Nini hasa kinafanya gharama za kuchimba kisima kuwa mil 8, 10, 12? What is so special?

Nini hasa kinafanya gharama za kuchimba kisima kuwa mil 8, 10, 12? What is so special?

Kila mtu anauliza address za hao wachina hamtoi...why??
Ndo sababu kuu ya umaskini .weusi tunafichiana nafasi sababu ni 2
1.tunashindana kisiri siri
2.Hatuamini kusaidia mwingine bila kunufaika
3.Mitego ya kita pelikula

Mimi nliwahi kuwa nalewa na jamaa kwenye ki geocery mtaan kwenye story nagundua alisomea degree ya geology na kawahi fanya migodi mikubwa mwanza.
Najamaa yangu anachimba tanzanite ila mtaji mdogo .nlijitoa nkampa jamaa hela ya kuanza maisha merelan nkampeleka jamaa hata namba nkafuta . Saivi naambiwa ananitafuta amekuwa na hela sana ila sijajisumbua kumtafuta maana mm nlimsaidia kama kijana sio nlitaka aje baadae anilipe
 
Wewe unatakiwa ufanye ku-drill 100m upate yale ya chini huko, kama mfuko upo na maji yapo jaribu kuleta surveyor akupe makadirio, andaa 10m.

Nilikuambia uje ndani hukutaka🤣
Maximum ni 13 to 15m na kwa comments za wadau na majirani zangu hapo naona wengi wanasema unaweza ukachimba usipate maji au ukapata ya chumvi

Ndani wapi tena babu
 
Maximum ni 13 to 15m na kwa comments za wadau na majirani zangu hapo naona wengi wanasema unaweza ukachimba usipate maji au ukapata ya chumvi

Ndani wapi tena babu
13m to 15m itakuwa mkoani huko, kwa hapa Dar ukiwa na 10m unachimba hadi 150m mkuu. Kama maji yana chumvi nunua machine ya filter, 7m-10m utakuwa unakunywa maji matam kuliko ya Dawasa.
Gambling itakuwa kuchimba halafu usipate kitu, ila ukiyapata hata yenye chumvi hayana shida.

Otherwise geukia upande wangu, unywe maji ya mvua bila shida, 3m - 5m maximum.

Kwamba hujui nilipokuita eenh!
 
Haki vile sijaona uliponiita hebu niite tena
 
Watu wengi hawajui, kiutalamu ni kwamba...

Gharama inakua kubwa kwa sababu ile valve inavyochimba unaleta complications kwenye biscrims sasa wakati triceymium inaendelea ku run ndipo zile patrid inakua iko absorbed.....
 
Tunaomba sekta ya uchimbaji visima iingiliwe kimwili na serikali Ili kutupunguzia machungu
 
Binafsi baada ya kusikia tu kuwa ukanda wetu hauna maji karibu na mfuko hautoshi niliamua kutopoteza hata tone la maji ya mvua. Unachimba shimo la walau 40k m³, hakikisha unalitengeneza kwa viwango ili lilisumbue kupoteza maji, nunua pump ya 0.5HP kupandisha maji kwenye tank, then maisha yanasonga. Kiangazi kikija kama matumizi sio makubwa 40,000m³ unaishi nazo mda sana.
Wazo zuri sana. Wengi wanafanya hivyo. Sema 40 Km cubic ni ziwa kubwa sana la kutumia mamilioni ya watu🤣
 
Bei ya mashine ni kubwa asikudanganye mtu..uendeshaji wa hii biashara ni pasua kichwa..Kuna wataalamu wapo wanaitwa Coreworthy drilling service wapo Moro na George drilling and Investments wako vizuri sana
 
Bei za wapi izo njoo Tabata kuna kampuni ya kichina million 4 tu unachimbiwa mpaka mita 60..wanakuja na wataalamu wao wanapima kabisa..usifanye mchezo na wachina..wanachimba mpaka kwa mkopo unatoa 2million inayobaki mnaandikishinana unaimalizia lini..Watu mambo ya dawasco tulishayasahau.
Naomba connection nao plz, Ahsante
 
Njoo nikufanyie survey ya viwango Bora kabisa kwa laki 5...achana na survey za kukadiria kadiria
 
Back
Top Bottom