Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
-
- #61
Wananchi wakiandamana kutaka Raisi ajiuzuu na akajiuzulu au akakimbia nchi, huo ni uhaini?Soma Sheria yetu alafu linganisha na hayo maneno!
Soma Sheria na linganisha na maneno ya Dr. SlaaWananchi wakiandamana kutaka Raisi ajiuzuu na akajiuzulu au akakimbia nchi, huo ni uhaini?
hujasikia hukumu ya mahakama kuu Mbeya juzi? Nyie mbona ni wapumbavu hivyo? mkataba ule ni safi mahakama imesema, unataka usikie kauli ya nani tena, ya hao wazushi na wapotoshaji wako?na anayesaini mikataba mibovu kama ya madini na bandari?
kasome sheria we kengeRais kapinduliwa?
subiri uamuzi wa mahakamaUnajua maana ya wivu?
Tukirudi kwenye hoja/hii sheria, wananchi, kama alivyosema Dr. Slaa, wakiandamana mpaka Rais atoke madarakani, wanakuwa wamefanya uhaini?
Kapuku kweni walinyongwa au walifungwa mileleNani kakwambia kina Hans Pope walichomoka? Unadhani sisi wote humu wajinga kama wewe eeeh??
kosa la uhaini, kwani we ukiitwa mwizi umefanya kosa gani, tumia akili badala ya makalio kijanaNimesoma, sasa narudi kwako, ni kosa gani watuumiwa wamelifanya mpaka kuitwa mahaini?
Usijibu, sa 11 jioni tayari nenda kachukue Buku7 lako pale lumumba.
Kushawishi wananchi waandamane kutaka serikali ijiuzulu ni uhaini/kuchochea uhaini?Soma Sheria na linganisha na maneno ya Dr. Slaa
Wewe unaona hapo kuna kesi au uonevu tu. Anyway hata wakinyongwa mpaka kufa ndio nini,,, nani ataishi milele if i may askSlaa na wenzake hawawezi kuchomoka kwenye hii kesi, adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa
Kifungu kinasemajeAcha uvivu soma kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu.
Hao watu wenu hawachomoki hata wawalete mawakili malaikaView attachment 2719075
Yaleyale ya Mbowe na kesi ya Ugaidi,Jeshi letu la Polisi halina uwezo mkubwa wa kiuchunguzi,ata Tume Haki Jinai imeonesha udhaifu wa Jeshi la Polisi kiupelelezi.Acha uvivu soma kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu.
Hao watu wenu hawachomoki hata wawalete mawakili malaikaView attachment 2719075
Sawa mama mwenye nyumba, nimekuelewakosa la uhaini, kwani we ukiitwa mwizi umefanya kosa gani, tumia akili badala ya makalio kijana
Sawa mke wa jiranikasome sheria we kenge
Hakuna kesi ya uhaini hapo.Acha uvivu soma kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu.
Hao watu wenu hawachomoki hata wawalete mawakili malaikaView attachment 2719075
na yeye ni muhaini vile vile- kushirikiana na wageni kuanzisha vita hata ya maneno ndani ya Jamuhuri bila ridhaa ya wananchi ( Tafsiri yangu)- na yeye anyongelewe mbali...na anayesaini mikataba mibovu kama ya madini na bandari?
Tunapoelekea hata watoto watapewa case za uhaini kukemea TABIA za ulevi wa wazazi wao!!!Baada ya kusikiliza clip ya Dr. Slaa inayotajwa kuwa ndio ushahidi wa Dr. Slaa kuongea kusudio la kupindua serikali, binafsi naamini huko mahakamani definition ya uhaini kwa maana ya kupindua serikali ni lazima vitatumika katika kutoa hukumu.
Hivyo, ningependa kujua uuhaini ni kitu gani hasa kwa mujibu wa sheria husika? na zaid maneno "kupindua serikali" yanatasiriwa vipi katika sheria za nchi hii.
Kwa kuanza, tunaomba anaeweza kututuwekea sheria nzima ya uhaini afanye hivyo ili tupate walau mwanga uhaini ni kitu gani na zaid ili uhaini utimie au uhesabike ni uhaini , vitendo au matamshi gani na katika mazingira gani yanawzeza ku-fit definition ya uhaini na kumtia mtu hatiani/matatani.
Naamini kupitia kesi hii, tutajifunza mengi kama kwenye ile kesi ya ugaidi aliyopewa Freeman Mbowe.
Nimeongelea katiba au hiyo definition ya uhaini ya kwenye mtandao? Acha kudandia treni kwa mbele utakufa siku si zako.we kapeleke mahakamani hiyo yenye nafasi, yaani we ni mpumbavu huna hata repair, katiba haina nafasi mahakamani? Nakusikitikia
Wewe vipi wenzako wananyeo MTONDOO wewe unaleta utani?Hakuna kesi ya uhaini hapo.