MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,413
- 4,885
Matumaini ya kufufua maiti kwa maombi ngoja tuone "miugiza"Nafkiri hawajafunga rasmi bali wamesitisha hadi mambo flan yakae poa Znz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumaini ya kufufua maiti kwa maombi ngoja tuone "miugiza"Nafkiri hawajafunga rasmi bali wamesitisha hadi mambo flan yakae poa Znz
Mchakamchaka wa hapa kazi tu bila ajira kwa vijana for almost a year now. Hizi slogans sijui huwa wanazitoa wapiHalafu huyo Jamaa Muamerikano Nikimwangalia Sana, Maamuzi yake Anafanana Na Mze, hapendi Ujinga Kabisa, Nadhani na yeye Ni Mchaka Mchaka wa Kazi tu.
kama tajiri anaweza kuongoza naamini hata tajiri lowassa angewezaTrump hapendi ujinga.
utajenga vp wakat kuna mtu anasema tanzania yake ajenge yeyeKuna mwandishi aliwaisema waafrika WAPUMBAVU naanza kuamin na hsa WATANZANIA,iv Trump ana nguvu ipi yakuvuruga mifumo ya nchi zingne,yan ushindi wake as if ni mzawa wa Tanzania wanamueka mbele kwa siasa zao za chuki na chama Tawala.
TRUMP
Raiswa US
Anakazi kubwa yakujenga US
Ana majukumu ya kutmiza ahadi zake
TUACHE KUJIVUA THAMANI KWA SIASA ZETU ZA CHUKI KWAKUMFANYA TRUMP NGUZO,HUO NI UJUHA WA HALI YA JUU,
Tujenge Taifa letu,
Halafu tunasema serikali haina dini mambo haya Nyerere hakuwahi kuyafanya.mfalme wa morocco mlimuomba mpaka msikiti
Batanzanie baone haya.AGOA na MCC ni nyenzo mbili kuu zinazotumiwa na Marekani katika kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na changamoto za ndani ya nchi ikiwa ni pamoja na masuala ya kiuchumi, kisiasa na hata utamaduni. Kupitia AGOA na MCC, nchi nyingi za Afrika zimenufaika kupitia miradi mingi ya maendeleo na kijamii kwa njia ya msaada na mikopo ya masharti nafuu.
Niwaulize wabobezi wa masuala ya siasa za Marekani, je Ujio wa Trump utaathiri vipi AGOA na MCC hasa ikizingatiwa matamshi aliyotoa hapo awali juu ya Afrika na watu wake?