Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Baada ya uchaguzi wa 2020, CDM chini ya Mbowe ilikataa kupokea ruzuku kutoka serikalini. Kwa zaidi ya miaka miwili imekuwa ikijiendesha kwa mapato na michango yao wenyewe. Na badala ya kufa kama wahasimu wao walivyotegemea kikazidi kupanuka. Mbowe akafunguliwa kesi ya ugaidi. Kijana mmoja akawa anaenda mahakamani siku zote na kutoa taarifa almost verbatim yaliyokuwa yakijiri Mahakamani. Wakina mama wa Bawacha wamepigwa na kutupwa rumande kwa kupigania Mwenyekiti wao asitoke. Leo wote hao wanataka kutuambia kuwa walikuwa machawa!Jibu hoja, sio kunishambilia mimi, nina haki ya kusema, kuhoji na kuuliza kama ulokuwa nayo wewe unayempigia chabu Lissu.
CHadema ilipoteza Wanachama wengi wakati yeye akiwa mgombea wa Urais, mkasema wamehongwa na CCM, leo mmebadilika ni kwa sababu ya Mbowe, kwa nini isiwe sababu ni Lissu aloshindwa Urais akakimbia nchi?
Yericko alisema Lissu alinyang'anywa u anasheria Mkuu kwa sababu alikuwa haitishi vikao na utendaji mbovu. Mpaka leo hawajajibu shutuma hizo.
Lissu alikuwa manhandled Mbeya na akamtaja mpaka aliyehusika. Akaahidi kuwa atamshughulikia kama mtu binafsi. Mpaka leo kimyaaaa.
Amandla....