Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.

Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?

Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.

View attachment 2940349
Mbona hulalamiki crdb au nbc kuwa na islamic banking?
 
Hii tahasusi tukiwauliza wafanyabiashara wakubwa nchini, Wakinga, Wachaga, Waarabu, Wabena, Wasukuma, Wahindi na wengine, JE DINI ZINAPEWA KIPAUMBELE KWENYE BIASHARA ZAO?
Actually ni Economics, Business studies and Religion..

Lakini naona umeamua kufuta/Christianity ili uonekane uko makini sana sio 🐒
 
Hao watunga-mitaala hata hawajui kuchagua majina ya maana.

Economics, Business studies and Islamic knowledge vingepaswa kuitwa IBE au BEI.

Business studies, Accountancy na Mathematics vikaitwa MAB au BMA au ABM, nk.
Kumbe hoja hapa ni kuhusu uzuri wa jina au kitakachosomwa?
 
Hii tahasusi tukiwauliza wafanyabiashara wakubwa nchini, Wakinga, Wachaga, Waarabu, Wabena, Wasukuma, Wahindi na wengine, JE DINI ZINAPEWA KIPAUMBELE KWENYE BIASHARA ZAO?
mie nadhani ni muhimu sana ili tuwe na wachumi na wafanyibiashara wenye Imani thabiti, wanaomjua Mungu, wenye hofu ya Mungu, wa kweli, wa uaminifu, wasiopenda rushwa hongo na udanganyifu 🐒

inahitajika wachumi na wafanyibiashara walipakodi kwa hiari bila kuibia serikali n.k🐒

rejea machumi na mafanyabiashara yasio eleweka dini zao ndio hayo mafisadi na mavuruga uchumi 🐒
 
Hahhaha hichi ni kituko cha mwaka sasa hapo islamic knowladge ina husiana vipi na hayo masomo ya biashara? Hahahahaha bora wangeanzisha combination mpya iwetwe D.P.W ili ukimaliza kusoma tuu unapewa ajira bandarini au waanzishe course iitwe islamic state hahahaha
Yani hii nchi hii na hiyo ndio kazi aliyopewa mchengerwa hahahaha
 
Samia kaja kuigawa hii nchi kwa UDINI. Vyomo vya ulinzi na usalama ongezeni umakini.
Hili liko wasi kbsaaa anajitahidi kwa namna yoyote ile avuruge na alete udini

Kwanza anateua waislamu wasiokuwa competent kwa nafsi zao ili mradi tu Ni muislamu Basi anamteua

Nasikia badaa yake yeye ataingia muslamu tena
 
mie nadhani ni muhimu sana ili tuwe na wachumi na wafanyibiashara wenye Imani thabiti, wanaomjua Mungu, wenye hofu ya Mungu, wa kweli, wa uaminifu, wasiopenda rushwa hongo na udanganyifu 🐒

inahitajika wachumi na wafanyibiashara walipakodi kwa hiari bila kuibia serikali n.k🐒

rejea machumi na mafanyabiashara yasio eleweka dini zao ndio hayo mafisadi na mavuruga uchumi 🐒
Kwa hiyo wachumi wa dini ya kiislam? Hahahahaha ….we mchengerwa umepije hapo😂😂😂😂😂
 
Hao watunga-mitaala hata hawajui kuchagua majina ya maana.

Economics, Business studies and Islamic knowledge vingepaswa kuitwa IBE au BEI.

Business studies, Accountancy na Mathematics vikaitwa MAB au BMA au ABM, nk.
Kumbe hoja hapa ni kuhusu uzuri wa jina au kitakachosomwa
mie nadhani ni muhimu sana ili tuwe na wachumi na wafanyibiashara wenye Imani thabiti, wanaomjua Mungu, wenye hofu ya Mungu, wa kweli, wa uaminifu, wasiopenda rushwa hongo na udanganyifu 🐒

inahitajika wachumi na wafanyibiashara walipakodi kwa hiari bila kuibia serikali n.k🐒

rejea machumi na mafanyabiashara yasio eleweka dini zao ndio hayo mafisadi na mavuruga uchumi 🐒
natafakari hasa juu ya mambo mawili; Mafanikio ya mmiliki wa Elimu yake na Mafanikio ya Serikali kutoka kwa Mmiliki wa elimu.
 
