bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mkenya inakuuma nini ? Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu Kenya [emoji1139]Niliwahi kuishi Zanzibar kipindi cha Ramadan nilichukia sana, yaani Nilijikuta nachukia Uislamu kishenzi, mnalazimisha mambo yenu kwa watu wasioamini hayo mambo ya muarabu.