Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Idara ya maalumu ya Zanzibar itaanza kupambana na Majeshi ya URT?
 
Idara ya maalumu ya Zanzibar itaanza kupambana na Majeshi ya URT?
Mkuu Mimi sijazungumzia Vita baina ya Tanganyika na zanzibar nilichozungumzia ni Kuwa nao pia wana Majeshi kwa mujibu wa katiba yao..

Na Rais wa zanzibar ndio Commander in Chief (CIC) Au kishwahili Amri jeshi mkuu wa Majeshi hayo..
KMKM,JKU,JLM (Jeshi la mafunzo"Magereza") n.k.
 
Kama jaribu la kuvumilia jirani yako akila hadharani linakushinda utaweza kuvumilia ukiona upaja wa pisi kali? Jaribu dogo tu linateteresha imani yako.
Imani ya kipagani hilo liko wazi
 
Najua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
ni kama vile hii ramadhani na pasaka ndiyo mara ya kwanza kuwa kipindi kimoja
 
Anaetawala ni kilaza mwenzao ndio sababu unaona hivi vioja!

Yalitokea haya kipindi cha kilaza jk na sasa yamerudia tena!

Hungeweza kuona huu uhuni kipindi cha Ben au jpm.
 
Watanganyika rudini kwenu
 
Mfano nachoma zangu nyama napika pilau. Je hadharani ambayo sitakiwi kufanyia haya ni wapi napikia chumbani?
Masharti pikia chumbani kwako lakin visinukie kuwafanya watu watamani
Na ukila tulia ndani subili Sikukuu ya Idi ndio utembee
 
Suluhisho ni kugawana mbao wavaa makobazi na masarawili wasikanyage hapa Tanganyika na waliopo hapa wafurushwe kwao na mali zao zitaifishwe.
 
walio kamatwa wanafahamika na dini zao na jamaa zao, na kwahivyo ni kama vile wamechomeana mbovu
Hao waliokamatwa wamekamatwa kinyume cha katiba ya nchi ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Katiba ya jamhuri ya muungano inatamka wazi kuwa serikali haina dini.hii ni.pamoja na vyombo vyake vya muungano ikiwemo.jeshi la Polisi

Jeshi la Polisi Zanzibar ni chombo cha muungano hivyo liko chini ya katiba ya muungano

Hao waliokamatwa bila kujali ni wakristo au waislamu walichokamatikiwa suo sehemu ya kaxi ya jeshi la Polisi lililoapa kulinda katiba ya Jamhuri ya Muungano.Wamekutwa wanakula hadharani Mwezi wa Ramadhani sawa hata kama wamekutwa hilo ni swala lao la kidini mia kwa mia.Haikuwa kazi ya polisi kwenda kuwashika.Wamesahau kuwa wao wako chini ya katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na chini Ya PGO ya polisi ya muungano

Wanasheria na watetezi wa haki za binadamu pazeni sauti na wasaidieni hao wanaoshikiliwa zanzibar na polisi kwa kula mchana waachiwe.Polisi Zanzibar wamevunja katiba kuwakamata.Hiyo sio kazi ya Jeshi la polisi.Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imevunjwa waziwazi na jeshi.la Polisi Zanzibar ambao liko chini ya katiba

Na kwa uvunjifu huo wa katiba mkuu.wa polisi Zanzibar aondolewe Kuvunja katiba sio Jambo dogo
 
Hata Pasaka mkuu hakuna kula hadharani ndio ujue Kuna watu wamewehuka na dini? Funga Iko kujionyesha mbele za watu kuliko kushinda vishawishi.
 
Kulinda utamaduni kama sheria ya nchi wapo sahihi .kwa sababu majority ni waislamu ila zipo haki za wasio waislamu kwa mujibu wa uislamu.

Zanzibar manaijua dini kuliko Dubai?
 
Zanzibar manaijua dini kuliko Dubai?
Kwani dubai ndio kuna nini? Acheni kuona nchi za wezetu na watu wa nchi zingine ni bora kuliko sisi. Sio lazima watu waige huko nje
 
Kulinda utamaduni kama sheria ya nchi wapo sahihi .kwa sababu majority ni waislamu ila zipo haki za wasio waislamu kwa mujibu wa uislamu.
kwahiyo nikwamba enzi za Mohammad ilikuwa ni marufuķu kula hadharani wakati wa ramadhani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…