Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Popoma babako na ukoo wenu woteSasa we popoma umekuja kumkandia msukuma huku au umekuja na mamda watu wadiscus! Sa zingine utumie akili kufikiri kabla hujaja kutoa uharoo wako humu! Makamba anajibu kisomi! Majibu yapi hayo? Tena majibu ya kipuuzi kabisa! Mwanzo alisema mabwawa yamekauka..akaja akasema mitambo inafanyiwa maintenence..sasa hv anasema tuwape muda! Huo ni usomi au usokwe!!
Toeni upuuzi wenu humu! Nchi ikishashikwa na waswahil wasiojua wanaelekea wapi ndo shida inaanzia hapo! Shwani kabisaa!
Acha chuki dhidi ya mtu anayejenga hoja za msingi kama hamtaki bwawa la umeme lijengwe basi kalifukieni tujue moja.Kwa kifupi kabisa huyu mtu anaitwa Musukuma ni mtu wa hovyo sana na mpenda fitina za kijinga. Ameumiza watu wengi kwa fitina zake za hovyo. Naamini watawala wameelewa uhuni wake. Niishie hapo, inatosha.
Na ignorantMsukuma ni arrogant!
Kama ulikuwepo... hapo anatafuta ulaji tu...rushwaUmenena kweli. Wa hovyo, anawajengea watu wengine fitina akinyimwa anachokitaka.
Hiyo wizara ni kubwa sana kwa Makamba huyu wizara zinazomfaa ni jinsia na watoto au michezo.Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
"Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
Binafsi namuona msukuma yuko sawa, na pia ikumbukwe kuwa yeye anaiwakilisha kamati siyo yeye binafsi.Nimeweka clip, umemsikia msukuma? Wewe mpuuzitu, bisha
Na pia hapo anaiwakilisha kamati na siyo issue yake binafsi.Simtetei Msukuma, wala simlaumu Makamba; nipo interested na mchango wako; naomba kujua ni lini Msukuma aliwahi kuongea UONGO!? I mean ni lini aliwahi kumsingizia mtu (nimesema mtu, sio taasisi au kampuni ). Huaga simkubali sana Msukuma but ningependa kupata proves za when jamaa aliongea uongo kumuhusu mtu.
Haswaaa!!Kwanza hajajibu kisomi na kitalaamu, amejibu kisanii, pili unaonekana wazi uko biased, unamtetea ,hoja ni visingizio kila kukicha, kama hawezi aseme , Mamlaka ziteue mtu mwingine.
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Sawa kabisa mkuu, mi pia sioni kama kuna personal issues hapo.Sijaona kasoro kwenye maswali ya msukuma!
Amekaa kwenye kamati ya Nishati kwa miaka 6 anasema tangia project haijaanza kamati ilikuwa inafika mpaka inaanza walikuwa wanaenda na wlaikuwa wanaona kabisa kitu kinafanyika na mkandarasi hadai certficate mkandarasi anadai mpaka sasa, ila ujenzi hauonekani ukisonga shida nini? Waziri mwanzo alisema hakuna crane yakubeba tani 26 sawa crane imefika zinatolewa sababu nyingine kuwa yale mahandaki yalijengwa substandard ndiyo msukuma anahoji wasomi wenzake vipi mbona mnamuangusha?
Swali jingine ni kukatika kwa umeme, kwa mujibu wa kwenye kamati hawakuona sababu yoyote ya msingi ya kukatika kwa umeme ovyo, na waliiomba Tanesco ilete taarifa ambayo inaonesha huko nyuma miaka mi5 walikuwa wanatumia mbinu gani kufanya umeme usikatike ovyo huku wakifanya maintenance tofuti na sasa? Maana tulibiwa sababu mitambo haikufanyiwa maintanance sababu watu waliogopa kutumbuliwa, mara tukaambuwa mabwawa yamekauka na Waziri kachukua mpaka Herkopta mpaka Mtera pale ila mkurugenzi wa lile bwawa akatoa ukweli kuwa mpk miezi saba mbele wanaweza kuzalisha megawati 80 kama kawaida ata mvua isiponyesha ila mvua zimenyesha baada ya Chief Hangaya kuomba mvua, wakaja maintenance ya siku 10 sawa ila bado kuna tatizo la kukatika kwa umeme ovyo! Shida nni?
Ndo maswlai yasukuma hayo wala hajamlenga mtu kuwa anataka Uwaziri
Hivi nyingi humu mnaochangia uuzi mnamponda msukuma kwa lipi hasa??nini kibaya alichoongea??mimi nasimama na Msukuma!!!Medadi kalemani ajiandae kurudia kwenye wizara ya nishati nitamteua nikishika hatamu!!Sikiliza hapa ili ujione ulivyo mpuuzi
View attachment 2120805
Mkuu tambua kuwa yeye ndiye mwenye dhamana katika wizara husika so he is responsible! Ulitaka aulizwe nani katika wizara???😳Mambo mengine, hata kama hatumpendi mtu, tufanye argument kuonesha tuna akili timamu. Kukatika kwa umeme - hivi huyo Makamba amekuwa technician au electrical engineer ambaye huwa anaenda kukata umeme?
Makamba anabishana na mjumbe wa sukuma gang masaliaKwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
"Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
Huyu kijana anapwaya katika hii wizara. Kwa ujumla hafai kwenye nafasi ya uwaziriWewe unataka kumtetea Makamba inaonekana.
Ni nani anafurahia utendaji wa Makamba? Utendaji ni kukata umeme kwa visingizio lukuki? Walisema maji, Mungu si Athumani, akaleta mvua. Sasa ndio wakaja na visingizio vya maintanance.
Anataka apewe miaka 4 kama vile ndio tumepata uhuru? Kwanini anataka kukata connection ya regime hii na nyingine?
Serikali haikatiki.
Halafu anadhani kila mtu anapenda madaraka kama yeye. Akiulizwa wajibu wake, anakimbilia kwenye madaraka.
Awajibu. Hakuna wa kudumu kwenye siasa.
Hakuna mwenye hati miliki ya uongozi. Uongozi ni dhamana.
kwani maswali aliyouliza kwako unayaona hayana mantiki? Is it a personal issue?Kati ya watu wa hovyo kabisa hapa Tanzania, mmoja ni Musukuma. Nenda huko Geita, utasikia fitina zake. Wenyewe wanamwita ni msema hovyo, na huwatishia watu kuwa atawasema hovyo.
Siridhishwi kabisa na utendaji wa TANESCO, lakini siamini kabisa kuwa eti Musukuma anaweza kwa na brain ya kuchangia chochote kututoa mahali tulipo.
Wamarekani wamekua viwavi sana kwenye hiyo sekta ya nishati.Mwenye matatizo ni Mkuu wa nchi na niombe radhi kusema hayupo serious. Rais serious asingeweza kumweka Makamba kwenye hiyo wizara nyeti. Ninacho fikiri ni kwamba amemweka wizara hiyo ili either amsaidie kukusanya hela za kampeni 2025 au kulinda maslahi ya " wawekazaji" hasa wakimarekani.