cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mbona mama kizimkazi ni wa huko kisiwani, na anaongoza huku bara.imagine, halafu, mzanzibari huyohuyo ndio awe rais wa Tanzania, apigiwe kura na watanzania, aheshimike na watanzania, kwa mazingira ya aina hii huko kwao. hata mwinyi anayetazama tu watu wakristo wakipigwa viboko na kukamatwa mchana, kuna siku atakuja kuomba kura huku bara awe rais wenu, watanganyika.