Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kuzalisha Umeme siyo rahisi kama kupanda helkopta?Hawagombani bali wanafanya siasa!
Msukuma ni mfanyabiashara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuzalisha Umeme siyo rahisi kama kupanda helkopta?Hawagombani bali wanafanya siasa!
Msukuma ni mfanyabiashara.
Sure!!Makamba ahakikishe tu umeme unawaka wala asimsingizie msukuma maana waziri wa wizara ambayo umeme hauwaki ni yeye Makamba.
Nadhani hukunielewa. Msukuma kasema ukweli na hakusema vibaya. Ni aibu makamba anavyofanyaHivi nyingi humu mnaochangia uuzi mnamponda msukuma kwa lipi hasa??nini kibaya alichoongea??mimi nasimama na Msukuma!!!Medadi kalemani ajiandae kurudia kwenye wizara ya nishati nitamteua nikishika hatamu!!
Je ukimsikiliza Makamba?Tanzania Bado Inamtihani Sio Mchezo
ukimsikiliza Musukuma Hana kosa lolote
😄Na kuondoa uwezekano wa yeye kuwa Rais kabla ya 2040. Hii ni kwa sababu baada ya mama, kwa tamaduni na desturi za CCM 2030 watatuletea MKOLOSAI.
Yawezekana unasema kweli lakini ungetoa baadhi ya mifano michache ya UHOVYO wake ili twende pamoja!Take my words, huyo ni mtu wa hovyo na muongo. Sina haja kutoa ushahidi hapa. Pia nami siyo kwamba namtetea Makamba ila nasema Musukuma wa hovyo siyo kwa sababu ni Msukuma bali yeye kama yeye Musukuma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Makamba anabishana na PhD holder.
Kweli nchi ina vijana wa hovyo
Wala usimtete januari aache mipasho ajibu hoja kwa hoj wala hakuna haja ya kulalamika.Msukuma anajisumbua, Makamba ni mwakilishi wa Rais katika Wizara husika sasa kumshambulia ni kutaka chokochoko nyingine kwa aliyemteua.
Hoja za Msukuma hazina mashiko zaidi ya mashambulizi personal - huyu aingie kwenye vikao vyetu vya chama tumuweke sawa maana tukimwacha atazidi kupotosha umma wa watanzania kuhusu mradi huu nyeti.
Kumekuchaaaaaaaaah.Makamba hawezi kuwa mtendaji mzuri kwenye hii serikali. Toka serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, novemba 5, 2015; Makamba Jr alikuwa na matarajio ya madaraka makubwa pamoja na udogo wake kiumri wakati ule na hata sasa.
Makamba alitarajia apate uwaziri Mkuu lakini akitaka minimum ya waziri wa mambo ya nje. Mambo hayakumwendea vizuri. Aliishia kuwa waziri wa nchi; OMR, Muungano na Mazingira.
Hata baada ya JPM kufariki, akarejesha matumaini yake ya kurudi kwenye baraza la mawaziri. Na bado akawa na matumaini makubwa ya kuwa PM au Waziri wa mambo ya nje. Na bado haijatokea.
Makamba ana tamaa ya madaraka. Hataki wizara inayomdemand yeye kudeliver. Anataka madaraka makubwa ua wizara ya kuuza sura kama hiyo ya Foreign Affairs.
Hapo alipo hana furaha kabisa.
Na bado Makamba anataka kuwa Rais mapema iwezekanavyo. Sasa anashangaa mama anataka kuendelea 2025-2030.
Na kuondoa uwezekano wa yeye kuwa Rais kabla ya 2040. Hii ni kwa sababu baada ya mama, kwa tamaduni na desturi za CCM 2030 watatuletea MKOLOSAI.
Hayo yote yanamchanganya Makamba Jr.
Wapenda madaraka sio watu. Mama anatakiwa kuwa makini.
Mbaya zaidi Mtu anapenda madaraka na bado ana tamaa ya kuwa Super Rich.
