Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

Pia aliwahi kuwa IGP!! Yaani uwe IGP then mkurugenzi wa TISS ndani ya miaka isiyozidi 20 polisi wasikutambue..Hapana huo ni uongo naungana na ww

..Imran Kombe hakuwahi kuwa Igp.

..alitokea jeshini kwenda kuwa mkuu wa usalama wa taifa.

..jeshini aliongoza brigade ktk vita vya kagera.

..vita vilipokwisha akateuliwa kuwa Mnadhimu mkuu wa Jwtz, na baadae akahamishiwa usalama wa taifa.
 
Wale vijana wenzangu wa zamani nadhani mnakumbuka hii kesi iliyoleta taharuki katika taifa

Credit:mwananchi
 
Aisee Ile gari 'iliyoibiwa' ilitangazwa Radio One kama mwezi hivi kabla ya Kamanda kumwagiwa risasi akiwa kanyoosha mikono alama ya kujisalimisha
 
Hivi ndani ya idara Kuna idara inayoweza kupanga njama dhidi ya bosi (dgi) wao au sponsor kwa manufaa ya nchi bila dgi na sponsor kujua?
Mkuu walisema alikuwa ameondolewa kwenye mfumo
 
Huu ni uzushi wa mtaani tu. Aliuawa kwa sababu ya ujinga wa polisi wetu kufyatua risasi hovyo hata kwa watu wasio tishio. Infact bado kuna watu wengi wanauawa katika mazingira kama haya na kila siku habari zao zinatolewa.
Syo Kwa General Director mkuu kwamba nchi hii polisi wa Tanzania hamfahamu DG,????? Tena police wa Dar haiwezekani hata kidogo ilipangwa pengne
 
Kwa faida ya GenZ
Shida ilianzia kwa marehemu Mzee Mrema alikua ana za ndani kabisa...kuja kucheki source ni Gen.Kombe

Gari ikiyoibiwa ya bwana Patel alieiiba ni Ndugu yangu wa kinondoni Mkibosho Master Kabisa Ernest Sambuo "White" Mallya..Ambae ni Ndugu wa Babu Sambeke...

Polisi walioua wakina Mataba Matiku wengi walifia Jela na wengine walifia uraiani lakini kama walitumwa basi walitelekezwa!

Gen Kombe aba Matukio Mengi ila moja ambalo sikulipenda ni lile la kuwabadilisha kina Onyango na kina Kapteni Maganga huku akijua wale wanaenda kuuawa na Moi na hawa wa kwetu wanaenda Jela....
Hapa pia Namkumbuka kachero mbobezi Mabere Nyaucho Marando....mwenyekiti wa NCCR Mageuzi...kwa alichomfanyia komando Tamimu...(Japokua alikua Kazini)

Karibuni...!
 
Funguka zaidi. Ila Mataba Matiku waliomuua Kombe sidhani kama walifungwa "physically".

Nahisi waliingiza nguo zao tu jela
 
Kwa faida ya GenZ
Shida ilianzia kwa marehemu Mzee Mrema alikua ana za ndani kabisa...kuja kucheki source ni Gen.Kombe

Gari ikiyoibiwa ya bwana Patel alieiiba ni Ndugu yangu wa kinondoni Mkibosho Master Kabisa Ernest Sambuo "White" Mallya..Ambae ni Ndugu wa Babu Sambeke...

Polisi walioua wakina Mataba Matiku wengi walifia Jela na wengine walifia uraiani lakini kama walitumwa basi walitelekezwa!

Gen Kombe aba Matukio Mengi ila moja ambalo sikulipenda ni lile la kuwabadilisha kina Onyango na kina Kapteni Maganga huku akijua wale wanaenda kuuawa na Moi na hawa wa kwetu wanaenda Jela....
Hapa pia Namkumbuka kachero mbobezi Mabere Nyaucho Marando....mwenyekiti wa NCCR Mageuzi...kwa alichomfanyia komando Tamimu...(Japokua alikua Kazini)

Karibuni...!
Sawa babu, familia ya kombe walilipwa million 300 kama fidia,kipindi cha jk
 
Jamaa aliuwawa wakati tayari ameshastaafu,ila kuna taarifa kuwa wakati yupo kwenye system alimtonya Mzee Moi,Mobutu na Rais wa Rwanda kuwa kuna mipango ya kuwauwa kuweni makini. Mzee Moi na Mobutu walichukua hatua mapema ila yule wa Rwanda akapuuza na kilichomkuta ndio hicho...kuna kitabu kimoja kimeelezea haya ngoja nitakaporudi safarini nitaangalia kwenye diary yangu niliandika jina la hicho kitabu
 
Kwa faida ya GenZ
Shida ilianzia kwa marehemu Mzee Mrema alikua ana za ndani kabisa...kuja kucheki source ni Gen.Kombe

Gari ikiyoibiwa ya bwana Patel alieiiba ni Ndugu yangu wa kinondoni Mkibosho Master Kabisa Ernest Sambuo "White" Mallya..Ambae ni Ndugu wa Babu Sambeke...

