Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

Nothing existed before the big bang kuwa muelewa basi galaxies themselves ni matokeo ya big bang
So unanambia kuwa hakukuwa na chochote kabisa? No space, nothing at all. And all of a sudden boooom, big bang imetokea. Explain to me how it happened basi
 
In the near future it may be possible to create new galaxies yes hadi sasa with the available theories it is almost possible challenge ni energy tu but in the future we never know never underestimate humans
It is intresting. Unasema in the near future it may be possible to create new galaxies, so who is going to create them? Those with knowledge or it will create itself?
 
In the near future it may be possible to create new galaxies yes hadi sasa with the available theories it is almost possible challenge ni energy tu but in the future we never know never underestimate humans
It is intresting. Unasema in the near future it may be possible to create new galaxies, so who is going to create them? Those with knowledge or it will create itself?
 
hakuna pahala nimesema niko swa
Basi utambue kuwa, kufikiria kuwa kuna CREATOR of the universe haimaanishi kuwa ni mvivu wa kufikiri, hata baadhi ya scientist wanakubali uwepo wa muumbaji tena katika sekta hii hii ya universe.
 
Mkuu wewe ndiio unaijua sana science na hii physics yako ya moody physics, nimekuuliza swali dogo unaropoka mengi, we niambie origin yake, unaanza kuniambia nuclear fission na fusion, we si unajua ndio ungeelezea sasa sisi tusiojua tujue.
 

Hoja za kuthibitisha uwepo wa mungu ndo zipi hizo mbona hujazitaja?
 
Wajinga mmeshika dini toka utotoni mmemezeshwa maduduwasha mkameza sasa mnajifanya mnajua sana kuhusu uwepo wa mungu kumbe hamna kitu, mna evidence yoyote zaidi ya uongo mliousoma kwenye vitabu vyenu? Hehe! no proof, nothing, just utter nonsense. ati mungu mjua vyote, alijua adam na eve watakula tunda alafu akawawekea mti? heheh! nuksi nyingine bna, na alijua yatakayotokea baada ya hapo, vifo, maumivu yote, vita, alafu bado akaweka mti? alafu mnasema ana mapenzi kuliko kiumbe chochote? hayo ni mapenzi au chuki? heheh! we unajua mtoto atajikata alafu unamtegeshea wembe then unamuonya asiguse huku unajua kabisa kua atagusa na atajikata?

Yanayofanyika mabaya yote leo mnakaa kusema kazi za shetani, hehehe kazi za shetani yupi? kazi ya mungu wenu huyo maana yeye ndiye aliweka mti, shetani alisema ukweli kabisa kua ukila hilo tunda utajua mema na mabaya, uongo wa shetani uko wapi hapo? alafu mnakaa kusema alidanganya, kwani leo hii hamjui mema na mabaya? people are so stupid yaani mnasikitisha, aliyetunga hizo hadithi alivuruga sana watu, imani za kipuuzi zimedumu for generations na zitaendelea kuwepo muda mrefu sana hadi pale ambapo tutaanza interstellar travel watu bado watakua wanaamini upuuzi tu.

Em fikirisheni bongo kidogo msijifanye wajinga, mnajaribu kuukataa ukweli kua mlimeza upuuzi kwa kua mnaogopa sijui jehanamu, upuuzi gani. Vitu vingine hata kwa akili ya kawaida mtu unaona kabisa its bullshit.
 
Yaani tunapata shida kwa makosa ya watu wengine ?nonsense
 
chanzo cha mungu ninini?
usiseme hana chanzo, mana umeuliza vyanzo vya vitu vingine nitashangaa yeye kukosa chanzo.
 
chanzo cha mungu ninini?
usiseme hana chanzo, mana umeuliza vyanzo vya vitu vingine nitashangaa yeye kukosa chanzo.
Swali lako ni simple sana kujibu. Mungu hana chanzo, kwa sababu yeye sio KIUMBE! 🙂

Sasa nijibu chanzo cha big bang source yake basi na wewe!
 
Ndio mana aliparalize mpaka umauti ukamkuta...
 
Swali lako ni simple sana kujibu. Mungu hana chanzo, kwa sababu yeye sio KIUMBE! 🙂

Sasa nijibu chanzo cha big bang source yake basi na wewe!
kwani big bang ni kiumbe,..? asked out of curiousity
 

Ulishawahi kusikia kuwa watumishi wa Mungu makanisani wana uwezo wa kufufua wafu? What is the scientific theory behind? Emperical Science does not claim to have explanations to every phenomena. Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari. The Professor is right, and the religious people are also right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…