu (spy) wa kutojionyesha anapogundulika na watu kuwa ni askari au shushushu tunasema amekuwa "burned".
Kwa hiyo huko ulikoenda wewe wala siko niliko mimi.
KkMakonda makonda makondaaaaaaaaaaaaa kashinda kweli mkuu?
CC Zero IQ
Hana akiliNdugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo Ubunge anaouhitaji,
Japokuwa Ukuu wa Mkoa ni nafasi inayotegemea mteuaji ameamkaje kwa siku hiyo(haikupi uhakika kwamba utakuwa ofisini siku ya kesho) lakini kwangu Ukuu wa mkoa ilikuwa ndio nafasi pekee ya kutamba kwake ukizingatia aliweza kula vizuri na boss wake hivyo kwa vyovyote vile alikuwa na uhakika wa kuwa tena mkuu wa mkoa kwa wakati mwingine tena.
Sujui target yake kwa sasa labda anautaka ubunge ili akawe waziri kwenye wizara flani sijui.
Lakini ata akiupata na kuwa waziri hatakuwa tena makonda yule aliyejitwalia mamlaka ya ukuu wa mkoa.
Alivyokuwa mkuu wa Mkoa kila kitu chini ya mkoa husika yeye ndio alikuwa mpangaji mwenyekiti wake chini ya kamati .
Kuanzia kwenye kamati ya ulinzi ya mkoa mpaka kwenye bajeti.
Sasa hivi anautaka ubunge ambao mamlaka yake yanaishia kwenye Jimbo tu ambalo akishachaguliwa na siku akitaka kufanya Mkutano na wananchi lazima aombe kibali kwenda kwenye kamati ya ulinzi ambayo mkuu wa mkoa ndie mwenyekiti wake
Na kama mkuu wake wa mkoa ni namna gani vipi anaweza kutoa Amri ya kukataza na ikatokea akakaidi anakamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kufanya mkusanyiko bila kibali.
Binafsi naona Amekosea kuzichanga karata zake vyema ni bora Angebakia kuwa mkuu wa mkoa na baadae mara baada ya boss wake kumaliza muda wake wa uongozi kikatiba ndio angejitupa huko kwenye Ubunge,
Angefanya hivyo Kwa sababu ya kujilinda kwa wakati huo kwa kuwa ingekuwa vigumu kwake kujua boss mpya anaekuja atakuaje.
Sijui kwa yeye aliwazaje au ana mkakati gani lakini ingekuwa ni mimi ningesubiri mpaka 2025 ata kama mshahara haukidhi mahitaji.
Ubunge bro hauna pressure halafu pesa nyingi.Naunga mkono hoja,
Binafsi kua mkuu wa mkoa Kama DAR, ni zaidi ya Uwaziri na Ubunge.
HILI jiji lina hela Sana hili,
Kuanzia Ela halali mpaka za kupiga dili.
Unaweza kuamka ukapata Ela yoyote, hasa kwa Hawa Wafanyabiashara wajanja wajanja.
na Hakuna wa kukugomea.
SIJAJUA UYU BWANA MDOGO ALIKUA ANAPAPALIKA NA NINI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nipo mkuu, ila MIKEKA uwa natandaza kimya kimya.Kweli kabisa mkuu DeepPond ijapokuwa umeadimika sana kwenye lile jukwaa letu. Inawezekana alishapiga hela za kutosha, hivyo ameamua kutoka kiaina kwani huko aendako uwezakano wa kupigwa panga ni mkubwa sana. Kumbuka siasa za nchi hii hazitabiriki.
Nakuunga mkonoBinafsi naona Amekosea kuzichanga karata zake vyema ni bora Angebakia kuwa mkuu wa mkoa na baadae mara baada ya boss wake kumaliza muda wake wa uongozi kikatiba ndio angejitupa huko kwenye Ubunge,
eti eeh ?Usilolijua ni sawa na usiku wa giza ,hiyo kitu ni planned mission, uwe mpole, hajauchia u RC kama ajali
Ukuu wa mkoa wa Dar es Salaam ni habari nyingine mzeeUbunge bro hauna pressure halafu pesa nyingi.
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaKeep cool anaye chezesha mwanasesere ataicheza ngoma mwenyewe.