Nini hasa kilisababisha vurugu za Mwembechai mwaka 1998?

Shehe Ilunga Kapungu.Hao jamaa walikuwa na nia mbaya
 
Wakristu siyo watu wazuri wameanza mambo ya ushoga.Wakristo ndo wakutolea mfano .basi
 
Uislamu ndio chanzo kikubwa cha maovu mengi duniani hasa mauaji
 
Ni udini na fikra finyu za Kobaz na Waislamu wengine eti Nchi itawaliwe kwa Sharia kisa Rais aliyepo ni Muislamu(Marehemu A.H.Mwinyi)kwamba hatakuwa na noma..Chezea Mwinyi weye..akawala chenga ya mwili ya - Nchi kwanza,siyo Dini kwanza-,akawaacha wacheze ngoma ya Marehemu Augustine L.Mrema-Waziri Wa Mambo ya Ndani wa ukweli..siyo huyu wenu -Katambi Tranquility-wa u CCM kwanza...ni kuhangaika kuwapiga pini CHADEMA kila uchao na kuwakumbatia akina Shekhe Mwaipopo...!!?
Na kumbuka enzi za Mrema pia hata Wakristo-Walutheri/Waanglikana,walianza kuwa wanapigana Makanisani huko kwenye chaguzi za Maaskofu/Viongozi wao...walipelekewa fire huko huko Makanisani....unachagua Askofu wako kwa uhuru lakini chini ya mtutu na mabomu na atayeshinda ndiyo anatangazwa.-Nchi kwanza siyo Dini kwanza-
R.I.P sana Mzee Lyatonga na Tangu uondoke wewe Wizara ya Mambo ya Ndani ilishapoteza Dira..

 
Wacha kupakazia , Mrema huyu aliyeowa katoto teenager akiwa miaka 90 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…