Ningekuwa mimi, nisingeruhusu Prof. Janabi agombee WHO kanda ya Africa

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea...
Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata mtu lazima atoke ktk secret service ila asiwe na dots zakumtambulisha anatoka kwenye secrets service kwa sababu wakijuwa wanamalizana naye secret 🙊
Ninafasi hatari sana kwa africa kutokana na unyeti wake hivyo anaye pata hii nafasi budi awe amepikwa akapikika kwenye maswala yakiusalama na sio vingine..
Nilazima uwe jasusi usie na tress yeyote kutoka mashirika ya kijasusi nje ya hapo watembea na kifo bila kujuwa.
Huu nimlango wa mabeberu kufanya yao ktk kanda ya africa hivyo hawataki uwende nje ya agendar zao... aka too much know.
Napata shida idara yetu imeshindwa kuona hatutakiwi na bado Prof wanampeleka machinjioni ila najuwa Allah atamshindia hakuwa na jinsi namba moja kesha sema well ni utii ulio tukuka ila tuzi kusali.
 
"Tumepoteza watu wawili mysterious" ulimaanisha nini hapa nasi tuchangie?
 
Cha kushangaza utakuwa mtumishi wa Umma! Wenye uwezo mzuri wapo mtaani hawana ajira.

Ulichoandika,unaweza kukielewa wewe mwenyewe!
 
Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea...
Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata mtu lazima atoke ktk secret service ila asiwe na dots zakumtambulisha anatoka kwenye secrets service kwa sababu wakijuwa wanamalizana naye secret 🙊
Ninafasi hatari sana kwa africa kutokana na unyeti wake hivyo anaye pata hii nafasi budi awe amepikwa akapikika kwenye maswala yakiusalama na sio vingine..
Nilazima uwe jasusi usie na tress yeyote kutoka mashirika ya kijasusi nje ya hapo watembea na kifo bila kujuwa.
Huu nimlango wa mabeberu kufanya yao ktk kanda ya africa hivyo hawataki uwende nje ya agendar zao... aka too much know.
Napata shida idara yetu imeshindwa kuona hatutakiwi na bado Prof wanampeleka machinjioni ila najuwa Allah atamshindia hakuwa na jinsi namba moja kesha sema well ni utii ulio tukuka ila tuzi kusali.
Kwani Janabi hana hizo qualities za kujipambania usalama wake?
 
Muosha huoshwa. Muacheni aende
 
Ni kawaida Sana kwa waafrika kuhusisha vifo na ushirikina. Hata haya uliyoyaandika ni ramli chonganishi tu. Kifo Cha Ndugulile ni Cha kawaida tu maana alikuwa akitibiwa Mara nyingi nje ya nchi.
Hajauawa eti sababu ya WHO. Acha Prof ashindane kwa kura siyo kwa hizi ramli chonganishi.
 
Mwache aende akafe zake huko bwana weee..Hana mchango wowote kwa mwananchi wa kawaida
 
Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea...
Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata mtu lazima atoke ktk secret service ila asiwe na dots zakumtambulisha anatoka kwenye secrets service kwa sababu wakijuwa wanamalizana naye secret 🙊
Ninafasi hatari sana kwa africa kutokana na unyeti wake hivyo anaye pata hii nafasi budi awe amepikwa akapikika kwenye maswala yakiusalama na sio vingine..
Nilazima uwe jasusi usie na tress yeyote kutoka mashirika ya kijasusi nje ya hapo watembea na kifo bila kujuwa.
Huu nimlango wa mabeberu kufanya yao ktk kanda ya africa hivyo hawataki uwende nje ya agendar zao... aka too much know.
Napata shida idara yetu imeshindwa kuona hatutakiwi na bado Prof wanampeleka machinjioni ila najuwa Allah atamshindia hakuwa na jinsi namba moja kesha sema well ni utii ulio tukuka ila tuzi kusali.
Unaripoti kutoka kijiwe gani mkuu
 
Back
Top Bottom