Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

mie sina haki, na wala sistahili kuhukumu wengine kwa chochote, ispokua Mwenyezi Mungu pekee mwenye kuhukumu kwa haki šŸ’
Umebadilisha tena gia we siumesema watu tofauti na waislamu ni waizi sana kwa hiyo wanahitajika waislamu ili wasiibe

Kikwete alikua rais muislamu ila kipindi cha utawala wake kulikua na uwizi wa kufa mtu
 
Islamic Banking ni sekta inayokua sana kwenye sekta ya fedha duniani kwa sasa. Kama tumekubali Bank zetu zitoe huduma hiyo ya Islamic Banking , basi ni salama hata wataalamu wa eneo hilo wakatoka hapa hapa watanzania kuliko foreigners.
 
Umebadilisha tena gia we siumesema watu tofauti na waislamu ni waizi sana kwa hiyo wanahitajika waislamu ili wasiibe

Kikwete alikua rais muislamu ila kipindi cha utawala wake kulikua na uwizi wa kufa mtu
usinilishe maneno tafadhali šŸ’

nimesistiza masomo ya dini yawepo ili kusudi tupate watumishi na viongozi wanaomjua Mungu vizuri, watu wa Ibada, wawe na hofu ya Mungu, watu wa utaratibu, wawatendee haki wengine n.k....šŸ’

hiyo sijui dini gani na gani hilo ni lako šŸ’
 
usinilishe maneno tafadhali šŸ’

nimesistiza masomo ya dini yawepo ili kusudi tupate watumishi na viongozi wanaomjua Mungu vizuri, watu wa Ibada, wawe na hofu ya Mungu, watu wa utaratibu, wawatendee haki wengine n.k....šŸ’

hiyo sijui dini gani na gani hilo ni lako šŸ’
Kuna watu niwapani na wanatenda haki na kuna watu kama ramadhan dau alikua fisadi wa kufa mtu na alikua swala tano
 
Soma hapa nyinyi vilaza mnaosoma shule za missionary

Important of Islamic Knowledge

Islamic education plays a significant role in world economics for several reasons:

1. Ethical Framework: Islamic education emphasizes principles of justice, fairness, and ethical conduct in economic transactions, which can help foster trust and stability in financial systems.

2. Social Welfare: Islamic economics prioritizes the well-being of society, advocating for the equitable distribution of wealth and resources. This focus on social welfare can lead to more inclusive economic policies and reduced income inequality.

3. Financial Stability: Islamic finance principles, such as prohibition of interest (riba) and speculation (gharar), promote risk-sharing and asset-backed transactions, which can contribute to financial stability and mitigate the risks of economic crises.

4. Sustainable Development: Islamic teachings emphasize the stewardship of natural resources and the environment. Integrating these principles into economic policies can promote sustainable development practices, addressing environmental concerns and ensuring long-term prosperity.

5. Innovation and Entrepreneurship: Islamic education encourages entrepreneurship and innovation while promoting ethical business practices. This can stimulate economic growth and development by fostering a culture of creativity and responsible entrepreneurship.
HATA MKIRISTO ISLAMIC KNOWLEDGE UKISOMA UTAFAIDIKA
Kwa nini Uarabuni hakujaendelea kama West?
Kwa nini Uarabuni wanategemea West kuwaendeleza?
 
Kuna watu niwapani na wanatenda haki na kuna watu kama ramadhan dau alikua fisadi wa kufa mtu na alikua swala tano
nachelea kusisitiza tena mimi si mkamilifu hata kidogo mbele ya wanadamu wenzangu na mbele za Mungu šŸ’

sistahili kumsingizia mtu chochote na kumuhukumu, ispokua Mwenyezi Mungu mwenye hukumu ya haki šŸ’
 
Kwani kwanini watu wanasoma ? Ni kwamba unapata skills za kupambana na mazingira yako; kwahio kama hilo litawafanya wapambane na mazingira basi sawa....; ila kusema kwamba hili litasaidia watu kimendeleo ninawakumbusha tu.....

Don't let Schooling Interfere with your Education.....

 
Kwenye uislam kuna elimu kubwa sana ya biashara.

Wafanyabiashara wengi wa tanzania ni waislamu, na wala hawana western education ni islamic knowledge informal way (madrasa).
Angalia hii comment mimi na wewe nani hajui aandikacho

Nikusaidie kitu hao matajiri wa kiislamu watoto wao wanasoma ism, breburn na kwingineko
 
Islamic banking, kuna islamic insurance, nk. Usilinganishe ukristo na uislam. Uislam ni mfumo kamili wa maisha. Ndio huku riba ni haramu na ukristo upo kimya
 
Islamic banking, kuna islamic insurance, nk. Usilinganishe ukristo na uislam. Uislam ni mfumo kamili wa maisha. Ndio huku riba ni haramu na ukristo upo kimya
Huu mfumo wa bank umetoka na wayahudi kwenye torati ukitoa ndugu unarusiwa kuchukua riba

Hata Yesu alitoa mifano ya riba kwenye ukristo riba inarusiwa na sio dhambi

Mfumo wa sasa wa commercial bank uliopo waanzilishi ni wayahudi kama ulikua hulijui hilo
 
Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati.

Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo ya Economics, Business Studies na Islamic Knowledge. Hapo somo la Islamic Knowledge linahusika vipi na masuala ya biashara?

Ni bahati mbaya au makusudi. Huenda nimeachwa na mambo ya kisasa lakini kwangu bado haileti maana yoyote.

View attachment 2940349
Ndiyo maana kuna kuchagua, chagua inayokufaa wewe. Ukienda chuo kwa tahasusi hiyo unaweza kusoma uchumi, business administration au mambo ya dini ya kiislamu mbona hamna shida?
 
Kwa nini Uarabuni hakujaendelea kama West?
Kwa nini Uarabuni wanategemea West kuwaendeleza?
Tatizo nchi nyingi za uarabuni wamefata mila za west. Watawala wao wanajipendekeza huko ndio tatizo. Wakiongoza kwa mujibu wa Quran west ndio wataomba msaada nchi za kiislam
 
Wataongeza Na Divinity
Sema Islamic Knowlegde iko broad sana, niliwahi kupitia mitihani kadhaa ya Islamic Knowlegde na Divinity, divinity imebase sana kwenye imani wakati Islamic Knowledge ipo na hata mambo ya kijamii ikiwemo na hayo ya uchumi. Nadhani huenda wameona iwe hivo.


Maono yangu tu
 
Back
Top Bottom