Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

mie sina haki, na wala sistahili kuhukumu wengine kwa chochote, ispokua Mwenyezi Mungu pekee mwenye kuhukumu kwa haki πŸ’
Umebadilisha tena gia we siumesema watu tofauti na waislamu ni waizi sana kwa hiyo wanahitajika waislamu ili wasiibe

Kikwete alikua rais muislamu ila kipindi cha utawala wake kulikua na uwizi wa kufa mtu
 
Islamic Banking ni sekta inayokua sana kwenye sekta ya fedha duniani kwa sasa. Kama tumekubali Bank zetu zitoe huduma hiyo ya Islamic Banking , basi ni salama hata wataalamu wa eneo hilo wakatoka hapa hapa watanzania kuliko foreigners.
 
Umebadilisha tena gia we siumesema watu tofauti na waislamu ni waizi sana kwa hiyo wanahitajika waislamu ili wasiibe

Kikwete alikua rais muislamu ila kipindi cha utawala wake kulikua na uwizi wa kufa mtu
usinilishe maneno tafadhali πŸ’

nimesistiza masomo ya dini yawepo ili kusudi tupate watumishi na viongozi wanaomjua Mungu vizuri, watu wa Ibada, wawe na hofu ya Mungu, watu wa utaratibu, wawatendee haki wengine n.k....πŸ’

hiyo sijui dini gani na gani hilo ni lako πŸ’
 
Kuna watu niwapani na wanatenda haki na kuna watu kama ramadhan dau alikua fisadi wa kufa mtu na alikua swala tano
 
Kwa nini Uarabuni hakujaendelea kama West?
Kwa nini Uarabuni wanategemea West kuwaendeleza?
 
Kuna watu niwapani na wanatenda haki na kuna watu kama ramadhan dau alikua fisadi wa kufa mtu na alikua swala tano
nachelea kusisitiza tena mimi si mkamilifu hata kidogo mbele ya wanadamu wenzangu na mbele za Mungu πŸ’

sistahili kumsingizia mtu chochote na kumuhukumu, ispokua Mwenyezi Mungu mwenye hukumu ya haki πŸ’
 
Kwani kwanini watu wanasoma ? Ni kwamba unapata skills za kupambana na mazingira yako; kwahio kama hilo litawafanya wapambane na mazingira basi sawa....; ila kusema kwamba hili litasaidia watu kimendeleo ninawakumbusha tu.....

Don't let Schooling Interfere with your Education.....

Kwenye uislam kuna elimu kubwa sana ya biashara.

Wafanyabiashara wengi wa tanzania ni waislamu, na wala hawana western education ni islamic knowledge informal way (madrasa).
Angalia hii comment mimi na wewe nani hajui aandikacho

Nikusaidie kitu hao matajiri wa kiislamu watoto wao wanasoma ism, breburn na kwingineko
 
Islamic banking, kuna islamic insurance, nk. Usilinganishe ukristo na uislam. Uislam ni mfumo kamili wa maisha. Ndio huku riba ni haramu na ukristo upo kimya
 
Islamic banking, kuna islamic insurance, nk. Usilinganishe ukristo na uislam. Uislam ni mfumo kamili wa maisha. Ndio huku riba ni haramu na ukristo upo kimya
Huu mfumo wa bank umetoka na wayahudi kwenye torati ukitoa ndugu unarusiwa kuchukua riba

Hata Yesu alitoa mifano ya riba kwenye ukristo riba inarusiwa na sio dhambi

Mfumo wa sasa wa commercial bank uliopo waanzilishi ni wayahudi kama ulikua hulijui hilo
 
Ndiyo maana kuna kuchagua, chagua inayokufaa wewe. Ukienda chuo kwa tahasusi hiyo unaweza kusoma uchumi, business administration au mambo ya dini ya kiislamu mbona hamna shida?
 
Kwa nini Uarabuni hakujaendelea kama West?
Kwa nini Uarabuni wanategemea West kuwaendeleza?
Tatizo nchi nyingi za uarabuni wamefata mila za west. Watawala wao wanajipendekeza huko ndio tatizo. Wakiongoza kwa mujibu wa Quran west ndio wataomba msaada nchi za kiislam
 
Wataongeza Na Divinity
Sema Islamic Knowlegde iko broad sana, niliwahi kupitia mitihani kadhaa ya Islamic Knowlegde na Divinity, divinity imebase sana kwenye imani wakati Islamic Knowledge ipo na hata mambo ya kijamii ikiwemo na hayo ya uchumi. Nadhani huenda wameona iwe hivo.

Maono yangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…