Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Amen!Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen!Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Waislamu uwezo wa kudhibiti matamanio mdogo mno wawe wanawake au wanaume ila kwa wanaume ni zaidi inabidi dunia itangaze kuwa matamanio ya wanaume wa kiislamu yako juu mno na ni janga la duniayaani kufunga ufunge wewe halafu kwenye kula tupangiane? hiyo hadharani ni ipi? nikipika pilau wenye imani ya kufunga ni chakula lazima watafutane
Mathayo 6:16-18Waislamu uwezo wa kudhibiti matamanio mdogo mno wawe wanawake au wanaume ila kwa wanaume ni zaidi inabidi dunia itangaze kuwa matamanio ya wanaume wa kiislamu yako juu mno na ni janga la dunia
Wakristo uwezo wa kuhimili matamanio ni mkubwa kuliko waislamu
Mfano sasa hivi wakristo wako kwenye mfungo wa siku 40 lakini hawalazimishi mtu kufunga pia sehemu za vyakula hawafungi kula hadharani ruksa wewe kula tu sababu kwenye kufunga Kikristo hutakiwi kujionyesha ukijionyesha onyesha mfungo unakuwa batili na sala zako zinakuwa batili.Na lazima kudhibiti matamanio yote mabaya kuanzia mawazo hadi vitendo waweza kuwa unauza chips kuku unauza na umefunga na mtu hajui kuwa umefunga.Ndio maana hata muda huu waislamu wengi hawajui kuwa Wakristo wako kwenye mfungo tena wa siku 40 sio siku chache 30 kama za waislamu
Sasa njoo mfungo wa Ramadhani kelele kibao ohh mimi nafunga ,usile mbele yangu na marufuku hoteli na sehemu za vyakula kufunguliwa mnatupa matamanio kufungua
Inabidi hadi nchi kama Zanzibar na nchi za kiislamu serikali itoe tamko kabisa mtu yeyote atakae uza chakula hadharani au kula atakiona cha mtema kuni kusaidia watu wafunge sababu uwezo wao wa kudhibiti matamanio ya kula urojo,chips kuku,pilau nk uko sifuri
Sasa mwanamke akionesha kapaja tu kidume cha kiislamu kadude kake kanainuka uwezo wa kudhibiti matamanio nyege zake hana hasa wanaume wa kiislamu sijui walitupiwa majini au nini? Hawana uwezo kabisa wa kudhibiti matamanio.Wakristo wako fit hata apite uchi mwanamke wanaume wanaona kichaa tu wanaendelea na mambo yao.Lakini waislamu utasikia Astakafilulah hata waweza mrushia mawe madude yao ndani ya kanzu yanainuka ghafla kama winchi ya kupakia mizigo bandarini wakati wenzao wakristo wala.
bar iliungana na nchi gani?.Usitake kutuletea upuuzi.Hakuna nchi inayoitwa Tanganyjka, hilo lazima ulijue...
Siupondi muungano, ila kuna mambo yaboreshwe...
Zanzibar ni Islamic Region ya Tanzania. Inatekeleza By-8 law the JMT. Kama Ulinzi shirikishi.Ila kuna haki ya kuhoji...ili kuweka mambo sawa...?
Watu wanauliza wakiwepo Tanzania,na Zanzibar ni sehemu ya Tanzania...
Asante sana Yesu Kristo. Hakika hatatokea mwingine mwenye Mafundisho kama yako. Wengine ni kulazimisha tuu.Mathayo 6:16-18
[16]Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.
[17]Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso
[18]ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
KUFUNGA SIO MATANGAZO
Hata kama katazo si jipya, je, ni katazo halali kwa taifa linalojinasibu kuwa lina uhuru wa imani kwa wananchi wake? Ili kuweka usawa, basi katazo hilo liwepo pia kipindi cha Kwaresma. Vinginevyo litolewe lisiwepo kabisa ili kuweka usawa kwa dini zote.Najua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Tanganyika ilikoma ku-exist baada ya Muungano 1964, ina maana hata hiko haujui ama...?Kwahiyo zanzi
bar iliungana na nchi gani?.Usitake kutuletea upuuzi.
Lazima niulize maana Zanzibar ni nchi huenda ninachokijua kitakuwa sio unachokijua..TISS Mkuu si Ni Tanzania Nzima???
TISS ni Usalama wa Nchi kwahyo ni Jambo la MuungaoLazima niulize maana Zanzibar ni nchi huenda ninachokijua kitakuwa sio unachokijua..
Wao wana ZFDA bara wana TMDA , ZRA bara TRA.
Something is not matching here.
Wajitathimini mienendo yao kwenye baadhi ya mambo wanakosea sana.Waliojificha nyuma ya kivuli cha uarabu na uislamu
Hivi inakuwaje mtu unashurutisha mtu mwingine afunge kisa umefunga wewe? Uislamu bwana ni shiiida tupu.Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?
Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?
Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?
Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sanaSaudia ambako.ndio.dini.ya kiislam.imeanzia wameanza kuuza pombe na mwaka.huu mwanamke wa kiislami.wa saudi Arabia atawakilisha nchi yake Kwa mara ya Kwanza kwenye mashindani ya Miss world sasa Zanzibar wanajitanya wanajua uislam kuliko saudia
Wewe wacha porojo wenyewe hao znz wana haki ya kuamua nchi Yao waiendeshe kwa sheria wanayotaka nchi ni yao serikali ni yao unaweza tii sheria zao huwezi baki kwenuZanzibar ni kisiwa cha waafrika, kiko ndani ya nchi ya Afrika na wanaoishi ni Waafrika, hauwezi kutumia pumba za kiarabu kutesa waafrika wenzako, sio kila mtu pale anaabudu huyo muarabu, kuna Watanzania wametokea bara ambao hawahusiani na muarabu.
Ona hii video mlivyo majinga, mnamcharaza mtu viboko kisa kakula chakula ambacho kajinunulia kwa hela yake na jasho lake.
https://www.jamiiforums.com/data/video/5674/5674814-a14818219092ff5b8b26258ca67a71da.mp4
Hizo sheria sio mpya zipo muda mrefu tu wala hazijawahi kuwa tatizo wala hakuna aliekatazwa kula kilichokatazwa ni kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenuLengo ni kuimarisha muungano,
Sasa unafkiri Rais ajaye akiwa wa bara, na akaamua kuvuta kamba huku, itakuwaje kwenu...?
Ata Zanzibar hakuna sheria hiyo ila wanadanganyana tu,mara katazo sijuhiPolisi ni Jambo la Muungano...ina maana wanafuata sheria za Jamhuri.
Je,wana usikaje kukamata watu kwa makosa ambayo kwenye Katiba hayapo...?
Ufafanuzi tafadhali.
Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sanayaani kufunga ufunge wewe halafu kwenye kula tupangiane? hiyo hadharani ni ipi? nikipika pilau wenye imani ya kufunga ni chakula lazima watafutane
Zenji wakristo ni wapangaji, wenyeji au wenye nyumba ndo waamuzi wa kila kituTaifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?
Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?
Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?
Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.