Process ndefu kidogo, kwanza kuchimba shimo na kulijengea lazima uwe na fundi anayejua au wewe ujue ili umuelekeze. Ila ni process inahitaji umakini ili maji yasipotee.
Pili, ukishamaliza kujenga unganisha gutters, pipe zishushe maji hadi kwenye shimo, kabla ya kufika shimoni tengeneza chamber ya kufilter maji ili uchafu usiingie kwenye shimo.
Then, tengeneza mfumo wa bomba kutoka kwenye shimo hadi kwenye tank, unganisha na motor(pump) ya kuvuta maji kupeleka kwenye tank juu, baada ya hapo kazi imeisha.