Taifa letu halina dini na hivyo uchumi wa nchi hautafungamana na dini yoyote. Vivyo hivyo serikali ya Tanzania haina dini.
Hata hivyo, kwa sababu ya Watendaji wengi wa serikali kuwa na fikra za kujikomba na pia puppets mentality, siyo ajabu kuyaona haya.
Tunahitaji raia na Watendaji imara wa ofisi za Uma wanaosimamia misingi ya taifa inayowaunganisha wananchi wote kwa mustakabali mwema wa jamii ya Tanzania na taifa kwa ujumla.
 
Kumbe hoja hapa ni kuhusu uzuri wa jina au kitakachosomwa?
Kuna ubaya gani kuwa na tahasusi yenye Islamic studies, mkuu?

Kudhani kwamba huko ni kueneza udini, huo ndio ushamba wenyewe.

Kwa nini wanafunzi waijifunze skuli kama haiwekwi kwenye tahasusi?

Usisahau kwamba kuna Watanzania zaidi ya milioni 60 sasa.

Je, unataka wote wabobee lugha ya Inglishi au Kiswahili halafu nani atutafsirie mkataba wa Mwarabu wa DP World?
 
I don't care. Mimi natafuta pesa. Mambo ya dini na nini hayanihusu.
 
“Things fall apart “ Chinuo Achebe mama anaupiga mwingi anataka nae awe na jina akiondoka madarakani kua ile ni wkt wa uongozi wangu,ndio maana Ndalichako walimtoa kwakua alikua anafanya vzr sn
 
Kumbe hoja hapa ni kuhusu uzuri wa jina au kitakachosomwa

natafakari hasa juu ya mambo mawili; Mafanikio ya mmiliki wa Elimu yake na Mafanikio ya Serikali kutoka kwa Mmiliki wa elimu.
mafanikio ya mmiliki wa Elimu yake ni wizi usio na mipaka,hofu wala kukoma coz anatumia Elimu yake kujificha

Mafanikio ya serikali kwa mmiliki wa Elimu ni hasara tu kwasasa, miradi hewa, miradi chini ya kiwango, upotevu wa fedha na mapato n.k
 
Kuna ubaya gani kuwa na tahasusi yenye Islamic studies, mkuu?

Kudhani kwamba huko ni kueneza udini, huo ndio ushamba wenyewe.

Kwa nini wanafunzi waijifunze skuli kama haiwekwi kwenye tahasusi?

Usisahau kwamba kuna Watanzania zaidi ya milioni 60 sasa.

Je, unataka wote wabobee lugha ya Inglishi au Kiswahili halafu nani atutafsirie mkataba wa Mwarabu wa DP World?
  • Hakuna ubaya hasa ikiwa ni tahasusi kwenye upande wa tahasisi za kidini siyo kwenye tahasusi muhimu kama hiyo. (mtizamo wangu)
  • Kuwa mshamba si jambo baya, ni hatua ya kupitia ili kujua mambo makubwa.
  • Wanapaswa wajifunze ili wakue na maadili mema kwa ujumla wote kwa pamoja bila kujali tahasusi, (Waislamu na Uislamu na Wakristo na Ukristo)
  • Hakuna uhusiano kati ya lugha ya Kiingereza au Kiswahili na Sheria za mikataba ya Waarabu hata kama ni DP Worlp
 
Kwa comment hii ipo haja ya kuendelea kutafakari zaidi🤔 🤔 🤔
mafanikio ya mmiliki wa Elimu yake ni wizi usio na mipaka,hofu wala kukoma coz anatumia Elimu yake kujificha 🐒

Mafanikio ya serikali kwa mmiliki wa Elimu ni hasara tu kwasasa, miradi hewa, miradi chini ya kiwango, upotevu wa fedha na mapato n.k
 
Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.

Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?

Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.

View attachment 2940349
Hiyo ni ORDER kutoka Juu, hata Adolf Mkenda hatakiwi kuhoji, lasivyo ataachia kiti

Baada ya miaka kadhaa tunataka Watoto wetu katika Imaan washikilie uchumi wa nchii hii

Makafiri Wameshikilia sana na Mfumo Kristo wao.

TAKIBIIIR.....!
 
Back
Top Bottom