Nini hasa kinafanya gharama za kuchimba kisima kuwa mil 8, 10, 12? What is so special?

Kuna bei za vitu vya ajabu ajabu sana bongo,

Kuna huu urembo wa Tv shiw case kwa kutumia panel kuna mdau pale sinza alisema kazi yote ni 6m

Nikaingia mtaani nikanumua material na fundi iligota laki 8.

Chamber zisizo jaa kuna fundi famous mtandaoni akasema 4m, nikasaka fundi wengine wakafanya 1m

Kisima niliambuwa futi 12 milion 9,

Kuna fundi wengine wakaja na kimtambo chao wanazunguka nacho kinachimba, nikapata maji ya kutosha hayasumbui niliwapa laki 6
 
Iyo ni offer ...kwakua ubora wa kifaa kwenye kupima maji..ndio mana bei zangu kidogo ziko juu ya survey za wengine
Kifaa kinaweza kuwa bora lakini wewe ukawa siyo bora yaani kilaza kwa hiyo utapeli uko pale pale!
 
weka bussness card yao hapa
 
Mafundi wengine miyeyusho
 
Kama ni 50,000/= kwa meter, ukichimba meter 70 ni 3.5mil. Mabomba, Wire, pump nk. fanya 1.5mil. Si jumla ukiwa 5mil. unachimba kisima
 
Natamani kumjua huyo mchina wa tabata mana tunataka kuchimba kisima masjid hapa
 
tena wana madharau kama yote
walikuja kumchimbia jirani yangu, kwa millioni kumi. nakajisemea labda gharama huwa ni usafirishaji wa mitambo kuja site, nikawaomba kwa milioni 2 wanichimbie na mimi wakagoma
hadi leo sijui why wanachimbisha kwa gharama hivo
nkampa dogo mmoja tender ya kuchimba kwa jembe. maji yakatoka miaka nane sasa
nikalipa laki nne. maisha yanaenda
 
Yaani unajisifu kwa kunywa vinyesi na mikojo yako!
 
Mkuu hao jamaa wa visima nawapataje,nisaidie namba yao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…