Mbona hulalamiki crdb au nbc kuwa na islamic banking?Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.
View attachment 2940349
Actually ni Economics, Business studies and Religion..
Lakini naona umeamua kufuta/Christianity ili uonekane uko makini sana sio 🐒
Islamic Banking
Kumbe hoja hapa ni kuhusu uzuri wa jina au kitakachosomwa?Hao watunga-mitaala hata hawajui kuchagua majina ya maana.
Economics, Business studies and Islamic knowledge vingepaswa kuitwa IBE au BEI.
Business studies, Accountancy na Mathematics vikaitwa MAB au BMA au ABM, nk.
mie nadhani ni muhimu sana ili tuwe na wachumi na wafanyibiashara wenye Imani thabiti, wanaomjua Mungu, wenye hofu ya Mungu, wa kweli, wa uaminifu, wasiopenda rushwa hongo na udanganyifu 🐒Hii tahasusi tukiwauliza wafanyabiashara wakubwa nchini, Wakinga, Wachaga, Waarabu, Wabena, Wasukuma, Wahindi na wengine, JE DINI ZINAPEWA KIPAUMBELE KWENYE BIASHARA ZAO?
Hili liko wasi kbsaaa anajitahidi kwa namna yoyote ile avuruge na alete udiniSamia kaja kuigawa hii nchi kwa UDINI. Vyomo vya ulinzi na usalama ongezeni umakini.
Kwa hiyo wachumi wa dini ya kiislam? Hahahahaha ….we mchengerwa umepije hapo😂😂😂😂😂mie nadhani ni muhimu sana ili tuwe na wachumi na wafanyibiashara wenye Imani thabiti, wanaomjua Mungu, wenye hofu ya Mungu, wa kweli, wa uaminifu, wasiopenda rushwa hongo na udanganyifu 🐒
inahitajika wachumi na wafanyibiashara walipakodi kwa hiari bila kuibia serikali n.k🐒
rejea machumi na mafanyabiashara yasio eleweka dini zao ndio hayo mafisadi na mavuruga uchumi 🐒
Kumbe hoja hapa ni kuhusu uzuri wa jina au kitakachosomwaHao watunga-mitaala hata hawajui kuchagua majina ya maana.
Economics, Business studies and Islamic knowledge vingepaswa kuitwa IBE au BEI.
Business studies, Accountancy na Mathematics vikaitwa MAB au BMA au ABM, nk.
natafakari hasa juu ya mambo mawili; Mafanikio ya mmiliki wa Elimu yake na Mafanikio ya Serikali kutoka kwa Mmiliki wa elimu.mie nadhani ni muhimu sana ili tuwe na wachumi na wafanyibiashara wenye Imani thabiti, wanaomjua Mungu, wenye hofu ya Mungu, wa kweli, wa uaminifu, wasiopenda rushwa hongo na udanganyifu 🐒
inahitajika wachumi na wafanyibiashara walipakodi kwa hiari bila kuibia serikali n.k🐒
rejea machumi na mafanyabiashara yasio eleweka dini zao ndio hayo mafisadi na mavuruga uchumi 🐒
Kuna ubaya gani kuwa na tahasusi yenye Islamic studies, mkuu?Kumbe hoja hapa ni kuhusu uzuri wa jina au kitakachosomwa?
mafanikio ya mmiliki wa Elimu yake ni wizi usio na mipaka,hofu wala kukoma coz anatumia Elimu yake kujifichaKumbe hoja hapa ni kuhusu uzuri wa jina au kitakachosomwa
natafakari hasa juu ya mambo mawili; Mafanikio ya mmiliki wa Elimu yake na Mafanikio ya Serikali kutoka kwa Mmiliki wa elimu.
Kuna ubaya gani kuwa na tahasusi yenye Islamic studies, mkuu?
Kudhani kwamba huko ni kueneza udini, huo ndio ushamba wenyewe.
Kwa nini wanafunzi waijifunze skuli kama haiwekwi kwenye tahasusi?
Usisahau kwamba kuna Watanzania zaidi ya milioni 60 sasa.
Je, unataka wote wabobee lugha ya Inglishi au Kiswahili halafu nani atutafsirie mkataba wa Mwarabu wa DP World?
Hiyo 'ni' katikati ya nasikia...na ukimaliza umeweka ya nini Sasa?Hii naskia ni ukimaliza kusoma ukienda bandarini haukosi kazi dp world
mafanikio ya mmiliki wa Elimu yake ni wizi usio na mipaka,hofu wala kukoma coz anatumia Elimu yake kujificha 🐒
Mafanikio ya serikali kwa mmiliki wa Elimu ni hasara tu kwasasa, miradi hewa, miradi chini ya kiwango, upotevu wa fedha na mapato n.k
Hiyo ni ORDER kutoka Juu, hata Adolf Mkenda hatakiwi kuhoji, lasivyo ataachia kitiSerikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.
Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?
Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.
View attachment 2940349
ORDER kutoka juuWatu wenye uwezo mzuri wa kutafakari hawawezi kufanya hichi kitu.