Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

Mimi ningeshauri badala ya kuweka Islamic knowledge waweke Religious studies kama somo. Hii itasaidia mtoto awe na uwanda mpana wa kuelewa mambo na kupunguza religious fundamentalism in the future
 
Kwani Tamisemi ni Wizara ya Muungano?
 
Mimi ningeshauri badala ya kuweka Islamic knowledge waweke Religious studies kama somo. Hii itasaidia mtoto awe na uwanda mpana wa kuelewa mambo na kupunguza religious fundamentalism in the future
Kwa level ya sekondari, kuunganisha pamoja masomo ya dini ni kuwadhilimu (abuse) wanafunzi.
 
Nasikia na vyuo wanaleta fakati mpya ambazo ni:
*Pro janab medical food
*Dkt tuli spika and microphone
*SGR mbarawa speed
*Tozo and Kodi mwigulu skafu
*Mirad ayo CCM
*Royal family mama mkwe
*How to be magu bypass women
 
Samia kaja kuigawa hii nchi kwa UDINI. Vyomo vya ulinzi na usalama ongezeni umakini.
Wewe ni mpumbavu kwanza hata Mimi nilishangaa ila nikachagua kukaa kimya ninifunze,nimegundua Kuna mambo ya Islamic Banking ambayo Zanzibar ipo au wahusika wanaweza fanya kazi Nchi za Kiislamu Kwa hiyo wako sahihi.

Mwisho hizo ni option za kusoma Sasa wewe zinakugawa vipi? Maana hakuna anaelazimishwa hapo.
 
Vyuo Vikuu vinafindisha Degree za dini na maswala ya Islamic Banking nk,jitu halijui.linakurupuka tuu as if Kuna mtu atalazimishwa kusoma hayo masomo.

Punguzeni kuwa na akili fupi ,maisha sio Tanzania tuu ni pamoja na kwingine ambako wanaweza pata fursa Kwa mlengo wa masomo ya dini.
 
NI combination za wajinga wajinga. Ni wazaz wapumbavu watakaruhus mtoto akae 2 years akisoma huo ushenzi.
Na kwa kumalizia, combinations hizo hutakaa uzipate shule za private, never. Zitabaki huku huku kwenye shule za kifala fala hiz zinazoitwa shule za serikali.
 
Kuna harufu mbaya ya Udini
Wao wameweka Arabic & Islamic knowledge, na wasiokuwa wao wana Divinity bila Christian knowledge 🤣,

anyway, vyovyote vile, hakungekuwa na haja kuweka mambo hayo kwenye tahasusi katika dunia hii iliyokasi na inayo ongeza wigo wa tofauti katika binadamu
 
Haya ma combimation mapya ni ya watoto wa makapuku, comb zinabakia zilezile za zamani ambazo watu wenye uwezo watawapeleka watoto wao shule za private ndani ama nje ya nchi.
 
Je Mkristo akimaliza Kidato Cha Nne ataruhusiwa kusoma hizo Combinations zenye Islamic Religion na Kisha Kuzitafutia Pesa huku Akiwa Bado Mkristo?
 
Umewahi kusoma Islamic Studies kwenye maisha yako?
 
Hiyo ni ORDER kutoka Juu, hata Adolf Mkenda hatakiwi kuhoji, lasivyo ataachia kiti

Baada ya miaka kadhaa tunataka Watoto wetu katika Imaan washikilie uchumi wa nchii hii

Makafiri Wameshikilia sana na Mfumo Kristo wao.


TAKIBIIIR.....!
Wakristo wakati mwingine mna uwoga usio na maana yoyote. Bahati mbaya huwa mnapinga hata kwenye jambo ambalo hamna elimu nalo wala ufahamu nalo.
 
unawajua Magaidi wewe, Nioneshe Muislamu katika list ya watu hawa
HITLER
NETANYAHU
GEORGE BUSH
GENGHIS KHAN
BENITO MUSSOLINI
KING LEOPOLD OF BELGIUM
STALIN
POL POT
IVAN THE TERRIBLE
Kumbe Hitler aliua na kulipua hata weusi na mataifa mengine.. Hitler Bwana
 
Hizi combination zilizokaa kidini wangeziacha tuu,, Hazina Maana zitaleta udini.. Vyombo vya ulinzi na usalama angalieni Mambo Hayo Acheni Kuwa Ndio Mzee,, Tunaharibu Nchi. Acheni Hayo mtalaumiwa baadaye.
 
Mbona hakuna kituko hapo kila kitu kipo sawa
 
Hivi hivi nchi ina dini moja?
Hapo tunaona Islamic tu
Bible knowledge imeondolewa?
Divinity ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…