Makamba ni mtu wa kumuondoa kwenye cabinet. Abaki back bencher. Apange harakati zake akiwa back bencher.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahWe, baada ya SSH anafuata Rais Nape Moses Nhauye
Wapi huko?Huo umeme unakatikaga wapi, mbona hapa una miezi 6,walikataga siku moja tu? [emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani mtoto wa mjini kakulia Bukoba na usambaani huyo. Husidhalilishe wa watoto wa mjini kama JK
Na amewaambia hiyo mitambo isopfanyiwa maintance kelele zake hakuna mtu atakaa!🤌Makamba ni mpigaji tangu day one!
[emoji871]Ameongea porojo kibao za kutaka kutuonyesha uzito na umuhimu wa maintenance.
[emoji871]Lakini Mh Musukuma alikwishaomba TANESCO walete Maintenance schedule ili bunge lijiridhishe kama baadhi ya maintenance hazikuwa zikifanyika.
[emoji871]Ameongea kuhusu baadhi ya njia za umeme kutokidhi uwezo wa mahitaji ya wateja huko Site.
Je hiyo ndiyo isababishe kuukata umeme nchi nzima?
[emoji871]Anachokijua na kukifanyia kazi yeye, ni kuzalisha miradi ndani ya TANESCO ambayo itamzalishia uwezekano wa 10%.
[emoji871]Anajibu wabunge kwa kiburi kama vile yeye na Samia lao ni moja.
Hii ni kibri ya kupewa kutoka msoga!
[emoji871]Amejibu nusu tu ya tuhuma za MusuKuma
[emoji871]Mbona ameongelea miradi ya nyaya na uwezo wake wa kubeba umeme tu.
[emoji871]Hakuna alipoongelea hoja nzito kuhusu kusuasua kwa JHNP pamoja na kuwa serikali imekwishalipa pesa kwa asilimia kubwa?
[emoji871]Huyu ndie atakuwa kichocheo cha wananchi kumnyima kura Samia kwa wingi na kwa hasira.
[emoji871]Tulikwisha sahau majibu ya kebehi kutoka kwa wabunge.
[emoji871]Ila kwa hii serikali ya was*ahili.
[emoji871]Tumerudishwa 1995!
[emoji145]Muda utaongea soon.....
wote wanamatatizo,kwa hadhi aliyonayo makamba alitakiwa kuwa na busara na si kujibu kihuni namna hiyo.tatizo hawa vijana wanaopewa madaraka huwa hawana hekima na busara.mama awe makini ktk chaguzi zake.Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii kisomi na kitaalamu zaidi lakini mwisho wa majibu yake anamwambia Musukuma
"Kama una shida na uwaziri, sema mengine ila kama shida ni ukatikaji wa umeme ilo sio tatizo langu."
Kwa kauli ya Makamba na Musukuma inaonesha hawa watu hawako kwenye good term Liko jambo linafukuta kati ya watu hawa wawili.
Ikumbukwe Makamba ni Waziri kwa miezi minne tu, ila Musukuma ni mjumbe wa kamati kwa miaka 6, kwanini anayoelezea Makamba kamati haiyajui? Au ni makusudi ya wasukuma kujiziba masikio?
Au ni chuki maana nasikia Makamba hatoi bahasha kwa wajumbe wa kamati wakija. Kumtembelea?
Musukuma anasema Makamba anapanda Elikopita kukagua mabwawa wakati yeye anaendaga na baiskeli.
Nini kinaendelea kati ya Musukuma na Makamba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... uzuri wote vigagula; hakuna wa kumtisha mwenzie kwa "njia za asili"; kila wakipimana wanajikuta wote "wameaga". Mwisho wa siku zitabaki kuwa kelele tu zisizo na tija.
Uongo wake ni upi?Take my words, huyo ni mtu wa hovyo na muongo. Sina haja kutoa ushahidi hapa. Pia nami siyo kwamba namtetea Makamba ila nasema Musukuma wa hovyo siyo kwa sababu ni Msukuma bali yeye kama yeye Musukuma.
Blaa BlaaJe ukimsikiliza Makamba?