Ningekuwa mimi, nisingeruhusu Prof. Janabi agombee WHO kanda ya Africa

Kizuri cha jiuza chenyewe kibaya cha jitembeza, mafia huyo hana faida kwa Jamhuri labda kikundi cha mafisadi wachache
 
Wakati naandika haya mambo yalikuwa shwari zaidi ila za chini ya carpet wenye veto yao uwenda hawatoruhusu kutokana na hali ya kisiasa Tanzania 🇹🇿 akili za kuambiwa changanya na za kwako JK😜
 
Dr mwenyewe hana lolote, na Kikwete anahainga kumtafutia cheo, kwani wamekosa vyeo vya kumpa?
Si wampe ubalozi?
 
Dr Mwele Malecela, alifariki baada ya kuugua kwa kipindi kirefu, kwa ugonjwa ambao unafahamika

..wakikuwekea madude yao utaanguka kwa maradhi ambayo yanajulikana.

..kuna madude yanakwenda kuharibu figo, ini, etc kwa hiyo mhusika atajulikana kuwa amefariki kwa maradhi ya figo, ini, etc.
 
Napita jamani naomba mkumbuke huu uzi
 
Cha kushangaza utakuwa mtumishi wa Umma! Wenye uwezo mzuri wapo mtaani hawana ajira.

Ulichoandika,unaweza kukielewa wewe mwenyewe!
Kama wewe hukuelewa huu uzi hukupaswa kjmsema mtoa mada. Amekuzidi mbali uweza wa kufikiri katika hilo eneo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…