Polisi walioua wakina Mataba Matiku wengi walifia Jela na wengine walifia uraiani lakini kama walitumwa basi walitelekezwa!

Gen Kombe aba Matukio Mengi ila moja ambalo sikulipenda ni lile la kuwabadilisha kina Onyango na kina Kapteni Maganga huku akijua wale wanaenda kuuawa na Moi na hawa wa kwetu wanaenda Jela....
Hapa pia Namkumbuka kachero mbobezi Mabere Nyaucho Marando....mwenyekiti wa NCCR Mageuzi...kwa alichomfanyia komando Tamimu...(Japokua alikua Kazini)

Karibuni...!
Wakati akiuliwa bodyguards wake walikuwa wapi?
 
KIpindi hiki hata idara ilikuwa haijajipata sawa sawa ilikuwa changa kabisa,huwenda hata sheria ya kuwalinda wastaafu haikuwa imetengenezwa,lakini pia kuna muda wa privacy pia inawezekana aliambiwa akapumzike.
 
Kwa faida ya GenZ
Shida ilianzia kwa marehemu Mzee Mrema alikua ana za ndani kabisa...kuja kucheki source ni Gen.Kombe

Gari ikiyoibiwa ya bwana Patel alieiiba ni Ndugu yangu wa kinondoni Mkibosho Master Kabisa Ernest Sambuo "White" Mallya..Ambae ni Ndugu wa Babu Sambeke...

Polisi walioua wakina Mataba Matiku wengi walifia Jela na wengine walifia uraiani lakini kama walitumwa basi walitelekezwa!

Gen Kombe aba Matukio Mengi ila moja ambalo sikulipenda ni lile la kuwabadilisha kina Onyango na kina Kapteni Maganga huku akijua wale wanaenda kuuawa na Moi na hawa wa kwetu wanaenda Jela....
Hapa pia Namkumbuka kachero mbobezi Mabere Nyaucho Marando....mwenyekiti wa NCCR Mageuzi...kwa alichomfanyia komando Tamimu...(Japokua alikua Kazini)

Karibuni...!
Hapo kwa Onyango ni yupi huyo sikumbuki au ulimaanisha Cpt Ezekiah Ochuka na Pancras Okumu Oteyo waliojaribu kumpindua Moi baadaye wakakimbilia Tanzania na wakawa extradited kwenda Kenya na kunyongwa Kamiti?
 
R.I.P Imran, Mdogo wake alitaka aje kufanya postmoterm Yeye Mwenyewe akitokea Zimbabwe ambako alikuwa akihudumu kama Daktari

Alisahau this is Tanzania
postmoterm ipi wakati mtu alipigwa gun live?? hiyo inafanyika kama kifo cha marehem/hayati kinakua cha utata lakin hii case ilikua clearly man had had shot till down.
 
R.I.P Imran, Mdogo wake alitaka aje kufanya postmoterm Yeye Mwenyewe akitokea Zimbabwe ambako alikuwa akihudumu kama Daktari

Alisahau this is Tanzania
Inasikitisha sana
 
Vipi kuhusu President Slim wa nchi jirani kuhusika katika mauaji.

Kombe akiwa DG wa Idara, alikuwa anajua kinachoendelea kuhusu mipango ya Slim kutaka kufanya mapinduzi nchini mwake.

Kombe aliwashauri Marais wale wasipande ndege moja wakiwa wanatoka Dar Es Salaam lakini wakawa wabishi, kilichowakuta kila mmoja anajua.

Hivyo kuna wanaoamini Slim alimfanyia faulo Kombe ili kupoteza ushahidi, na ukizingatia Kombe alishapoteza kuaminiwa na wakuu wake, hivyo ikawa kazi rahisi kwa Slim kufanya yake.
Slim afanye yake kwa kuwatumia polisi wa Tanzania?? Doesn't make sense
 
Back
Top Bottom