Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zito sana hiloNaona mmeanza kulialia kabla ajaapishwa.
Operation ya kwanza ni kwa wale wote waliojibakisha madarakani kwa nguvu ya Dola.
Mimi nadhani tujiulize hivi....
NINI HATMA YA VISIWANI BAADA YA UJIO WA TRUMP?"
nchi hii ni tajiri.wasiwasi wa nin lizAGOA na MCC ni nyenzo mbili kuu zinazotumiwa na Marekani katika kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na changamoto za ndani ya nchi ikiwa ni pamoja na masuala ya kiuchumi, kisiasa na hata utamaduni. Kupitia AGOA na MCC, nchi nyingi za Afrika zimenufaika kupitia miradi mingi ya maendeleo na kijamii kwa njia ya msaada na mikopo ya masharti nafuu.
Niwaulize wabobezi wa masuala ya siasa za Marekani, je Ujio wa Trump utaathiri vipi AGOA na MCC hasa ikizingatiwa matamshi aliyotoa hapo awali juu ya Afrika na watu wake?
haahaa,mpaka msikiti tunaombanchi hii ni tajiri.wasiwasi wa nin liz
Liz naona unajitekenya na kucheka kwa nini umeuliza if kweli halituhusu.Naipenda sana ile nyimbo yenu mliforecast mambo mengi mno.Nakubaliana na wewe Mkuu. Sisi tufanye yetu
lizaboni kaleta huu uzi,lakini umegeuka kaa la moto kwake,kawa kama kuku aliyekatwa kichwaLiz naona unajitekenya na kucheka kwa nini umeuliza if kweli halituhusu.Naipenda sana ile nyimbo yenu mliforecast mambo mengi mno.
Vipi atawasaidia na chadema pia kuingia madarakani ama vipi?ule mchezo wakuongilia mikataba ya wawekezaji wa marekani kwa gia eti uzalendo umetukolea sasa umefikia mwisho.
yale magwangala ya geita,mchanga wa buzwagi......
the man is a businessperson anajua maana ya mkataba
Nadhani kutakuwa na uhakiki wa wanaonufaika na Agoa. Nyepesi nyepesi kunà vitu vinavyotengenezwa na wachina vinanufaika.AGOA na MCC ni nyenzo mbili kuu zinazotumiwa na Marekani katika kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na changamoto za ndani ya nchi ikiwa ni pamoja na masuala ya kiuchumi, kisiasa na hata utamaduni. Kupitia AGOA na MCC, nchi nyingi za Afrika zimenufaika kupitia miradi mingi ya maendeleo na kijamii kwa njia ya msaada na mikopo ya masharti nafuu.
Niwaulize wabobezi wa masuala ya siasa za Marekani, je Ujio wa Trump utaathiri vipi AGOA na MCC hasa ikizingatiwa matamshi aliyotoa hapo awali juu ya Afrika na watu wake?
Mnavyomuabudu sasa, ptuuuu!!Hizo hela za MCC waliinyima Tanzania baada ya kuchakachua uchaguzi wa Zanzibar.
Trump ni simba aliyejeruhiwa,alikuwa anaongelea uchakachuaji wa uchaguzi Marekani,na akaonya wasimchakachue.
Najua briefing kubwa atakayoipata kuhusu afrika mashariki,baada ya al shaabab,mafaili ambayo yatamchukiza sana ni la zanzibar,nkurunzinza,na baadae CongoDR.
Hayo yako mezani kwake kabisa tayari kwa hat
Amesema kuanza Obama care within 1000 daysHana ubavu kufuta program zilizokwisha anza. Institution is not a person.
Na utashangaa atatengeneza partnership naye maana ni reliable na atapunguza costs za investments zao...Mafisadi wajiandaye mikataba kuwa reviewed...Sidhani kama ni pigo maana Rais wetu alishajiandaa mapema kisaikolojia.
Yeye siye kazi tu! Hakuna Raisi mwenye akili anaweza kusema watu wafanye kazi tu. Yy anataka to Make America great again. Watu wengi wanafanya kazi tu, lakni maisha hayabadidiki. We need to be more strategicHalafu huyo Jamaa Muamerikano Nikimwangalia Sana, Maamuzi yake Anafanana Na Mze, hapendi Ujinga Kabisa, Nadhani na yeye Ni Mchaka Mchaka wa Kazi tu.
Mnamnukuu vibaya,hataki watu wanaoenda Kama raia wema kumbe ni wavunjifu wae amani,ukiwa hvo hata ungekuwa na midevu au kidevu cheupe kama shoga atakushugulikia tuuAmeshasema waislamu wenye madevu kama Osama hawataki nchini kwake.Au atazinyoa?
View attachment 431626
MCC mbona walitufutia sembuse raisiHana ubavu kufuta program zilizokwisha anza. Institution is not a person.
Sahau hata salamu au hisani toaka marekani. Nakukumbusha Richmond baadae Dowans ni ya familia ya Clinton. JK amelishwa limbwata la ufeemason ya akina Clinton nchi itayumba hadi CCM iondoke madarakani,AGOA na MCC ni nyenzo mbili kuu zinazotumiwa na Marekani katika kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na changamoto za ndani ya nchi ikiwa ni pamoja na masuala ya kiuchumi, kisiasa na hata utamaduni. Kupitia AGOA na MCC, nchi nyingi za Afrika zimenufaika kupitia miradi mingi ya maendeleo na kijamii kwa njia ya msaada na mikopo ya masharti nafuu.
Niwaulize wabobezi wa masuala ya siasa za Marekani, je Ujio wa Trump utaathiri vipi AGOA na MCC hasa ikizingatiwa matamshi aliyotoa hapo awali juu ya Afrika na watu wake?
Tunza maneno yako brother, utaja-jutanaona akate misaada tu kwani uomba omba hatuitaji sisi
MCC hujui kuwa imeshakuwa suspended kwa sababu ya wizi wa kura Zanzibar na ile sheria ya makosa ya kimtandao?AGOA na MCC ni nyenzo mbili kuu zinazotumiwa na Marekani katika kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na changamoto za ndani ya nchi ikiwa ni pamoja na masuala ya kiuchumi, kisiasa na hata utamaduni. Kupitia AGOA na MCC, nchi nyingi za Afrika zimenufaika kupitia miradi mingi ya maendeleo na kijamii kwa njia ya msaada na mikopo ya masharti nafuu.
Niwaulize wabobezi wa masuala ya siasa za Marekani, je Ujio wa Trump utaathiri vipi AGOA na MCC hasa ikizingatiwa matamshi aliyotoa hapo awali juu ya Afrika na watu wake?