Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Niliwahi kuishi Zanzibar kipindi cha Ramadan nilichukia sana, yaani Nilijikuta nachukia Uislamu kishenzi, mnalazimisha mambo yenu kwa watu wasioamini hayo mambo ya muarabu.
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mkenya inakuuma nini ? Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu Kenya [emoji1139]
 
Mmmhhh hii sasa ni hali mbaya, so hata ukiwa Mkristo lazima ukishikwa unakula unafungwa ndani? Sidhani, labda waislam tu
Mkuu unasemaje ni waislamu wakati sheria ishaanza kufuata mkondo
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa znz ni kosa la jinai kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Hamjakatazwa kula kilichokatazwa ni kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Kwamba wengine wakila hadharani nyie automatical mnafungua ama? Mbona ni dini ya shuruti sana?
 
Inasikitisha sana.
 
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania Kwa baadhi ya Mambo.
Kuna uzi upo humu mtu akifika na kutaka kuendesha gari Zanzibar na yeye ni wa kutoka bara lazima alipe 20k za kitanzia ili kuapply kibali kuruhusiwa kuendesha gari sasa hapo hii sio nchi nyingine?
 
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Wakristo huwa wanaenda kula sikukuu zao vijijini kwao. Na wao warudi bara.
Hata Xmas utawaona wanaondoka Dar kwenda vijijini kwao
 
Hapana Idara maalumu sio TISS..
Idara maalumu Ni JKU,KMKM, chuo cha mafunzo(Jeshi la magerza) N.k
 
Kama jaribu la kuvumilia jirani yako akila hadharani linakushinda utaweza kuvumilia ukiona upaja wa pisi kali? Jaribu dogo tu linateteresha imani yako.
Uislam sio Imani, ni Mfumo tu wa maisha. Hawajui na Wala hawana Imani yoyote.
 
Leo ni Ijumaa kuu,waktisto hawali nyama
 
Vita ya imani haijawai kuwa ndogo, mda ni mwalim
 
Mbona Answar Sunna wanaposwali Eid na kufungua na kula siku Moja kabla ya wengine, Huwa hawapigwi viboko?!
 
Hayo ndiyo maelekezo ya yule SHETANI MKUBWA ZAIDI ALLAH. Na bado hawa Waislam hawataishia hapo tu, kile mnachofikiriaga ni ISIS tu ndiyo hufanya-KUCHINJA WATU na hawa watafika huko; tena inakuja kwa haraka mno kuliko tulivyotarajia
ALLAH NI SHETANI JAMANI MJUE HILO
 
Hata Pasaka mkuu hakuna kula hadharani ndio ujue Kuna watu wamewehuka na dini? Funga Iko kujionyesha mbele za watu kuliko kushinda vishawishi.
Mbona wagumu nyinyi kuelewa kwa kua ni pasaka ndio ule hadharani mchana wa Ramadhani wakati znz wameshasema ni kosa la jinai kula hadharani mchana wa Ramadhani nyie vipi ?
 
Sijui Afrika Kuna ujuha gani?Babu zetu walikuwa na dini zao ata kabla ya hizi tunazoona sisi Ndo tunamjua mungu zaidi,na waliishi vizuri tu bila ubaguzi.Hizi dini zimeletwa na wageni siyo zetu kwa nini zitutenganishe. Waliofanya dhuluma hiyo Wana matatizo au pengine hawajui mafundisho vizuri hakuna dini inayoleta utengano au kuona wewe ni Bora kwa dini yako kuliko mwingine,mbele ya mungu watu wote ni sawa Mimi navyoelewa. Mimi mtu mwenye msinamamo mkali wa dini sitaki ata kuwa nae karibu ni shida.
 
Sijui Afrika Kuna ujuha gani?Babu zetu walikuwa na dini zao ata kabla ya hizi tunazoona sisi Ndo tunamjua mungu zaidi,na waliishi vizuri tu bila ubaguzi.Hizi dini zimeletwa na wageni siyo zetu kwa nini zitutenganishe. Waliofanya dhuluma hiyo Wana matatizo au pengine hawajui mafundisho vizuri hakuna dini inayoleta utengano au kuona wewe ni Bora kwa dini yako kuliko mwingine,mbele ya mungu watu wote ni sawa Mimi navyoelewa. Mimi mtu mwenye msinamamo mkali wa dini sitaki ata kuwa nae karibu ni shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…