Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Mbona mama kizimkazi ni wa huko kisiwani, na anaongoza huku bara.
 
Wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Ungejibu maswali yangu niliyouliza, ningekuona una akili kidogo. Lakini umekwepa na badala yake unaleta ujinga na upuuzi wako..

Unaweza kujibu maswali haya ya nyongeza? 👇

1. Sheria za dini yako wewe zinanihusu nini mimi nisiye wa imani au dini hiyo?

2. Tangu lini Zanzibar imekuwa ni dola ya Kiislamu na hivyo kutawaliwa na sheria za kiislamu?

3. Katiba ya Zanzibar inasemaje?

##Mimi nafikiri nyie wajahidina wafia dini isiyoweza kuwapeleka popote mnapaswa kuacha ujinga wenu huu na kila mtu aheshimu imani ya mwenzio bila kuingiliana au kuwekeana mipaka..!
 
Dar es Salaam Sio mbali, wapande boti wakasherekee wanavyo taka, wakimalza warudi ZNZ.
 
Dar es Salaam Sio mbali, wapande boti wakasherekee wanavyo taka, wakimalza warudi ZNZ.
sasa hicho ndio kinatufanya tuseme dini yenu sio ya amani,na zanzibar hakuna uhuru wa kuabudu kama katiba yenu inavyodai. dini ya fujo, dini isiyovumilia wengine, dini inayochapa watu wazima viboko, ndugu zangu ikimbieni hiyo, sio ya kimungu, pazeni sauti na kwa watu wengine waikimbie hiyo dini wasiisogelee kabisa.
 
Huyu punguani yupo na hili jibu la kipunguani kila mada.

Ungekuwa na akili japo kidogo ungewashauri wazanzibari wenzako waliopo Tanganyika warudi Zanzibat. Mjifungie huko na ushamba wenu.
Wewe ndio punguani sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika
 
Niko Forodhani food market muda huu,watu ni wachache sana......
Huku hakunaga kusheherekea Pasaka ni kimyaa kimyaa.
 

sister hicho kipengele namba 2 kinaonekanwa kinasumbua sana
 

Zanzibar ni ya wazanzibari na sio waafrika, acha pumba ndugu
 
ungeongeza na kingine, kufunga ramadhani halafu badala ya kuyafungia matendo maovu unazunguka mchana kuangalia asiyefunga hata kama ni mkristo, umchape viboko.

pia, kipengele cha 5 mimi huwa sielewi, mtu anasema amefunga, ila usiku mzima anakula, hadi daku karibia na asubuhi ili kesho yake siku nzima tumbo limejaaa, limevunda, limebeba chakula kingi kuliko siku ambazo huwa hafungi. sasa anakuwa amefunga nini sasa?
 
Funga siyo mateso,na huyo anaekula usiku kucha ni maamuzi yake binafsi...

Usiku ni muda wa ibada na siyo kula,hayo unayasema wewe...

MTU anashauriwa ili asipate uchovu basi avute MUDA karibu na Alfajir apate chochote kama ni chai ,maji,juice na chochote kitachomsustain,funga ni yetu SISI nyinyi makafiri mnaumia Nini?

Nyinyi SI mna funga yenu Kuaresma?endeleeni nayo tatizo ni Nini makafiri.
 
Wale viumbe watakuja kutuletea madhara Tanganyika, tufanye hima tujitenge nao afu hawa walio huku sjui walimu, soldiers, Politicians etc ambao ni waZenji warud kwenye kakisiwa kao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…