Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Makobazi hawalioni HiloKupiga mtu wakati wa Ramadhani siyo dhambi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makobazi hawalioni HiloKupiga mtu wakati wa Ramadhani siyo dhambi?
Ana sauti?Lazima Salaam Za Pasaka Zitaambatana Na Hilo Jambo
Limekaa Na Ukakasi Tele, Vice President Yupo Wapi!!
Ni Mgalatia Aliyekimya
Answar wanaowahi kumaliza mfungo kabla ya wengine wao huruhusiwa kula hadharani siku hiyo wakimaliza mfungo kabla ya nyie wengine??
Sherehe inajumuisha kula je watakula hadharani?Katazo la kusherehekea Pasaka halijawah kuwepo Zanzibar
kwanza waislamu hawafungi wanabadilisha tu ratiba ya kula,umewahisikia wapi watu wakifunga kila mwaka mnaazakulalamika bei ya vyakula kupanda, mkifunga maanayake hakuna walaji na wanunuzi bei inatakiwa kushuka lakini badala yake ndo kipindi mna kula sana
Kwani hawana nyumba za kula?Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?
Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?
Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?
Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Hajakatazwa mtu kula mchana ila umekatazwa ulaji wa hadharani kipindi cha mfungo wa Ramadhani wakati wa mchana.
Kama unajisikia kula mchana basi tafuta sehemu isiyo ya hadhara kisha ule. Ukimaliza endelea na shughuli zako. Simple tu
Afadhali shoga kuliko gaidi. Shoga anafanya ushoga mwilini mwake, lakini gaidi linafanya mauaji dhidi ya watu wengine.Ushoga = Ukristo
Watanganyika waliopo nchini zanzibar wanahitaji kupiganiwa aisee hawako safe huko. Sio kwa mateso yale dah
Ukifa ndio utajuta kwanini hukua muislamAlietuletea dini Africa naona alituloga kwanza, Dini zimekua chanzo chakutengana na umaskini
Hata mbowe aliitwa gaidi. Kwa hivyo ni hatari kuliko shoga?Afadhali shoga kuliko gaidi. Shoga anafanya ushoga mwilini mwake, lakini gaidi linafanya mauaji dhidi ya watu wengine.
Mkuu lakini mimi kwa uelewa wangu naamini kumpiga mtu asiyefuata imani yako ni dhambi labda kama ukikaa chini na kumwombea ili abadilike. Kwenye dini tunatumia imani na nguvu zisizo onekana sio nguvu zinazo onekana. Kama ukitumia nguvu zinaonekana inakua haina maana ya imani boss wangu. Hata wachawi hatumii physically power ila wakiomba mtu anabadilika. Na ndio maana huwezi kuta mchawi anagombana na adui yake bali anaomba.
Askari alikuwa mkristo sio?
Aliachwa na yuko mtaani huru, wanaokula wanafanya dhambi?
Kwa miaka niliyoishi, mashoga wengi wa enzi hizo waliitwa kwa majina ya kiislam, kati ya 19 niliowahi kusikia, tena wakiwa na jina lao tukufu, ni mmoja tu ndo alikuwa akiitwa Noel.
Lipi baya kati ya kula na ushoga?
Kawasikilize watoto wa Coco beach, wakihojiwa enzi zile kwenye kipindi fulani redioni, waliwataja mpaka VIONGOZI WAISLAMU, mmoja akiwa marehemu kwa sasa, mmoja mkristo hakutajwa, kipindi kikakatishwa!
Kama hujawahi ishi kwenye jamii waliojaa wao, kajaribu ujione jinsi walivyo duni kwa kila jambo, wakishupalia mmomonyoko wa maadili kuwa ndio imani!
Yote hayo nini, mwaarabu anafanya....watoto wakike wakiolewa mabikra kwa imani ila exhaust pipe ikiwa chakavu, remedy yake ni MANUKATO makali kuficha uchafu wao.
Wakiristo wanataka kuivamia zanzibar. Washajenga mabaa saaa wanataka kuuharibu ramadhani watakwama lknishu sio kulazimishwa, ishu ni kufata sheria katika miji / nchi za watu
Vatican ipo pwani?Tabia chafu za ushoga zimeshamiri maeneo ya pwani ambako jamii kubwa ni waislam.
Sasa unafikiri gaidi ni nani? Gaidi ni mmarekani anayevamia nchi za watu na anayeunda vikundi vya kigaidi kwa kutumia jina la uislam. Mmarekani amefanikiwa sana kuwapotosha ila kiama chake hakipo mbali.Afadhali shoga kuliko gaidi. Shoga anafanya ushoga mwilini mwake, lakini gaidi linafanya mauaji dhidi ya watu wengine.