Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Answar wanaowahi kumaliza mfungo kabla ya wengine wao huruhusiwa kula hadharani siku hiyo wakimaliza mfungo kabla ya nyie wengine??

Answar ni habari nyengine hata hao serikali wenyewe wanawahofia, Jamaa waliipeleka serikali mchakamchaka sana miaka ya 90 na 2000's mpaka serikali iliinua mikono. mwaka jana serikali ilataka ku beep tena ikachomoa.
 
Unaonekana hujui hata unachokiongea.
 
Kwani hawana nyumba za kula?
 
Hajakatazwa mtu kula mchana ila umekatazwa ulaji wa hadharani kipindi cha mfungo wa Ramadhani wakati wa mchana.

Kama unajisikia kula mchana basi tafuta sehemu isiyo ya hadhara kisha ule. Ukimaliza endelea na shughuli zako. Simple tu

Kutokula hadharani inawezekana lakini kwani akila hadharani, wewe ambaye umefunga inakuhusu nini? Hiyo sheria za kuwazuia watu kula hadharani, ni ya kiuwendawazimu. Anayekula hakuwekei chakula mdomoni pako uliyefunga, wewe inakuhusu nini?

Kama unashindwa kuendelea na funga kwa sababu umeona mtu anakula au umekiona chakula, basi wewe ni mnafiki mkubwa, na hujafunga chochote bali unashinda njaa kwa sababu hakuna chakula.
 
Watanganyika waliopo nchini zanzibar wanahitaji kupiganiwa aisee hawako safe huko. Sio kwa mateso yale dah

muwapiganie kwa njia gani? kwanini musihawashauri warudi n=yumbani kama wameshindwa kuishi?
 
Afadhali shoga kuliko gaidi. Shoga anafanya ushoga mwilini mwake, lakini gaidi linafanya mauaji dhidi ya watu wengine.
Hata mbowe aliitwa gaidi. Kwa hivyo ni hatari kuliko shoga?
 

ishu sio kulazimishwa, ishu ni kufata sheria katika miji / nchi za watu
 

Tabia chafu za ushoga zimeshamiri maeneo ya pwani ambako jamii kubwa ni waislam.
 
Afadhali shoga kuliko gaidi. Shoga anafanya ushoga mwilini mwake, lakini gaidi linafanya mauaji dhidi ya watu wengine.
Sasa unafikiri gaidi ni nani? Gaidi ni mmarekani anayevamia nchi za watu na anayeunda vikundi vya kigaidi kwa kutumia jina la uislam. Mmarekani amefanikiwa sana kuwapotosha ila kiama chake hakipo mbali.

Kwahiyo ùnataka kuniambia wewe ushoga sio tatizo kabisa kwako sio 😃. Mfuasi wa Papa
 
itabidi kwa mwaka huu wavumilie tu, wasubiri mwakani pengine haitakuwa ndani ya mwezi wa ramadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…