Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

Tusiwe na upande mmoja,inawezekana si makusudio ila ndio imetokea kwani wakati ule TBC haipo viongozi mlikuwa mnawajuaje hasa hawa wa idara zao sio za siasa?
 
Mto mada umefanya kosa moja la kimaadili. Umemdhalilisha Marehemu kwa kumshusha cheo. Alikufa akiwa na cheo cha Luteni Jenerali na sio cheo ulichomuaddress ambacho ni kidogo cha meja jenerali. Rekebisha
Sio kumdhalilisha,kwan wenye hicho cheo ni watu dhaifu....tumia lugha mzur.. jeshini hakuna cheo cha udhalilishaji!
 
Alienda kinyume na wakuu wake/system ikabidi atulizwe tu,
 
Ukiwa kwenye baadhi ya idara lazima ujue maisha yako yote umeapa kutumikia serikali na sio yeyote yule. Sio kabila lako.

Kama kweli marehemu alihusika kupeleka siri kwa mzee wa kiraracha basi alikuwa msaliti. Wababe wa biashara za hatari wanawaita 'rat' wasaliti wa namna hiyo.
 
Doh! Kama ali surrender na bado wakamweka chuma it means aliwekwa za kifuani Sasa!

Kumbe alikuwa na mgombea wake mfukoni, ndio kilicho mcost. Ila hapo kuna utata kidogo huyo Che nka angeweza vipi ku injinia hiyo kitu wakati na yeye ndio alikuwa anaanza kuingia ofisini? Kwangu Mimi Naona hiyo 95 mzee wa kiraracha alikuwa ana connection kwenye system kuliko huyo Che nka..sasa aliwezaje kuamuru mtu aondolewe wakati hakuwa na mizizi kule?
 
Ushaharibu!...hujaona neno KAMA hapo?
 
Mto mada umefanya kosa moja la kimaadili. Umemdhalilisha Marehemu kwa kumshusha cheo. Alikufa akiwa na cheo cha Luteni Jenerali na sio cheo ulichomuaddress ambacho ni kidogo cha meja jenerali. Rekebisha
Sio kosa la kimaadili mkuu, hilo ni kosa la kiitifaki. Nakiri kutenda kosa hilo. Ahsante kwa marekebisho.
 
Tusiwe na upande mmoja,inawezekana si makusudio ila ndio imetokea kwani wakati ule TBC haipo viongozi mlikuwa mnawajuaje hasa hawa wa idara zao sio za siasa?
Umeandika upupu, siku nyingine ukiona kaka zako tuanajadili mambo ya msingi sio mbaya ukakakaa kimya kama hauna mchango chanya wa kuchangia, sio chit chat hii.
 
There you are.
 
Vipi kuhusu President Slim wa nchi jirani kuhusika katika mauaji.

Kombe akiwa DG wa Idara, alikuwa anajua kinachoendelea kuhusu mipango ya Slim kutaka kufanya mapinduzi nchini mwake.

Kombe aliwashauri Marais wale wasipande ndege moja wakiwa wanatoka Dar Es Salaam lakini wakawa wabishi, kilichowakuta kila mmoja anajua.

Hivyo kuna wanaoamini Slim alimfanyia faulo Kombe ili kupoteza ushahidi, na ukizingatia Kombe alishapoteza kuaminiwa na wakuu wake, hivyo ikawa kazi rahisi kwa Slim kufanya yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…