Nini hasa kinafanya gharama za kuchimba kisima kuwa mil 8, 10, 12? What is so special?

Unatumia nn kuchota au umeconnect yanaenda bombani
 
Well noted nitaifanyia kazi hii
Kwahyo navunia kwenye shimo au ht simtank
Nivumilie tu rafiki yako kilaza mie 🤣
Process ndefu kidogo, kwanza kuchimba shimo na kulijengea lazima uwe na fundi anayejua au wewe ujue ili umuelekeze. Ila ni process inahitaji umakini ili maji yasipotee.

Pili, ukishamaliza kujenga unganisha gutters, pipe zishushe maji hadi kwenye shimo, kabla ya kufika shimoni tengeneza chamber ya kufilter maji ili uchafu usiingie kwenye shimo.

Then, tengeneza mfumo wa bomba kutoka kwenye shimo hadi kwenye tank, unganisha na motor(pump) ya kuvuta maji kupeleka kwenye tank juu, baada ya hapo kazi imeisha.
 
Hii nmeipaste kwenye notebook yangu
Asante babu
Kumbe ukiwa hujalewa una akili 😁
 
Situmii kilevi, ila nakunywa kvanga au wine🤣

Chimba shimo walau liweze kubeba lita 40k-50k. Utanishukuru, Dawasa wakifanya yao hata 6months wewe na mkwe mnaoga na kuogelea tu🤣
Sante sana babu
Kila siku ungekuwa unaongea point hivi tungekuwa mbali sana mimi na wewe 🤣🤣
 
Sante sana babu
Kila siku ungekuwa unaongea point hivi tungekuwa mbali sana mimi na wewe 🤣🤣
Wewe unatakiwa ufanye ku-drill 100m upate yale ya chini huko, kama mfuko upo na maji yapo jaribu kuleta surveyor akupe makadirio, andaa 10m.

Nilikuambia uje ndani hukutaka🤣
 
Wanakuja mpaka huku mikoani au Dar tu ?
 
Hao wenye mashine na wao wamejaa tamaa sana,yani ni kweli uchimbaji wa visima ni ghali mno hakuna uhalisia yani tunapigwa sana sisi watanzania
 
Sio kam nakupinga ila jua jao wanaofanyq survey sio kama wanaona huko chini bali wanafanya predictions kutokana na data walizopata kwahiyo huwa zinatofautiana kulingana na composition ya mwamba husika unaweza jua ni data zinazoashiria uwepo wa maji kumbe ni uwepo wa composition flan ya mwamba.

By the way survey ya maji ni kama betting
 
Na hiyo ya volcano wewe unakubali ..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…