Pia aliwahi kuwa IGP!! Yaani uwe IGP then mkurugenzi wa TISS ndani ya miaka isiyozidi 20 polisi wasikutambue..Hapana huo ni uongo naungana na ww
YeahLakini Sio kwa kuwa eti alikuwa karibu na 'mpinzani wa wakati huo ' Augustine Mrema
Mkuu walisema alikuwa ameondolewa kwenye mfumoHivi ndani ya idara Kuna idara inayoweza kupanga njama dhidi ya bosi (dgi) wao au sponsor kwa manufaa ya nchi bila dgi na sponsor kujua?
Syo Kwa General Director mkuu kwamba nchi hii polisi wa Tanzania hamfahamu DG,????? Tena police wa Dar haiwezekani hata kidogo ilipangwa pengneHuu ni uzushi wa mtaani tu. Aliuawa kwa sababu ya ujinga wa polisi wetu kufyatua risasi hovyo hata kwa watu wasio tishio. Infact bado kuna watu wengi wanauawa katika mazingira kama haya na kila siku habari zao zinatolewa.
🤣Aise Mimi sielewi chochote hapa.
Funguka zaidi. Ila Mataba Matiku waliomuua Kombe sidhani kama walifungwa "physically".Kwa faida ya GenZ
Shida ilianzia kwa marehemu Mzee Mrema alikua ana za ndani kabisa...kuja kucheki source ni Gen.Kombe
Gari ikiyoibiwa ya bwana Patel alieiiba ni Ndugu yangu wa kinondoni Mkibosho Master Kabisa Ernest Sambuo "White" Mallya..Ambae ni Ndugu wa Babu Sambeke...
Polisi walioua wakina Mataba Matiku wengi walifia Jela na wengine walifia uraiani lakini kama walitumwa basi walitelekezwa!
Gen Kombe aba Matukio Mengi ila moja ambalo sikulipenda ni lile la kuwabadilisha kina Onyango na kina Kapteni Maganga huku akijua wale wanaenda kuuawa na Moi na hawa wa kwetu wanaenda Jela....
Hapa pia Namkumbuka kachero mbobezi Mabere Nyaucho Marando....mwenyekiti wa NCCR Mageuzi...kwa alichomfanyia komando Tamimu...(Japokua alikua Kazini)
Karibuni...!
Sawa babu, familia ya kombe walilipwa million 300 kama fidia,kipindi cha jkKwa faida ya GenZ
Shida ilianzia kwa marehemu Mzee Mrema alikua ana za ndani kabisa...kuja kucheki source ni Gen.Kombe
Gari ikiyoibiwa ya bwana Patel alieiiba ni Ndugu yangu wa kinondoni Mkibosho Master Kabisa Ernest Sambuo "White" Mallya..Ambae ni Ndugu wa Babu Sambeke...
Polisi walioua wakina Mataba Matiku wengi walifia Jela na wengine walifia uraiani lakini kama walitumwa basi walitelekezwa!
Gen Kombe aba Matukio Mengi ila moja ambalo sikulipenda ni lile la kuwabadilisha kina Onyango na kina Kapteni Maganga huku akijua wale wanaenda kuuawa na Moi na hawa wa kwetu wanaenda Jela....
Hapa pia Namkumbuka kachero mbobezi Mabere Nyaucho Marando....mwenyekiti wa NCCR Mageuzi...kwa alichomfanyia komando Tamimu...(Japokua alikua Kazini)
Karibuni...!
Karma is A Bitch....ndio msemo wa wazungu..ila hakuna hela inaweza kulipa thamani ya utu wa mtu yoyoteSawa babu, familia ya kombe walilipwa million 300 kama fidia,kipindi cha jk
Wakati akiuliwa bodyguards wake walikuwa wapi?Kwa faida ya GenZ
Shida ilianzia kwa marehemu Mzee Mrema alikua ana za ndani kabisa...kuja kucheki source ni Gen.Kombe
Gari ikiyoibiwa ya bwana Patel alieiiba ni Ndugu yangu wa kinondoni Mkibosho Master Kabisa Ernest Sambuo "White" Mallya..Ambae ni Ndugu wa Babu Sambeke...
