Punguza chuki aisee, zitakuletea ugonjwa.Anaetawala ni kilaza mwenzao ndio sababu unaona hivi vioja!
Yalitokea haya kipindi cha kilaza jk na sasa yamerudia tena!
Hungeweza kuona huu uhuni kipindi cha Ben au jpm.
Usisahau amri ya Papa inayowataka mpewe baraka huko makanisani. Haya nenda kabarikiwe sasa
.
Iko wazi kuwa wakristo hamfungi. Wanaofunga wanahesabika
Kumbuka tu huo muungano ni wa nchi mbili znz wana katiba yao wana sheria zao kwa znz kula hadharani mchana wa Ramadhani ni kosa la jinaiPolisi ni Jambo la Muungano...ina maana wanafuata sheria za Jamhuri.
Je,wana usikaje kukamata watu kwa makosa ambayo kwenye Katiba hayapo...?
Ufafanuzi tafadhali.
Wacha mihemuko na porojo hizo sheria zipo znz kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaJibu hoja.Hakuna mtu anayekaa nakufikiria ujinga kama mlionao uko kwenu.mnawaza kula tu hadi mnasumbua watu.
Walifika waislam 100? Kwenye wakristo 1000 basi wanaifunga hawazidi 10
Mimi sio mzanzibari wala muislamu...Hamna taabu nendeni mkabadili katiba mweke kwenye maandishi. Shida iko wapi.
Dini ni calture tu hakuna uhusiano kati ya Dini na Mungu, we acha dhambi tenda matendo mema habari nyingine waachie waarabu na waromaUkifa ndio utajuta kwanini hukua muislam
Kwa mujibu wa sheria za znzHilo katazo huwa ni kwa mujibu wa sheria gan??
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaMaaskofu , wachungaji, mapdre wote wamenyamaza jinsi wakristo wanavyofanyiwa ukatili hatuna viongozi huku tanganyika na zanzibar
Huyo Samia na mwinyi wafanyeje? Hizo sheria zipo znz toka karume mkubwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaSamia na Mwinyi haya hawayasikii au kuyaona? Ifike muda wafanye kuchukua hatua ili kuondoa hiyo fedheha kabla hatujatuma wamasai wakawatandike hawa wendawazimu wanaojifanya wanajua Dini kumbe ni takataka tu kama takataka zingine.
Hii kitu inatia hasira na kichefuchefu.
Ni lazima mshurutishe Kila mtu aishi kwenye mitazamo ya dini yenu?Najua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Wacha porojo serikali Ina hiyari yakeKule Zanzibar Kuna sehemu zinaitwa viwanja vya kufurahisha watoto vinamilikiwa na serikali kwahiyo siku za sikukuu vinafunguliwa ili watoto wa enjoy Cha ajabu siku za sikukuu za kiislamu vinafunguliwa fresh tu ila siku za sikukuu za kikristo kama pasaka havifungiliwi kabisa ni ubaguzi wa wazi wazi wa kidini unaofanywa na Hawa viongozi wa serikali ya SMZ..
Hamjakatazwa kula kilichokatazwa ni kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaJibu swali ndugu pasaka wakristo nzazibar wasile pasaka yao
Ni kweli, ila uisilamu sio special case kwenye Sheria za nchi hii.Zanzibar ni sehemu ya Tanzania Kwa baadhi ya Mambo.
Imani ya show off.Yaani nilichogundua hawa wenzetu funga yao wanaifanya kama adhabu, wanaifanya kwa kuogopana binadamu vs binadamu na sio binadamu vs MUNGU.
Yaani ingetokea mtu yuko porini ambako hawezi kuonwa na mtu yoyote,sidhani kama angeweza kufunga,kwasababu huko porini hakuna unafki wa kumuonesha mwenzio kwamba umefunga na pia hakuna mtu wa kukukosoa kwanini hujafunga,taabu kweli kweli.
Idara maaulum ndio TISS kwa Zanzibar.Mkuu Mimi sijazungumzia Vita baina ya Tanganyika na zanzibar nilichozungumzia ni Kuwa nao pia wana Majeshi kwa mujibu wa katiba yao..
Na Rais wa zanzibar ndio Commander in Chief (CIC) Au kishwahili Amri jeshi mkuu wa Majeshi hayo..
KMKM,JKU,JLM (Jeshi la mafunzo"Magereza") n.k.
View attachment 2947946
Funga yenu pia iendane na uwezo wa kuishinda tamaa na majaribu.Hamjakatazwa kula kilichokatazwa ni kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika