gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Kwani wewe ndiye mahakama.Subiri muda utatoa majibu sio matamanio yako yako yakindezi yakuwahukum ata kabla hawajapelekwa mahakamani.Acha uvivu soma kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu.
Hao watu wenu hawachomoki hata wawalete mawakili malaikaView attachment 2719075