Polisi walioua wakina Mataba Matiku wengi walifia Jela na wengine walifia uraiani lakini kama walitumwa basi walitelekezwa!
Gen Kombe aba Matukio Mengi ila moja ambalo sikulipenda ni lile la kuwabadilisha kina Onyango na kina Kapteni Maganga huku akijua wale wanaenda kuuawa na Moi na hawa wa kwetu wanaenda Jela....
Hapa pia Namkumbuka kachero mbobezi Mabere Nyaucho Marando....mwenyekiti wa NCCR Mageuzi...kwa alichomfanyia komando Tamimu...(Japokua alikua Kazini)
Karibuni...!
KIpindi hiki hata idara ilikuwa haijajipata sawa sawa ilikuwa changa kabisa,huwenda hata sheria ya kuwalinda wastaafu haikuwa imetengenezwa,lakini pia kuna muda wa privacy pia inawezekana aliambiwa akapumzike.Wakati akiuliwa bodyguards wake walikuwa wapi?
Hapo kwa Onyango ni yupi huyo sikumbuki au ulimaanisha Cpt Ezekiah Ochuka na Pancras Okumu Oteyo waliojaribu kumpindua Moi baadaye wakakimbilia Tanzania na wakawa extradited kwenda Kenya na kunyongwa Kamiti?Kwa faida ya GenZ
Shida ilianzia kwa marehemu Mzee Mrema alikua ana za ndani kabisa...kuja kucheki source ni Gen.Kombe
Gari ikiyoibiwa ya bwana Patel alieiiba ni Ndugu yangu wa kinondoni Mkibosho Master Kabisa Ernest Sambuo "White" Mallya..Ambae ni Ndugu wa Babu Sambeke...
Polisi walioua wakina Mataba Matiku wengi walifia Jela na wengine walifia uraiani lakini kama walitumwa basi walitelekezwa!
Gen Kombe aba Matukio Mengi ila moja ambalo sikulipenda ni lile la kuwabadilisha kina Onyango na kina Kapteni Maganga huku akijua wale wanaenda kuuawa na Moi na hawa wa kwetu wanaenda Jela....
Hapa pia Namkumbuka kachero mbobezi Mabere Nyaucho Marando....mwenyekiti wa NCCR Mageuzi...kwa alichomfanyia komando Tamimu...(Japokua alikua Kazini)
Karibuni...!
postmoterm ipi wakati mtu alipigwa gun live?? hiyo inafanyika kama kifo cha marehem/hayati kinakua cha utata lakin hii case ilikua clearly man had had shot till down.R.I.P Imran, Mdogo wake alitaka aje kufanya postmoterm Yeye Mwenyewe akitokea Zimbabwe ambako alikuwa akihudumu kama Daktari
Alisahau this is Tanzania
Inasikitisha sanaR.I.P Imran, Mdogo wake alitaka aje kufanya postmoterm Yeye Mwenyewe akitokea Zimbabwe ambako alikuwa akihudumu kama Daktari
Alisahau this is Tanzania
Slim afanye yake kwa kuwatumia polisi wa Tanzania?? Doesn't make senseVipi kuhusu President Slim wa nchi jirani kuhusika katika mauaji.
Kombe akiwa DG wa Idara, alikuwa anajua kinachoendelea kuhusu mipango ya Slim kutaka kufanya mapinduzi nchini mwake.
Kombe aliwashauri Marais wale wasipande ndege moja wakiwa wanatoka Dar Es Salaam lakini wakawa wabishi, kilichowakuta kila mmoja anajua.
Hivyo kuna wanaoamini Slim alimfanyia faulo Kombe ili kupoteza ushahidi, na ukizingatia Kombe alishapoteza kuaminiwa na wakuu wake, hivyo ikawa kazi rahisi kwa Slim kufanya yake.