Known heath issues, yes but created to victimize her...Dr Malecela alikufa kwa known health issues
Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea...
Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata mtu lazima atoke ktk secret service ila asiwe na dots zakumtambulisha anatoka kwenye secrets service kwa sababu wakijuwa wanamalizana naye secret 🙊
Ninafasi hatari sana kwa africa kutokana na unyeti wake hivyo anaye pata hii nafasi budi awe amepikwa akapikika kwenye maswala yakiusalama na sio vingine..
Nilazima uwe jasusi usie na tress yeyote kutoka mashirika ya kijasusi nje ya hapo watembea na kifo bila kujuwa.
Huu nimlango wa mabeberu kufanya yao ktk kanda ya africa hivyo hawataki uwende nje ya agendar zao... aka too much know.
Napata shida idara yetu imeshindwa kuona hatutakiwi na bado Prof wanampeleka machinjioni ila najuwa Allah atamshindia hakuwa na jinsi namba moja kesha sema well ni utii ulio tukuka ila tuzi kusali.
Hata mimi ningali najiuliza sababu za Makamu kusema vile alivyosema.Kwani Benard Membe , Mafuru, Ndugulile waliondolewa na WHO???
na juzi makamu wa Rais Philip Isidory Mpango nae kuomba kujiuzuru kwakusema anataka kuishi maisha marefu!
Hao nao waliuawa na kutishiwa maisha na WHO...???
Muosha huoshwa!
Adios amigo!
Mwamba upo sahihi unakumbuka ile issue ya vitambua .?kumbe na wao wanafakamia vizuri Tu.Mwache aende akafe zake huko bwana weee..Hana mchango wowote kwa mwananchi wa kawaida
Wanakufa kwa mitishamba zaidi kuliko mengine. Watu wa Afrika Magharibi ni hatari sana.Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea...
Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata mtu lazima atoke ktk secret service ila asiwe na dots zakumtambulisha anatoka kwenye secrets service kwa sababu wakijuwa wanamalizana naye secret 🙊
Ninafasi hatari sana kwa africa kutokana na unyeti wake hivyo anaye pata hii nafasi budi awe amepikwa akapikika kwenye maswala yakiusalama na sio vingine..
Nilazima uwe jasusi usie na tress yeyote kutoka mashirika ya kijasusi nje ya hapo watembea na kifo bila kujuwa.
Huu nimlango wa mabeberu kufanya yao ktk kanda ya africa hivyo hawataki uwende nje ya agendar zao... aka too much know.
Napata shida idara yetu imeshindwa kuona hatutakiwi na bado Prof wanampeleka machinjioni ila najuwa Allah atamshindia hakuwa na jinsi namba moja kesha sema well ni utii ulio tukuka ila tuzi kusali.
Hata mimi ningali najiuliza sababu za Makamu kusema vile alivyosema.
Lakink nimependa pia ulivyohitimisha kwamba "muosha huoshwa".
Mama na wenzake si wanajua uongozi ni kula. Ndio wameona watafutie wenzao hizi kula za kimataifa. Sasa wajuage basi wajuaji walishatutangulia watz hivyo basi tujiandae vizuri. Mkitaka muulizeni mtutsi kagame maana yeye yuko organisation zote kupatia wajivuni wenzake kula. Yuko common wealth, yuko nchi za kifaransa, yuko EAC bado sadc tu. Yaani yuko kila mahali na anaweka watutsi wenzake.Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea...
Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata mtu lazima atoke ktk secret service ila asiwe na dots zakumtambulisha anatoka kwenye secrets service kwa sababu wakijuwa wanamalizana naye secret 🙊
Ninafasi hatari sana kwa africa kutokana na unyeti wake hivyo anaye pata hii nafasi budi awe amepikwa akapikika kwenye maswala yakiusalama na sio vingine..
Nilazima uwe jasusi usie na tress yeyote kutoka mashirika ya kijasusi nje ya hapo watembea na kifo bila kujuwa.
Huu nimlango wa mabeberu kufanya yao ktk kanda ya africa hivyo hawataki uwende nje ya agendar zao... aka too much know.
Napata shida idara yetu imeshindwa kuona hatutakiwi na bado Prof wanampeleka machinjioni ila najuwa Allah atamshindia hakuwa na jinsi namba moja kesha sema well ni utii ulio tukuka ila tuzi kusali.
Naogopa ku "like", nataka kuishi maisha marefuMakamu hulka yake ni mtu mwenye hofu ya Mungu, mnyenyekevu na muadilifu sana, hawezi kuruhusu mambo ya upigaji na ufisadi.
Sasa zama hizi zinazopigwa remote control na Msoga jazz band behind the sence, makamu akawa anasimamia maadili na sheria, wakamuona kama kikwazo, anakwamisha mambo ya watu, ma-deal yao!
Kumtikisa wakampiga tukio takatifu, kwanjia matata sana! Strategically plan, kama alivyopigwa tukio mfugale, kijazi, magu, membe, mafulu na ndugulile!
Bahati njema, Mungu alikuwa nae! Alipopona akaona cha kufia kwenye madaraka kama waendazao ya nini???
Akawaambia isiwe tabu jameeniii kama nakwamisha madili yenu basi natokaaa mpige vizuri msije mkanitoa roho kisa madaraka!
Akatangaza hadharani," naachia madaraka, najiuzuru kwasababu nataka kuishi maisha marefu!" angeng'ang'ania wale mafia wangemtoa kwa nguvu!
Alimaanisha Mwele Malecela na Faustine Ndungulile"Tumepoteza watu wawili mysterious" ulimaanisha nini hapa nasi tuchangie?
Wataelewa wachacheMuosha huoshwa. Muacheni aende
Suala la Ndugulile liache kama lilivyo. Linaumiza sanaNi kawaida Sana kwa waafrika kuhusisha vifo na ushirikina. Hata haya uliyoyaandika ni ramli chonganishi tu. Kifo Cha Ndugulile ni Cha kawaida tu maana alikuwa akitibiwa Mara nyingi nje ya nchi.
Hajauawa eti sababu ya WHO. Acha Prof ashindane kwa kura siyo kwa hizi ramli chonganishi.