Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #21
Nipe linkMkuu
Jukwaa Hili Kuna Mjadala Uliwekwa Kuhusu Sakata Zima Mpaka Kifo Cha Mzeru Kule Airport
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe linkMkuu
Jukwaa Hili Kuna Mjadala Uliwekwa Kuhusu Sakata Zima Mpaka Kifo Cha Mzeru Kule Airport
Aisee inashangazaR.I.P Imran, Mdogo wake alitaka aje kufanya postmoterm Yeye Mwenyewe akitokea Zimbabwe ambako alikuwa akihudumu kama Daktari
Alisahau this is Tanzania
Acha uoga, tupe dondoo nini kilijiriUsimchimbe nyoka kijana..
Mkuu Wewe ni nguli humu! Kwa uandishi flani akitoka paskali unafatia Wewe. Tofauti Wewe unacharaza vimistari vichache tu ila vimeshiba.R.I.P Imran, Mdogo wake alitaka aje kufanya postmoterm Yeye Mwenyewe akitokea Zimbabwe ambako alikuwa akihudumu kama Daktari
Alisahau this is Tanzania
Mkuu Wewe ni nguli humu! Kwa uandishi flani akitoka paskali unafatia Wewe. Tofauti Wewe unacharaza vimistari vichache tu ila vimeshiba.
What happened asee...utata wa huyu spy chief na kifo chake ilikuwaje? Karibu utujuze kwa style ile ya uandishi wako.
Maelezo mujarab! Mama alikuwa na mbinu za kimedani kuliko mzee, aliweza kuwatoka na kujificha ila mzee alishindwa Dah?Ilijulikana Kuwa aliuawa na waliomuua Kwa Kuwa wauaji walikosea target Mke wa Marehemu aliekuwa Na Mumewe wakipeleka Migomba shambani alifanikiwa kujificha asionekane wakati wanamtafuta na alifanikiwa Kwa Kuwa alikuwa ameshiriki Mafunzo Mengi ya namna ya kujilinda aliyokuwa amepitia wakati Mumewe akiwa Mnene wa Kijitonyama otherwise tungekuwa tunasema kauawa na wasiojulikana
Mke alitambua mpaka force number Za wahusika bila ya wao kujua na ndie alikuwa shahidi muhimu kwenye Mimbar Za Mahakama!
Wauaji wanadai walimuua Kwa kufananisha gari yake na gari iliyoibiwa japo hapakuwa na taarifa zozote zilizowahi kurepotiwa Kuwa kuna gari imepotea
Hata Kama gari iliibiwa na Mwizi Mwenye Umri zaid ya Miaka 60 Baada ya kustaafu aliwazidi Mbio Za kumdhibiti Baada ya kushuka kwenye gari na kuanza kukimbia hadi wakaona Waache gari waliyokuwa wanaitafuta na kuanza kumimina Risasi 14 kwenye kifua kutokea Nyuma na inaonekana risasi hizo zilipigwa umbali wa mita zisizozidi 10 kutokana na kipenyo ( matundu) kwenye Mwili wa Marehemu Kuwa madogo
Mahakama ilithibitisha Pasi na Shaka Kuwa aliuawa Kwa makusudi ndio sababu wauaji walihukumiwa kifo, kitendawili kimebaki sababu zipi zilipelekea akauawa?
Maelezo mujarab! Mama alikuwa na mbinu za kimedani kuliko mzee, aliweza kuwatoka na kujificha ila mzee alishindwa Dah?
Kwanini wanadai ilikuwa bahati mbaya? Hivi risasi alipigwa kifuani Au mgongoni?
Hapo ulipohitimisha nadhani ndio mleta mada anataka kufahamu na sie tulio wengi? Inawezekana ilikuwa accident kweli..hayo mambo hutokea, na binadamu hatujui tutakufaje!
Nimekuelewa Sana mkuu, Kumbe hakuwa main target ndio maana aliweza kuponea.Mtu ambae anakimbizwa Na akapigwa Risasi akijaribu kukimbia Sio rahisi kupigwa Risasi ya kifuani Kwa mbele
Ukisikia story Kuwa alipigwa Risasi Kwa mbele maana yake inatengenezwa Mazingira ionekane alikuwa anakabiliana nao wakaona wamuwahi
Yule Mama hakuwa target no. 1
Huwezi kuanza kufanya jitihada Za kuficha ushahidi kabla ya kufanya uhalifu
Kwanz unafanya uhalifu then unaficha ushahidi kwenye kuficha ushahidi inawezekana ukachemka kutokana na Mazingira Na extent ya uhalifu uliofanya
Mi nadhani vijana watakuwa walitumwa kazi maalum, hao vijana kutoka Dar ndio walikuwa wanajua nini kinatakiwa,bila shaka wenzao wa Arusha wakawa wanashangaa.Kuna Link Imetumwa Humu
Daah Askari Wetu Mpaka Leo Huo Ulimbukeni Wanao
Mtu ambae anakimbizwa Na akapigwa Risasi akijaribu kukimbia Sio rahisi kupigwa Risasi ya kifuani Kwa mbele
Ukisikia story Kuwa alipigwa Risasi Kwa mbele maana yake inatengenezwa Mazingira ionekane alikuwa anakabiliana nao wakaona wamuwahi
Yule Mama hakuwa target no. 1
Huwezi kuanza kufanya jitihada Za kuficha ushahidi kabla ya kufanya uhalifu
Kwanz unafanya uhalifu then unaficha ushahidi kwenye kuficha ushahidi inawezekana ukachemka kutokana na Mazingira Na extent ya uhalifu uliofanya
Arusha tena? Watanzania ni careless sanaMi nadhani vijana watakuwa walitumwa kazi maalum, hao vijana kutoka Dar ndio walikuwa wanajua nini kinatakiwa,bila shaka wenzao wa Arusha wakawa wanashangaa.
Mkuu Pohamba salute !
Huyu former our boss issue yake ilianza kipindi cha uchaguzi 1995 ambapo Ben alichuana vikali na Mzee wa Kiraracha ilisemekana kuwa aliplay vital roles kum weaken Che Nka.
Kumbuka mpaka jamaa wanamzima alikuwa on his way kwenda Canada via border Holili kabla jamaa awajamuua mbele ya mkewe huko Moshi pamoja na ku surrender lakn jamaa walimmiminia na hatimae kummaliza DG yule ambaye naamini Sponsor wa wakati ule alihapa kumnyang'a pumzi lake kwa kila mbinu.
May Sir God grant you everlasting peace Our Former Spy Master. Amen.
Nchi inateketea kwa kulinda Chama (ukomunisti)Ccm inanuka damu za wanadamu, mfumo wa ccm ndo mfumo wa usalama wetu, ccm wanajua kilichomtokea kwa sababu huu mfumo wa usalama haujawahi kutenganishwa na ccm
Mzee wa kigoda,ma lofa'Che Nka'[emoji362]
Wakuu wa jukwaa hili, ni takribani miaka 22 sasa imepita tangu Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama, Meja Jenerali Imran Kombe alipouwawa na askari polisi mkoani Kilimanjaro.
Mengi yamezungumzwa, je ni nini kilitokea na kujiri mpaka 'deep state' ikaamua kumnyamazisha aliyekuwa boss wao?
Karibuni kwa mjadala wakuu, kama hujui basi usilete masihara.