Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Anaetawala ni kilaza mwenzao ndio sababu unaona hivi vioja!

Yalitokea haya kipindi cha kilaza jk na sasa yamerudia tena!

Hungeweza kuona huu uhuni kipindi cha Ben au jpm.
Punguza chuki aisee, zitakuletea ugonjwa.
 
Usisahau amri ya Papa inayowataka mpewe baraka huko makanisani. Haya nenda kabarikiwe sasa
.

Tatizo umekuwa mbumbumbu wa masuala ya kiimani kwa wakatoliki.

We punguani, unapotosha ili ionekane kuwa Papa alisema mashoga wapewe baraka katika huo uchoga wao.

Ukweli ni kwamba Papa alisisitiza kuwa Mungu hawezi kubaariki dhambi.

Baraka aliyoiongelea Papa ni baraka ya toba. Alichosisitiza ni kuwa hata mashoga ni binadamu wenzetu, tusiwatenge bali tuwaoneshe upe do wa Mungu, wakiouona upendo wa Mungu wabadilike.

Kiutaratibu ni kwamba hata jambazi sugu, likikiri kuwa ni jambazi sugù, na kwamba linataka kuanza safari ya toba, likiomba baraka, litapata. Kwa nia moja kuwa baraka hiyo imsaidie kuufahamu mpango wa Mungu na kuufuata. Kiimani mwizi, mwongo, mfilaji na mfilwaji, muabudu sanamu, mzinzi - wote ni watenda dhambi. Hakuna mtenda dhambi wa afadhali. Kama tunaishi na wazinzi, majambazi, wevi, mafisadi (wevi), kwa nini tumwone shoga pekee ndiye mtenda dhambi?
 
Iko wazi kuwa wakristo hamfungi. Wanaofunga wanahesabika

Waislam kama wanafunga basi wanafunga katika mambo mengine lakini siyo kwenye chakula.

Chakula, huwa wanabadili tu muda wa kula. Ni kipindi ambacho wanakula chakula usiku badala ya mchana. Tena walio wengi wanakula zaidi kushinda hata muda ambao hawajafunga.
 
Polisi ni Jambo la Muungano...ina maana wanafuata sheria za Jamhuri.
Je,wana usikaje kukamata watu kwa makosa ambayo kwenye Katiba hayapo...?
Ufafanuzi tafadhali.
Kumbuka tu huo muungano ni wa nchi mbili znz wana katiba yao wana sheria zao kwa znz kula hadharani mchana wa Ramadhani ni kosa la jinai
 
Jibu hoja.Hakuna mtu anayekaa nakufikiria ujinga kama mlionao uko kwenu.mnawaza kula tu hadi mnasumbua watu.
Wacha mihemuko na porojo hizo sheria zipo znz kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Walifika waislam 100? Kwenye wakristo 1000 basi wanaifunga hawazidi 10

Kufunga ni zaidi ya kuacha kula. Funga halisi ni kubadilisha mwenendo wa maisha yako, kuliko kufikiria kuwa kuacha kula chakula mchana, wakati usiku unabugia chakula kama kawaida, eti ndiyo ufungaji. Huko ni kubadilisha tu muda wa kula.

Huko kwenye migodi mikubwa kuna watu wanafanya kazi usiku, mchana wanalala. Wao kila siku wanakula chakula usiku, mchana hawali kwa sababu wanakuwa wamelala. Kwa fikra zako, hawa wamefunga mwaka mzima?
 
Maaskofu , wachungaji, mapdre wote wamenyamaza jinsi wakristo wanavyofanyiwa ukatili hatuna viongozi huku tanganyika na zanzibar
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Samia na Mwinyi haya hawayasikii au kuyaona? Ifike muda wafanye kuchukua hatua ili kuondoa hiyo fedheha kabla hatujatuma wamasai wakawatandike hawa wendawazimu wanaojifanya wanajua Dini kumbe ni takataka tu kama takataka zingine.

Hii kitu inatia hasira na kichefuchefu.
Huyo Samia na mwinyi wafanyeje? Hizo sheria zipo znz toka karume mkubwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Najua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Ni lazima mshurutishe Kila mtu aishi kwenye mitazamo ya dini yenu?
 
KWANINI WAZANZIBAR WANATUONGOZA KWENYE NCHI YETU LAKINI WAO WANAJUINGOZA WENYEWE? KWANINI MARA NYINGI WANEKUWA WAKITULETEA DHARAU WAKATI HUKU TUNAISHI NAI KIROHO SAFI? KITU GANI KIMEJIFICHA HAPO?
 
Kule Zanzibar Kuna sehemu zinaitwa viwanja vya kufurahisha watoto vinamilikiwa na serikali kwahiyo siku za sikukuu vinafunguliwa ili watoto wa enjoy Cha ajabu siku za sikukuu za kiislamu vinafunguliwa fresh tu ila siku za sikukuu za kikristo kama pasaka havifungiliwi kabisa ni ubaguzi wa wazi wazi wa kidini unaofanywa na Hawa viongozi wa serikali ya SMZ..
Wacha porojo serikali Ina hiyari yake
 
Yaani nilichogundua hawa wenzetu funga yao wanaifanya kama adhabu, wanaifanya kwa kuogopana binadamu vs binadamu na sio binadamu vs MUNGU.
Yaani ingetokea mtu yuko porini ambako hawezi kuonwa na mtu yoyote,sidhani kama angeweza kufunga,kwasababu huko porini hakuna unafki wa kumuonesha mwenzio kwamba umefunga na pia hakuna mtu wa kukukosoa kwanini hujafunga,taabu kweli kweli.
 
Yaani nilichogundua hawa wenzetu funga yao wanaifanya kama adhabu, wanaifanya kwa kuogopana binadamu vs binadamu na sio binadamu vs MUNGU.
Yaani ingetokea mtu yuko porini ambako hawezi kuonwa na mtu yoyote,sidhani kama angeweza kufunga,kwasababu huko porini hakuna unafki wa kumuonesha mwenzio kwamba umefunga na pia hakuna mtu wa kukukosoa kwanini hujafunga,taabu kweli kweli.
Imani ya show off.
 
Mkuu Mimi sijazungumzia Vita baina ya Tanganyika na zanzibar nilichozungumzia ni Kuwa nao pia wana Majeshi kwa mujibu wa katiba yao..

Na Rais wa zanzibar ndio Commander in Chief (CIC) Au kishwahili Amri jeshi mkuu wa Majeshi hayo..
KMKM,JKU,JLM (Jeshi la mafunzo"Magereza") n.k.
View attachment 2947946
Idara maaulum ndio TISS kwa Zanzibar.

Zamani bara enzi za TANU na chama kimoja TISS ilikuwa ndani ya ofisi ya rais chini ya mwamvuli wa kuitwa tawi maalum muda huo rais pia akawa ni mwenyekiti wa chama.

Leo hii wako chini ya ofisi ile ile wanatoa ulinzi hadi sasa kwa makada wa CCM .

Katiba mpya ni muhimu sana.
 
Hamjakatazwa kula kilichokatazwa ni kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Funga yenu pia iendane na uwezo wa kuishinda tamaa na majaribu.
 
Back
Top Bottom