Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

Doh! Kama ali surrender na bado wakamweka chuma it means aliwekwa za kifuani Sasa!

Kumbe alikuwa na mgombea wake mfukoni, ndio kilicho mcost. Ila hapo kuna utata kidogo huyo Che nka angeweza vipi ku injinia hiyo kitu wakati na yeye ndio alikuwa anaanza kuingia ofisini? Kwangu Mimi Naona hiyo 95 mzee wa kiraracha alikuwa ana connection kwenye system kuliko huyo Che nka..sasa aliwezaje kuamuru mtu aondolewe wakati hakuwa na mizizi kule?
kwani huyo chenka ulishawahi kufahamu alikuwa wapi au unafikiri mtu anatokea from no where kuingia ikulu.
 
Baadhi ya mambo yaliyogharimu uhai wake ni pamoja na kuunga mkono waziwazi baadhi ya masuala kama vle;

Mzee wa Kiraracha anakamata tausi na madini airport. Mizigo hyo ikadaiwa ni ya fest ledi wa mzee wa fair.

Kulikuwa na fukuto mjengoni la kudai serikali 3 chini ya Njelu Kisaka na G55 yake ambao walipata nguvu kubwa ya Mwana Idara no.1

Nani asiyejua jinsi Mwana Idara no. 1 alivyokuwa upande wa Mzee wa Mtera kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 1995. Kiasi cha kupishana kabisa na Mzee Mchonga ambaye mpaka anakufa hakuwahi kumsamehe Mzee wa Mtera

Pia Mwana Idara alikuwa mpenzi mkubwa wa mabadiliko huko kwenye karafuu na nazi, alitamani Mgombea mkongwe wa Urais kila uchaguzi huko kwenye karafuu na nazi awe Rais lkn haikuwa hvyo.

Hivyo kuna wanaoamini Mchonga alitumia kura yake ya turufu katika kuamua hatma ya mwanaidara.

Aksanteni.
 
Ukishaingia kwenye kazi za ulinzi na usalama unatakiwa uambatane na serikali ukienda tofauti na matakwa ya serikali tayar unakuwa mhaini.. Unatakiwa kupigwa risasi kumi kifuani tena hadharan.. Lakn sasa wazee wa kazi wanakunyamazisha kimya kimya
Ndio maana hata viapo vyao viko tofauti na vingne
Hao huwa hawaapishwi kwa Biblia Au Quran?
 
Baadhi ya mambo yaliyogharimu uhai wake ni pamoja na kuunga mkono waziwazi baadhi ya masuala kama vle;

Mzee wa Kiraracha anakamata tausi na madini airport. Mizigo hyo ikadaiwa ni ya fest ledi wa mzee wa fair.

Kulikuwa na fukuto mjengoni la kudai serikali 3 chini ya Njelu Kisaka na G55 yake ambao walipata nguvu kubwa ya Mwana Idara no.1

Nani asiyejua jinsi Mwana Idara no. 1 alivyokuwa upande wa Mzee wa Mtera kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 1995. Kiasi cha kupishana kabisa na Mzee Mchonga ambaye mpaka anakufa hakuwahi kumsamehe Mzee wa Mtera

Pia Mwana Idara alikuwa mpenzi mkubwa wa mabadiliko huko kwenye karafuu na nazi, alitamani Mgombea mkongwe wa Urais kila uchaguzi huko kwenye karafuu na nazi awe Rais lkn haikuwa hvyo.

Hivyo kuna wanaoamini Mchonga alitumia kura yake ya turufu katika kuamua hatma ya mwanaidara.

Aksanteni.
Lugha ngumu hii
 
Vipi kuhusu President Slim wa nchi jirani kuhusika katika mauaji.

Kombe akiwa DG wa Idara, alikuwa anajua kinachoendelea kuhusu mipango ya Slim kutaka kufanya mapinduzi nchini mwake.

Kombe aliwashauri Marais wale wasipande ndege moja wakiwa wanatoka Dar Es Salaam lakini wakawa wabishi, kilichowakuta kila mmoja anajua.

Hivyo kuna wanaoamini Slim alimfanyia faulo Kombe ili kupoteza ushahidi, na ukizingatia Kombe alishapoteza kuaminiwa na wakuu wake, hivyo ikawa kazi rahisi kwa Slim kufanya yake.
Kama angekua ni slim angetuma watu wake na sio polisi wetu
 
Back
Top Bottom