Nini definition ya "kupindua serikali" na nini definition ya "uhaini".kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu?

Unajua maana ya wivu?

Tukirudi kwenye hoja/hii sheria, wananchi, kama alivyosema Dr. Slaa, wakiandamana mpaka Rais atoke madarakani, wanakuwa wamefanya uhaini?
Kuhamasisha maandamano kutaka kumtoa Rais Madarakani ni uhaini kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu
 
Wakipatikana na hatia wapunguziwe adhabu Samia ana huruma sana
Hata mimi naomba iwe hivyo wapunguziwe adhabu kama ikitokea wakapatikana na hatia.
walijisahau wakaona mama ni mpole hanaga hasira na ghadhabu kumbe la hasha mama ni mkali" "ukimzingua mtazinguana"
 
Acha uvivu soma kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu.

Hao watu wenu hawachomoki hata wawalete mawakili malaikaView attachment 2719075
Sasa hao wamefanya makosa gani kati ya hayo yaliyotajwa ktk sheria hiyo?

Naona kila tendo la kosa linaelekezwa kwa Rais tena likiwa na lengo la kumuua au kumuondolea hadhi au wadhifa wake wa U-rais..

Kuna wakati wowote hawa jamaa wametengeneza mkakati wa kutaka kumuua Rais au kumwondolea wadhifa wake wa U-rais? How this was organized?

Kwa kifupi sana ni kuwa, Camillius Wambura (IGP) na DCI wake Ramadhani Kingai this time movie ni ya kijinga na kipumbavu zaidi kuliko ile ya ugaidi fake wa Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe..
 
Soma kifungu cha 39 (2) (b) (c) na (d) alafu sikuliza clips zao kisha chagua mwenyewe kusuka au kunyoa
 
Nimesoma, sasa narudi kwako, ni kosa gani watuumiwa wamelifanya mpaka kuitwa mahaini?

Usijibu, sa 11 jioni tayari nenda kachukue Buku7 lako pale lumumba.
Watuumiwa ❌
Watuhumiwa ☑️
Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?
 
Sasa hao wamefanya makosa gani kati ya hayo yaliyotajwa ktk sheria hiyo?

Naona kila tendo la kosa linaelekezwa kwa Rais tena likiwa na lengo la kumuua au kumuondolea hadhi au wadhifa wake wa U-rais..

Kuna wakati wowote hawa jamaa wametengeneza mkakati wa kutaka kumuua Rais au kumwondolea wadhifa wake wa U-rais? How this was organized?

Kwa kifupi sana ni kuwa, Camillius Wambura (IGP) na DCI wake Ramadhani Kingai this time movie ni ya kijinga na kipumbavu zaidi kuliko ile ya ugaidi fake wa Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe..
Haya maelezo pelekeni mahakamani 🔨
 
Back
Top Bottom