Ningekuwa mimi, nisingeruhusu Prof. Janabi agombee WHO kanda ya Africa

Uoga ni jambo baya sana na ni dhambi.
Kama POTUS angekuwa muoga asingegombea licha ya kukoswa majaribio kadhaa ya kuuliwa tena risasi ikipita sikioni.
Prof. Janabi agombee tu!
 
Wagombea karibia wote wa urais 2015 hatunao Tena !
Mliwahi kujiuliza hili swali??
 

Hiv hao wawili ni akina nani?
maana Mh. Ndugulile alikuwa hajaanza kazi bado.na anaonekana mheshimiwa alikuwa na clinic ya India kabla ya kupata ukurugenzi.
 
Una hoja nzuri mnoo!
Sema sijui kama utaeleweka
 
Ktk maswala ya usalama kuna watu wanazaliwa ni wana usalama na kunawanao jifunza una ambiwa ogopa mlie na uwezo wa usalama bila kwenda shule... hasa waonaji hawana siasa ni watu wanasema facts na wanaona hata miaka 200 ya Taifa. Ndio maana kuna wakati wana usalama wanaweza kwenda kinyume na siasa kwa masilahi ya Taifa ila wakiwa na plan B kuokoa taifa... Ndio maana unaweza kuona Israel wakati wote hapigani vita yakukurupuka nop na akiona vita ita.shinda anarudi nyuma kujipanga ona alicho wafanya iran na Hamas na Hezbollah’s hakuna anaye amini na sasa iran wanenda poteza mtu kwa kucheza na haya majamaa yaani wanakusoma hata miaka 30 wanakubonda
 
Tanzania ukiwa mbishi na mbabe kwa mashauri ya idara utajifia kimya kimya ndio maana unaona haya yambele sio ya nyuma
 
Prof Janabi amekuwa mshauri wa JK rais sidhani kama moyoni anautamani ukuu wa WHO sidhani ninanvyo mjuwa mimi huyu Prof sidhani sidhani silent 🤫 🙊
 
Kifo hakina pa kukikwepa iwapo kikimfikia yeyote

Prof tuko nyuma yake kuhakikisha anashinda na kutuwakilisha
 
Kwani Benard Membe , Mafuru, Ndugulile waliondolewa na WHO???

na juzi makamu wa Rais Philip Isidory Mpango nae kuomba kujiuzuru kwakusema anataka kuishi maisha marefu!

Hao nao waliuawa na kutishiwa maisha na WHO...???

Muosha huoshwa!

Adios amigo!
 
Hata mimi ningali najiuliza sababu za Makamu kusema vile alivyosema.
Lakink nimependa pia ulivyohitimisha kwamba "muosha huoshwa".
 
Wanakufa kwa mitishamba zaidi kuliko mengine. Watu wa Afrika Magharibi ni hatari sana.
 
Hata mimi ningali najiuliza sababu za Makamu kusema vile alivyosema.
Lakink nimependa pia ulivyohitimisha kwamba "muosha huoshwa".

Makamu hulka yake ni mtu mwenye hofu ya Mungu, mnyenyekevu na muadilifu sana, hawezi kuruhusu mambo ya upigaji na ufisadi.

Sasa zama hizi zinazopigwa remote control na Msoga jazz band behind the sence, makamu akawa anasimamia maadili na sheria, wakamuona kama kikwazo, anakwamisha mambo ya watu, ma-deal yao!

Kumtikisa wakampiga tukio takatifu, kwanjia matata sana! Strategically plan, kama alivyopigwa tukio mfugale, kijazi, magu, membe, mafulu na ndugulile!

Bahati njema, Mungu alikuwa nae! Alipopona akaona cha kufia kwenye madaraka kama waendazao ya nini???

Akawaambia isiwe tabu jameeniii kama nakwamisha madili yenu basi natokaaa mpige vizuri msije mkanitoa roho kisa madaraka!

Akatangaza hadharani," naachia madaraka, najiuzuru kwasababu nataka kuishi maisha marefu!" angeng'ang'ania wale mafia wangemtoa kwa nguvu!
 
Mama na wenzake si wanajua uongozi ni kula. Ndio wameona watafutie wenzao hizi kula za kimataifa. Sasa wajuage basi wajuaji walishatutangulia watz hivyo basi tujiandae vizuri. Mkitaka muulizeni mtutsi kagame maana yeye yuko organisation zote kupatia wajivuni wenzake kula. Yuko common wealth, yuko nchi za kifaransa, yuko EAC bado sadc tu. Yaani yuko kila mahali na anaweka watutsi wenzake.
 
Naogopa ku "like", nataka kuishi maisha marefu
 
Suala la Ndugulile liache kama lilivyo. Linaumiza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…