Nini chanzo cha ugomvi wa January Makamba na Musukuma?

Kwa kifupi kabisa huyu mtu anaitwa Musukuma ni mtu wa hovyo sana na mpenda fitina za kijinga. Ameumiza watu wengi kwa fitina zake za hovyo. Naamini watawala wameelewa uhuni wake. Niishie hapo, inatosha.
Simtetei Msukuma, wala simlaumu Makamba; nipo interested na mchango wako; naomba kujua ni lini Msukuma aliwahi kuongea UONGO!? I mean ni lini aliwahi kumsingizia mtu (nimesema mtu, sio taasisi au kampuni ). Huaga simkubali sana Msukuma but ningependa kupata proves za when jamaa aliongea uongo kumuhusu mtu.
 
Kwanza hajajibu kisomi na kitalaamu, amejibu kisanii, pili unaonekana wazi uko biased, unamtetea ,hoja ni visingizio kila kukicha, kama hawezi aseme , Mamlaka ziteue mtu mwingine.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
We, baada ya SSH anafuata Rais Nape Moses Nhauye
 
Kwa kifupi kabisa huyu mtu anaitwa Musukuma ni mtu wa hovyo sana na mpenda fitina za kijinga. Ameumiza watu wengi kwa fitina zake za hovyo. Naamini watawala wameelewa uhuni wake. Niishie hapo, inatosha.
Sijaona kasoro kwenye maswali ya msukuma!
Amekaa kwenye kamati ya Nishati kwa miaka 6 anasema tangia project haijaanza kamati ilikuwa inafika mpaka inaanza walikuwa wanaenda na wlaikuwa wanaona kabisa kitu kinafanyika na mkandarasi hadai certficate mkandarasi anadai mpaka sasa, ila ujenzi hauonekani ukisonga shida nini? Waziri mwanzo alisema hakuna crane yakubeba tani 26 sawa crane imefika zinatolewa sababu nyingine kuwa yale mahandaki yalijengwa substandard ndiyo msukuma anahoji wasomi wenzake vipi mbona mnamuangusha?

Swali jingine ni kukatika kwa umeme, kwa mujibu wa kwenye kamati hawakuona sababu yoyote ya msingi ya kukatika kwa umeme ovyo, na waliiomba Tanesco ilete taarifa ambayo inaonesha huko nyuma miaka mi5 walikuwa wanatumia mbinu gani kufanya umeme usikatike ovyo huku wakifanya maintenance tofuti na sasa? Maana tulibiwa sababu mitambo haikufanyiwa maintanance sababu watu waliogopa kutumbuliwa, mara tukaambuwa mabwawa yamekauka na Waziri kachukua mpaka Herkopta mpaka Mtera pale ila mkurugenzi wa lile bwawa akatoa ukweli kuwa mpk miezi saba mbele wanaweza kuzalisha megawati 80 kama kawaida ata mvua isiponyesha ila mvua zimenyesha baada ya Chief Hangaya kuomba mvua, wakaja maintenance ya siku 10 sawa ila bado kuna tatizo la kukatika kwa umeme ovyo! Shida nni?

Ndo maswlai yasukuma hayo wala hajamlenga mtu kuwa anataka Uwaziri
 
January ni mtoto wa mjini ifike pahali Msukuma atulie kwanza,watoto wa mjini wapo kwenye system acha wafanye ya kwao.
mama Samia ndo kamteua Makamba na anajua kinachotakiwa kifanyike kwenye swala la umeme.
Ona utoporo huu, unafikiri hili taifa ni la kikundi Cha watu?? Hii ni Tanzania na Niya wtz wote wa Leo na kizazi kijacho, people will always fight back kama Kuna ujinga ujinga, nchi hizi za kiafrika unaona mpaka jeshi linachukuwa nchi ni sababu ya wanasiasa kujisahau na kuona nchi ni Mali yao, fanya katafiti kidogo sehemu zimetokea mapinduzi.
 
Huo umeme unakatikaga wapi, mbona hapa una miezi 6,walikataga siku moja tu? [emoji848]
 
umesema vyema sana - kwenye vikao VYENU vya chama! Tena ungeongeza Chama chenu
 
Kwa hiyo hata wewe huoni kwa macho? umeme unakatika kila mara na bwawa halijazwi maji kila siku kuna taarifa tofauti na ya nyuma yake?
Au taarifa za kisomi ni kukata umeme na kutotekeleza miladi kama ilivokusudiwa ndo usomi?
 
January ni mtoto wa mjini ifike pahali Msukuma atulie kwanza,watoto wa mjini wapo kwenye system acha wafanye ya kwao.
mama Samia ndo kamteua Makamba na anajua kinachotakiwa kifanyike kwenye swala la umeme.
Hata lowasa aliteuliwa na kikwete lakini wabunge wakamchokonoa mpaka akajiuzuru
 
Uzi umekuwa biased
Uzi umekuwa wa upande mmoja
Mwandishi nashindwa kukutofautisha na Makamba mwenyewe, hapa unajisemea wewe tu
 
Hii inadhihirisha utoto wa Makamba, sio kila anaekushambulia tena sehemu ambayo ni ya wazi(bungeni) basi atakuwa anataka huo uwaziri. Kwahiyo watu wasihoji ili wasije kuonekana wanautaka uwaziri?

Hakuna shaka kuwa utendaji wa Makamba ni wa kiwango cha chini.
 
Mtamuua huyu jamaa kama ndio aim yake hii, anatamani kuwa raisi kijana ila kwa maza kugombea tena 2025 jamaa anateseka saaana
 
Hapo hakuna ugomvi ni Democrasia umechukua nafasi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…