DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kwani hii Imeanza leo mkuu..Hii sio sawa, ni kosa, naamini Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itakemea hili jambo
SIo sawa yake ni Ipi??
Hapo zanzibar wana sheria zao waacheni..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hii Imeanza leo mkuu..Hii sio sawa, ni kosa, naamini Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itakemea hili jambo
Idara ya maalumu ya Zanzibar itaanza kupambana na Majeshi ya URT?Wana vyombo vyao mkuu zanzibar ni nchi inayojitegemea ina mahakama yake ina Jeshi (Idara maalumu), Ina Bunge Baraza la wawakilishi na ina serkali (SMZ)..
Kifungu cha Nne cha Katiba ya Zanzibar kinasema kuwa sheria yoyote inayokinzana na Katiba ya Zanzibar itakuwa batili zanzibar
Mkuu Mimi sijazungumzia Vita baina ya Tanganyika na zanzibar nilichozungumzia ni Kuwa nao pia wana Majeshi kwa mujibu wa katiba yao..Idara ya maalumu ya Zanzibar itaanza kupambana na Majeshi ya URT?
Imani ya kipagani hilo liko waziKama jaribu la kuvumilia jirani yako akila hadharani linakushinda utaweza kuvumilia ukiona upaja wa pisi kali? Jaribu dogo tu linateteresha imani yako.
Je kwa mujibu wa maandiko yenu wapo sahihi hao wazanzibar?Wanasherekea kwa vile sio majority maana kule kama sheria ni kula hadharani hata sehemu kadhaa zimefungwa ...kula hadharani ndio hawataki kula ndani hamna tatizo
ni kama vile hii ramadhani na pasaka ndiyo mara ya kwanza kuwa kipindi kimojaNajua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Hakuna faidaKuendeleza muungano na zanzibar ni sawa na kubeba gunia la misumari. Sidhani kama kuna faida kubwa ya huu muungano
Watanganyika rudini kwenuTaifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?
Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?
Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?
Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Masharti pikia chumbani kwako lakin visinukie kuwafanya watu watamaniMfano nachoma zangu nyama napika pilau. Je hadharani ambayo sitakiwi kufanyia haya ni wapi napikia chumbani?
🤣 🤣 🤣Kama jaribu la kuvumilia jirani yako akila hadharani linakushinda utaweza kuvumilia ukiona upaja wa pisi kali? Jaribu dogo tu linateteresha imani yako.
Kulinda utamaduni kama sheria ya nchi wapo sahihi .kwa sababu majority ni waislamu ila zipo haki za wasio waislamu kwa mujibu wa uislamu.Je kwa mujibu wa maandiko yenu wapo sahihi hao wazanzibar?
Suluhisho ni kugawana mbao wavaa makobazi na masarawili wasikanyage hapa Tanganyika na waliopo hapa wafurushwe kwao na mali zao zitaifishwe.Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?
Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?
Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?
Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Hao waliokamatwa wamekamatwa kinyume cha katiba ya nchi ya Jamhuri ya muungano wa Tanzaniawalio kamatwa wanafahamika na dini zao na jamaa zao, na kwahivyo ni kama vile wamechomeana mbovu
Hata Pasaka mkuu hakuna kula hadharani ndio ujue Kuna watu wamewehuka na dini? Funga Iko kujionyesha mbele za watu kuliko kushinda vishawishi.Tusubir8 safari hii vimegongana Ramadhani na pasaka
Wakristo washerehekee halafu wakamwatwe tuone
Zanzibar kama haijaingizwa kwenye nchi zinazovunja haki za binadamu na kutangazwa hakufai kwa watalii kwenda
After all watalii wengi wanaotembelea Zanzibar ni Wakristo.Ngoja tuone Pasaka Wakristo wakisherehekea pasaka yao tuone polisi Zanzibar itawachukulia hatua gani wakristo wakiwa katika kusherehekea shereje yao muhimu ya kidini
Jibu swali acha mihemkoNajua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Kulinda utamaduni kama sheria ya nchi wapo sahihi .kwa sababu majority ni waislamu ila zipo haki za wasio waislamu kwa mujibu wa uislamu.
Kwani dubai ndio kuna nini? Acheni kuona nchi za wezetu na watu wa nchi zingine ni bora kuliko sisi. Sio lazima watu waige huko njeZanzibar manaijua dini kuliko Dubai?
kwahiyo nikwamba enzi za Mohammad ilikuwa ni marufuķu kula hadharani wakati wa ramadhani?Kulinda utamaduni kama sheria ya nchi wapo sahihi .kwa sababu majority ni waislamu ila zipo haki za wasio waislamu kwa mujibu wa uislamu.