Nini definition ya "kupindua serikali" na nini definition ya "uhaini".kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu?

Nini definition ya "kupindua serikali" na nini definition ya "uhaini".kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu?

na anayesaini mikataba mibovu kama ya madini na bandari?
hujasikia hukumu ya mahakama kuu Mbeya juzi? Nyie mbona ni wapumbavu hivyo? mkataba ule ni safi mahakama imesema, unataka usikie kauli ya nani tena, ya hao wazushi na wapotoshaji wako?
 
Nimesoma, sasa narudi kwako, ni kosa gani watuumiwa wamelifanya mpaka kuitwa mahaini?

Usijibu, sa 11 jioni tayari nenda kachukue Buku7 lako pale lumumba.
kosa la uhaini, kwani we ukiitwa mwizi umefanya kosa gani, tumia akili badala ya makalio kijana
 
Acha uvivu soma kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu.

Hao watu wenu hawachomoki hata wawalete mawakili malaikaView attachment 2719075
Yaleyale ya Mbowe na kesi ya Ugaidi,Jeshi letu la Polisi halina uwezo mkubwa wa kiuchunguzi,ata Tume Haki Jinai imeonesha udhaifu wa Jeshi la Polisi kiupelelezi.
Huwa wanaongozwa na mihemko,ku-prove mashitaka mbele ya Mahakama wanachemka.
 
na anayesaini mikataba mibovu kama ya madini na bandari?
na yeye ni muhaini vile vile- kushirikiana na wageni kuanzisha vita hata ya maneno ndani ya Jamuhuri bila ridhaa ya wananchi ( Tafsiri yangu)- na yeye anyongelewe mbali...
 
Kumbe Kupingaa mikataba ya kilaghaiii ni uhainii[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Baada ya kusikiliza clip ya Dr. Slaa inayotajwa kuwa ndio ushahidi wa Dr. Slaa kuongea kusudio la kupindua serikali, binafsi naamini huko mahakamani definition ya uhaini kwa maana ya kupindua serikali ni lazima vitatumika katika kutoa hukumu.

Hivyo, ningependa kujua uuhaini ni kitu gani hasa kwa mujibu wa sheria husika? na zaid maneno "kupindua serikali" yanatasiriwa vipi katika sheria za nchi hii.

Kwa kuanza, tunaomba anaeweza kututuwekea sheria nzima ya uhaini afanye hivyo ili tupate walau mwanga uhaini ni kitu gani na zaid ili uhaini utimie au uhesabike ni uhaini , vitendo au matamshi gani na katika mazingira gani yanawzeza ku-fit definition ya uhaini na kumtia mtu hatiani/matatani.

Naamini kupitia kesi hii, tutajifunza mengi kama kwenye ile kesi ya ugaidi aliyopewa Freeman Mbowe.
Tunapoelekea hata watoto watapewa case za uhaini kukemea TABIA za ulevi wa wazazi wao!!!

Bandari zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa, Wala kugawiwa Bure Kwa wageni.

Kataa wahuni.
 
we kapeleke mahakamani hiyo yenye nafasi, yaani we ni mpumbavu huna hata repair, katiba haina nafasi mahakamani? Nakusikitikia
Nimeongelea katiba au hiyo definition ya uhaini ya kwenye mtandao? Acha kudandia treni kwa mbele utakufa siku si zako.
 
Back
Top Bottom