Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

Wee ndo umemaliza kila kitu.
 
Mkuu mbona hueleweki juu umesema demu mkibosho chini umemaliza ni mmachame
 
Yeah reason with me, chizoba, nkeji, fire Fire, hata hii salute na alikiba jamaa kaua sana.
 
Nyie hamjui mr p ni nomaa sio poa kabisa ,kaachia hit song kama


-Look into your eyes
-ebano
-cool down
-work work ..


Katoa album ina hit song kibao ...

Kiufupi mr p sio poa ,rude boy kapoa sanaa ,na hawezi kumfikia mr p ..

Mr p anaimba ,anadance ,na yuko powerful ...

Kiufupi mr p ndio alikuwa analibeba kundi la psquare ...

Nyimbo zote za psquare zilizo hit mr p ndio kachukua nafasi kubwa ,kuimba na kudence ...

-Alingo
-personally
-shekin
-away
-Ejajo ft TI

Hata kwenye perfomance stage mr p ndio mbunifu ,na alikuwa anachukua nafasi kubwa sanaa ...

Rudeboy naamin anajuta kuvunjika kwa kundi la psquare ..

Japo mr p mwenyewe ndio sababu ....
 
Peter ni mzuri sana wa kudance kwenye utunzi na uimbaji Paul namba nyengine
 
Wamachame na wakibosho huwa hawaoani kuanzia kimila no wonder ndoa iligoma ni wachache Sana huoana Tena kwa ku Force.
 
Mr P - karma, ni bonge la hit aseeeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…