Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani makamba anabishana na PhD holder.
Kweli nchi inavijana wa hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani makamba anabishana na PhD holder.
Kweli nchi inavijana wa hovyo
Mambo mengine, hata kama hatumpendi mtu, tufanye argument kuonesha tuna akili timamu. Kukatika kwa umeme - hivi huyo Makamba amekuwa technician au electrical engineer ambaye huwa anaenda kukata umeme?Ulivyoandika tu kwa mtu ambae ana akili kidogo tu anajua uko biased tayari . Unamtetea makamba, toka awe waziri umeme ni kukatika tu ana faida gani?, pia anaonekana wazi kuhujumu bwawa la Nyerere kwa visingizo visivyokuwa na maana yoyote...hamna waziri hapo zaidi ya hisani.
Eti bhana,..msukuma hajapewa Phd bure. Anajua na anaelewa sana.Yaani makamba anabishana na PhD holder.
Kweli nchi inavijana wa hovyo
Kati ya watu wa hovyo kabisa hapa Tanzania, mmoja ni Musukuma. Nenda huko Geita, utasikia fitina zake. Wenyewe wanamwita ni msema hovyo, na huwatishia watu kuwa atawasema hovyo.Hawagombani bali wanafanya siasa!
Msukuma ni mfanyabiashara.
Soyoarrogant tubali ni mjinga kupindukia.Msukuma ni arrogant!
Uko biased kabisa kwenye hoja yakoKwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
" Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
Msukuma ameomba Tanesco wapeleke schedule bungeni kuonyesha kama kweli mitambo haikufanyiwa service kwa miaka 5 mfululizo.Kati ya watu wa hovyo kabisa hapa Tanzania, mmoja ni Musukuma. Nenda huko Geita, utasikia fitina zake. Wenyewe wanamwita ni msema hovyo, na huwatishia watu kuwa atawasema hovyo.
Siridhishwi kabisa na utendaji wa TANESCO, lakini siamini kabisa kuwa eti Musukuma anaweza kwa na brain ya kuchangia chochote kututoa mahali tulipo.
January ni mtoto wa mjini ifike pahali Msukuma atulie kwanza,watoto wa mjini wapo kwenye system acha wafanye ya kwao.
mama Samia ndo kamteua Makamba na anajua kinachotakiwa kifanyike kwenye swala la umeme.
Sasa we popoma umekuja kumkandia msukuma huku au umekuja na mamda watu wadiscus! Sa zingine utumie akili kufikiri kabla hujaja kutoa uharoo wako humu! Makamba anajibu kisomi! Majibu yapi hayo? Tena majibu ya kipuuzi kabisa! Mwanzo alisema mabwawa yamekauka..akaja akasema mitambo inafanyiwa maintenence..sasa hv anasema tuwape muda! Huo ni usomi au usokwe!!Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
" Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
Chama!! Kuna chama hapo! Wachumia tumbo wakubwaa nyie! Wanafk msiovumilika!Msukuma anajisumbua, Makamba ni mwakilishi wa Rais katika Wizara husika sasa kumshambulia ni kutaka chokochoko nyingine kwa aliyemteua.
Hoja za Msukuma hazina mashiko zaidi ya mashambulizi personal - huyu aingie kwenye vikao vyetu vya chama tumuweke sawa maana tukimwacha atazidi kupotosha umma wa watanzania kuhusu mradi huu nyeti.
Siwezi kufikiri kama wewe, sababu uwezo wako wa fikra unaonekana mdogo, kwann kipindi kabla ya JPm kuwa Rais tulikuwa na tatizo kubwa la kukatika umeme,? Baada ya kuwa Rais likapotea na Sasa limerudi? magufuli alikuwa technician? Huwa sihangaiki kijibu wajinga, you're an exception.Mambo mengine, hata kama hatumpendi mtu, tufanye argument kuonesha tuna akili timamu. Kukatika kwa umeme - hivi huyo Makamba amekuwa technician au electrical engineer ambaye huwa anaenda kukata umeme?
"Makamba anapanda helikopta, yeye anatembelea baiskeli"Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
" Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
Umenena kweli. Wa hovyo, anawajengea watu wengine fitina akinyimwa anachokitaka.Uko sahihi 100%, ni mjinga mmoja hivi, mla rushwa bahati mbaya mfumo wetu unaruhusu wapuuzi kama yeye kushika nafasi hizo za maamuzi.
Wanataka Dili za umeme wa gas uliojaa ufisadi, Makamba kwasasa simuamini kabisa Hana chembe ya uzalendo anawaza kumfurahisha aliyempigia debe akaupata uwaziriHalafu mtu kama chinembe anapotosha kuwa alisema Bwawa limejengwa sub standard! What a shame! Msukuma hapa kasema ukweli maana ngo la Makamba ni kuua legacy ya JPM na kuhakikisha wanarudisha magenerator ili JK aendelee kuifisadi hii nchi
Take my words, huyo ni mtu wa hovyo na muongo. Sina haja kutoa ushahidi hapa. Pia nami siyo kwamba namtetea Makamba ila nasema Musukuma wa hovyo siyo kwa sababu ni Msukuma bali yeye kama yeye Musukuma.Simtetei Msukuma, wala simlaumu Makamba; nipo interested na mchango wako; naomba kujua ni lini Msukuma aliwahi kuongea UONGO!? I mean ni lini aliwahi kumsingizia mtu (nimesema mtu, sio taasisi au kampuni ). Huaga simkubali sana Msukuma but ningependa kupata proves za when jamaa aliongea uongo kumuhusu mtu.