DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
Dr Mwele Malecela, alifariki baada ya kuugua kwa kipindi kirefu, kwa ugonjwa ambao unafahamikaDr. Ndungulile na Dr. Malecela.

Sahihi.Dr Mwele Malecela, alifariki baada ya kuugua kwa kipindi kirefu, kwa ugonjwa ambao unafahamika
Kizuri cha jiuza chenyewe kibaya cha jitembeza, mafia huyo hana faida kwa Jamhuri labda kikundi cha mafisadi wachacheNionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea...
Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata mtu lazima atoke ktk secret service ila asiwe na dots zakumtambulisha anatoka kwenye secrets service kwa sababu wakijuwa wanamalizana naye secret 🙊
Ninafasi hatari sana kwa africa kutokana na unyeti wake hivyo anaye pata hii nafasi budi awe amepikwa akapikika kwenye maswala yakiusalama na sio vingine..
Nilazima uwe jasusi usie na tress yeyote kutoka mashirika ya kijasusi nje ya hapo watembea na kifo bila kujuwa.
Huu nimlango wa mabeberu kufanya yao ktk kanda ya africa hivyo hawataki uwende nje ya agendar zao... aka too much know.
Napata shida idara yetu imeshindwa kuona hatutakiwi na bado Prof wanampeleka machinjioni ila najuwa Allah atamshindia hakuwa na jinsi namba moja kesha sema well ni utii ulio tukuka ila tuzi kusali.
Wakati naandika haya mambo yalikuwa shwari zaidi ila za chini ya carpet wenye veto yao uwenda hawatoruhusu kutokana na hali ya kisiasa Tanzania 🇹🇿 akili za kuambiwa changanya na za kwako JK😜Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea...
Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata mtu lazima atoke ktk secret service ila asiwe na dots zakumtambulisha anatoka kwenye secrets service kwa sababu wakijuwa wanamalizana naye secret 🙊
Ninafasi hatari sana kwa africa kutokana na unyeti wake hivyo anaye pata hii nafasi budi awe amepikwa akapikika kwenye maswala yakiusalama na sio vingine..
Nilazima uwe jasusi usie na tress yeyote kutoka mashirika ya kijasusi nje ya hapo watembea na kifo bila kujuwa.
Huu nimlango wa mabeberu kufanya yao ktk kanda ya africa hivyo hawataki uwende nje ya agendar zao... aka too much know.
Napata shida idara yetu imeshindwa kuona hatutakiwi na bado Prof wanampeleka machinjioni ila najuwa Allah atamshindia hakuwa na jinsi namba moja kesha sema well ni utii ulio tukuka ila tuzi kusali.
Dr Mwele Malecela, alifariki baada ya kuugua kwa kipindi kirefu, kwa ugonjwa ambao unafahamika
Mwele na FaustineKwahiyo hapo tetesi ni ipi, halafu hao wawili tuliozika ni nani na nani?
Napita jamani naomba mkumbuke huu uziNionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea...
Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata mtu lazima atoke ktk secret service ila asiwe na dots zakumtambulisha anatoka kwenye secrets service kwa sababu wakijuwa wanamalizana naye secret 🙊
Ninafasi hatari sana kwa africa kutokana na unyeti wake hivyo anaye pata hii nafasi budi awe amepikwa akapikika kwenye maswala yakiusalama na sio vingine..
Nilazima uwe jasusi usie na tress yeyote kutoka mashirika ya kijasusi nje ya hapo watembea na kifo bila kujuwa.
Huu nimlango wa mabeberu kufanya yao ktk kanda ya africa hivyo hawataki uwende nje ya agendar zao... aka too much know.
Napata shida idara yetu imeshindwa kuona hatutakiwi na bado Prof wanampeleka machinjioni ila najuwa Allah atamshindia hakuwa na jinsi namba moja kesha sema well ni utii ulio tukuka ila tuzi kusali.
Kama wewe hukuelewa huu uzi hukupaswa kjmsema mtoa mada. Amekuzidi mbali uweza wa kufikiri katika hilo eneo.Cha kushangaza utakuwa mtumishi wa Umma! Wenye uwezo mzuri wapo mtaani hawana ajira.
Ulichoandika,unaweza kukielewa wewe mwenyewe!