Sir Kite 2
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 552
- 314
Mnaongea as if nyie ndio wasemaji wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
subiri maalim seif apande ndege akampe taarifa za jinsi mchezo mchafu ulivyofanyika.Zanzibar na burundi inawaingizia wamarekani shilingi ngapi mpaka TRUMP ahangaike nao? Trump hujamsikia vizuri hotuba zake wewe.Interest za Marekani kwanza mambo mengine baadaye.Zanzibar kwake ni NON ISSUE ni sawa na kumwambia aingilie kati uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji uliochakachuliwa unadhani atakuja!!!
subiri maalim seif apande ndege akampe taarifa za jinsi mchezo mchafu ulivyofanyika.
Chadema washaanza kujipendekeza, ICC imeshindikanaSidhani kama ni pigo maana Rais wetu alishajiandaa mapema kisaikolojia.
Africa siyo priority ya Donald Trump ha! ha anaweza kufunga Ubalozi wa Tanzania.View attachment 431613
hakika,hata push up unapigaYule ndiye rais wa ulimwengu akisema kila mtu kushoto ni kushoto tu hata kama umekunywa gongo na kulewa utakwenda tu
Mkuu huu ni wakati wa kujitafakari Sana Kama taifa...... Kuishi Kwa kuomba misaada siyo suluhisho la kuukimbia umaskini...AGOA na MCC ni nyenzo mbili kuu zinazotumiwa na Marekani katika kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na changamoto za ndani ya nchi ikiwa ni pamoja na masuala ya kiuchumi, kisiasa na hata utamaduni. Kupitia AGOA na MCC, nchi nyingi za Afrika zimenufaika kupitia miradi mingi ya maendeleo na kijamii kwa njia ya msaada na mikopo ya masharti nafuu.
Niwaulize wabobezi wa masuala ya siasa za Marekani, je Ujio wa Trump utaathiri vipi AGOA na MCC hasa ikizingatiwa matamshi aliyotoa hapo awali juu ya Afrika na watu wake?
lizaboni ni mtu wa ccmChagadema bwana
Tumeshapiga marufuku misaada ya nje ya nchi ili tutengeneze taifa linalojitegemea.Africa siyo priority ya Donald Trump ha! ha anaweza kufunga Ubalozi wa Tanzania.View attachment 431613
mfalme wa morocco mlimuomba mpaka msikitiTumeshapiga marufuku misaada ya nje ya nchi ili tutengeneze taifa linalojitegemea.
Kama unajua hana mpango na Afrika unauliza nini kuhusu yeye(Trump) na pesa za wamarekani?Hilo swali unaweza kuuliza wewe. Trump hana mpango kabisa na Afrika. Sidhani kama ataanza kufukua makaburi yetu
Sidhani kama ni pigo maana Rais wetu alishajiandaa mapema kisaikolojia.
Chadema washaanza kujipendekeza, ICC imeshindikana