The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Ndo sababu kuu ya umaskini .weusi tunafichiana nafasi sababu ni 2Kila mtu anauliza address za hao wachina hamtoi...why??
1.tunashindana kisiri siri
2.Hatuamini kusaidia mwingine bila kunufaika
3.Mitego ya kita pelikula
Mimi nliwahi kuwa nalewa na jamaa kwenye ki geocery mtaan kwenye story nagundua alisomea degree ya geology na kawahi fanya migodi mikubwa mwanza.
Najamaa yangu anachimba tanzanite ila mtaji mdogo .nlijitoa nkampa jamaa hela ya kuanza maisha merelan nkampeleka jamaa hata namba nkafuta . Saivi naambiwa ananitafuta amekuwa na hela sana ila sijajisumbua kumtafuta maana mm nlimsaidia kama kijana sio nlitaka aje baadae anilipe