Kama hakuwa askofu basi alikuwa Paroko Lwambano.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bibi acha kupotosha, Lwambano hajawahi kuwa Askofu, pia mseme tu ukweli karate zilikuwa hazifundishwi? Je mihadhara yenu haikuwa chanzo pia?
Nafuatilia uzi.Wakuu wa jukwaa,
Leo ningeomba tukumbushane, ni nini hasa kilisababisha vurugu za mwembechai mwaka 1998? Wakina nani walikuwa nyuma ya tukio lile? Wangapi walipoteza maisha? Je kuna askari ambao walichukuliwa hatua yoyote kutokana na vurugu zile?
Ahsanteni. Kama hujui kama pita kimya kimya tu
Miaka 4 hukumbuki chochote.Acha kutudanganya.Japo nilikua mdogo kama miaka 4 hivi lakini sitasahau yale mabomu ya machozi asee tulipata tabu sana wakazi wa manzese hilo tukio hadi leo lipo kichwani. Ikapelekea mzee kujenga fasta vyumba viwili tabata kisukuru tukahamia ingawa kulikua bado porini kweli kweli.
Sijui sababu ilikua nini dah.
Nashindwa kudownload boss
Kwani Karate ni tatizo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bibi acha kupotosha, Lwambano hajawahi kuwa Askofu, pia mseme tu ukweli karate zilikuwa hazifundishwi? Je mihadhara yenu haikuwa chanzo pia?
Ndo mana nimesema kama miaka 4Miaka 4 hukumbuki chochote.Acha kutudanganya.
Mkuu Mayala umejkausha. Toa maelezo japo kwa kifupi.Ngoja nikuitie Mkuu Maalim Mohammed Said
P
Asante.
Hawana hoja wao wanawaza udini tu mda wote. Ukiwasikiliza wanaweza kusema tuue kitimoto wote Bongo.Kwangu uonevu mkubwa wamefanyiwa waislam ni kutokusikilizwa hata humu ndani watu hawataki kusikiliza upande wa waislam wana hoja gani,ni kulaumiwa tu
Mafunzo kweli walipewaKila siku nasema tunapenda kuwazushia waislam kila jambo baya,na hili jambo linaeleweka ukweli wake
Nashindwa kudownload boss
Naomba nitumie na mimi ndugu mtumishiNgoja nikuitie Mkuu Maalim Mohammed Said
P
Haki ya kusema Yesu sio Mungu ?Chanzo kilikuwa Paroko Lwambano kwenda Sehemu Nyeti kusema kuwa ndani ya Msikiti wa Mwembe chai Yesu alikuwa anatukanwa
Enzi hizo kusema Muhammad sio Mtume haiku warm kosa
Kusema Ng’ombe sio mungu haikuwa kosa
Kusema mizimu sio Mungu pia haikuwa kosa
Kosa lilikuwa kusema Yesu sio Mungu ni kosa kubwa kuliko kukutwa na Kete za Bhange
Baada ya watu kukubali kufa, kujeruhiwa na kufungwa hatimae baadae Mahakama Kuu ikatangaza rasmi kuwa sio kosa na aliefungwa kwa kosa hilo aachiwe huru na Ndugu Hamis Dibagula akaachiwa huru
Kuna baadhi ya haki hazipatikan kwa kutoa press release wala kuitisha Makongamano ya kudai bali lazima uumie kuipata
Haki ya kusema Yesu sio Mungu ?
Hizi dini zote ziishie kwenye nyumba za imani kuzileta mtaani ndio mwanzo wa kuchangaya madawa...
Paschal,Ngoja nikuitie Mkuu Maalim Mohammed Said
P