Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Muungano una vipengele babu,1964 vilikua 11,Leo vimefika 20+, muungano si kwenye kila kitu
Katika hivyo vipengele, Jeshi la polisi ni suala la muungano babu,
Wanawajibika kwenye sheria za muungano...
 
Jeshi la polisi ndilo lililo kamata watu,
Fuatilia kwenye vyombo vya habari, check Ayo TV
Katiba inazuwia Hilo la Zanzibar kukamata watu wanokula mchana wa Ramadan hadharani?..maana hili Jambo la zamani
 
Wape location maana waliopo bara ndio wana wasiwasi wakati wenzao wanaishi huko miaka kibao ..wanafanya shughuli zao kidini daily
Kwanza ni kujua aina ya wanaolalamika na uwezo wao kiuchumi. Hii itakuwa rahisi kuwapa location kadili ya ukubwa wa mfuko wao.

Aidha kwa haraka haraka, kama ulikuwa unakula kwa Mama Lishe kabla ya mfungo, ni Mama huyo huyo ambaye hutoa location kwa wateja wake ni wapi atapatika wakati wa mfungo.

Kwa wanywaji, Baa zinazokuwa wazi zinajulikana na zaidi unaweza kupata msosi kama kawaida. Hivyo hili sio tatizo kwao.

Kwa wageni, unapofika bandarini au airport ulizia kwa bodaboda, taxi driver na Bajaj... Hapa hapana guarantee ya kupelekwa sehemu salama.

Zaidi kambi zote za Jeshi zenye Officers Mess wanakuwa wazi, baadhi ya Baa zilizo chini ya CCM, Hotel za kitalii n.k

Kubwa zaidi ni ukubwa wa mfuko wako na Cha muhimu kabisa ni kiheshimu waliofunga.
 
Katiba inazuwia Hilo la Zanzibar kukamata watu wanokula mchana wa Ramadan hadharani?..maana hili Jambo la zamani
Nilishakaa Zanzibar mda wa miezi mi3,ikiwemo na Ramadhani...Cha ajabu watalii hawaguswi, siyo kwa mavazi ama kula...
Nilijihisi mfungwa, yani shida kunywa maji,chakula mpaka mtu ukale kwenye mgahawa ya kujificha....
 

View: https://www.bbc.co.uk/news/av/world-asia-68691883

Jana ndio filamu ya Oppenheimer imeonyeshwa kwa mara ya kwanza Japan kwa sababu ya sensitivity.

Kwawasio angalia hiyo filamu bado inahusu harakati za kutengeneza atomic bomb mpaka lilipotumika kwenye vita Japan.

Filamu aijaonyesha madhara ya bomb Japan wala sinema yenyewe sio ya kivita, ni kwamba tu Oppenheimer baada ya kutengeneza bomb akaanza kuona madhara yake litakapotumika akageuka mpingaji wa matumizi yake.

Sasa watengenezaji kwa hisia tu hiyo cinema inaweza tonesha vidonda hawakuipeleka Japan mpaka wenyewe wajapani walipoomba ionyeshwe mbona ni perspective nyingine ya story sio kivita.

Wewe unaenda sehemu ata ingekuwa mji ndani ya Tanzania asilimia kubwa wanafunga heshimu basi kula mbele yao.

Watanzania wa siku hizi mmekuwaje zamani sisi tukiwa shule ya msingi tu na sekondari Tanzania bara marafiki wanatambua fulani kafunga leo awali mbele yake.

Leo unakuta jitu zima linalazimisha kula mchana hadharani eneo ambalo wengi wamefunga, we vipi.
 
KAtiba ya Jamhuri ya Muungano ila zanzibar Ina Katiba yake pia Mkuu..
Zanzibar wana Katiba yao
Na pia wana PGO yao pia
Mkuu Unafahamu kuhusu Hayo lakini??

Katiba..

 
Nahisi wageni ndio wanapata tabu ila mliokaa huko fresh tu, jamaa yangu ni mlevi kafanya kazi hotelini miaka 2 .

Hajwahi kulalamika mitungi anapiga kama kawaida .
 
Namuunga mkono kwenye upande wa kutembea na mke wa mtu lakini sikubaliani naye kwenye hoja ya kosa la kula hadharani, hapo amekosea kwa sababu masuala ya dini na urndeshaji wake hayapaswi kuingiliwa na Serikali kwa mujibu wa Katiba ya muungano, kitendo cha serikali kutunga sheria ndogo za kuzuia watu wasile hadharani wakati wa Ramadan ni kwamba serikali imejiingiza kwenye dini
 
Ndugu zangu waislamu Duniani kuna Dini mojatu uislamu. Uislamu pekee ndo Dini ipasayo mtu kua. Usiwaamini watu wa kitabu(wakristo).wala usitamani kuendana nao wala kwachochote wafanyacho. Na wakikuulizeni mbona nyinyi sikama sisi,,,, nanyi wajibuni ndio sisi sikama nyinyi nawala hatuwez kuwa nyinyi. Mungu wetu si Mungu wenu na Mungu wenu si Mungu wetu. Hamuabudu tunachokiabudu na wala hatuabudu mnachokiabudu.
Hakuna Dini nyingine Duniani isipokua Uislamu. So wengine nimakafiri sizan kua kafir ana haki. Kafiri ni mtu asiye na Dini yaaan mtu asiye na utu wala utakatifu ndani yake wala hana Mungu,. Huyo hana haki yoyote Duniani na akifa moja kwa moja motoni. Hana haki kafiri atasema nini,. Anaweza sema nin. Aishi nakufwata matakwa ya uislamu la atulie maana hapaswi kuongea. Kafiri wewe yaaan wewe nikafiri nitakuamini vip kafir kwa hoja zako?.

Huyu ni muislamu
Huyu ni kafiri

Mahakama na viongoz niwaislamu basi kafir umekwisha.

Hiii ni iman moja kubwa yakiislam



On coded mwenye hakili abg`amue hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishakaa Zanzibar mda wa miezi mi3,ikiwemo na Ramadhani...Cha ajabu watalii hawaguswi, siyo kwa mavazi ama kula...
Nilijihisi mfungwa, yani shida kunywa maji,chakula mpaka mtu ukale kwenye mgahawa ya kujificha....
Uislam haukatazi mtu kula mchana wa Ramadan, Qur'an inatambua Kuna wenye udhuru wa kufunga(wasafiri na wagonjwa),lakini pia QUR'AN imeweka wazi kuwa funga ni Kwa 'walioamini'..mi muislam Ila huwa sielewi huo msimamo wa Zanzibar
 
Wizara ya mambo ya ndani ilikuwepo kwenye vile vipengele 11 vya muungano alivyosaini karume,au mliingiza kwa Hila baadae?
Hata kama havikuwepo katiba ni kitu kinachobadilika kuendana na wakati lakini kikiridhiwa na pande zote za muungano na baraza la wawakilishi na bunge shida iko wapi kama viliridhiwa na baraza la wawakilishi kwenye mabadiliko ya katiba?
Yawe ya katiba ya muungano au ya Zanzibar hakuna shida
 
Viridhiwe wapi!!..
 
yaani kufunga ufunge wewe halafu kwenye kula tupangiane? hiyo hadharani ni ipi? nikipika pilau wenye imani ya kufunga ni chakula lazima watafutane
 
Wana katiba ya Zanzibar pia na PGO ya zanzibar pia
 
Kuna Katiba ya zanzibar pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…